BURKINA FASO YAPATA RAIS MPYA

BURKINA FASO YAPATA RAIS MPYA

Like
220
0
Tuesday, 01 December 2015
Global News

ALIYEKUWA Mgombea Urais wa Burkina Faso ambaye pia alikuwa Waziri Mkuu wa Zamani wa nchi hiyo Uroch Christian Kabore ameshinda kwa nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu uliofanyika siku chache zilizopita.

Waziri Mkuu huyo wa zamani amepata alisimia 53.5 katika Uchaguzi huo unaoaminika kuwa ni wa kwanza tangu maandamano yaliyomuondoa madarakani Rais wa miaka mingi Blaise Compaore.

Uchaguzi Mkuu ulitarajiwa kufanyika mwezi uliopita lakini ukacheleweshwa na jaribio la mapinduzi ambalo halikufaulu mwezi Septemba mwaka huu.

Comments are closed.