WANAFUNZI WATAKIWA KUEPUKA VITENDO VITAKAVYOSABABISHA KUPATA MAAMBUKIZI YA VVU

WANAFUNZI WATAKIWA KUEPUKA VITENDO VITAKAVYOSABABISHA KUPATA MAAMBUKIZI YA VVU

Like
568
0
Thursday, 19 March 2015
Local News

WANAFUNZI wametakiwa kujiepusha na Vitendo vitakavyosababisha kupata Maambukizi ya Virus vya UKIMWI-VVU na Mimba za Utotoni,hivyo kuwafanya wakatize masomo na kutotimiza ndoto za maisha yao.

Rai hiyo imetolewa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa-NEC ya CCM,Mama SALMA KIKWETE, alipokuwa akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mkonge mkoani Lindi.

Mama SALMA KIKWETE,amesema kuna baadhi ya Wanafunzi wanajiingiza katika Mapenzi kabla ya wakati na kufanya hivyo wanakumbana na Mimba za Utotoni na UKIMWI.

LINDI

LINDDD

 

LLL

Comments are closed.