Entertanment

NAMBA YA SIMU YA IGGY AZALEA YAWEKWA WAZI SABABU YA PIZZA
Entertanment

Rapa kutoka nchini marekani Iggy Azalea huenda ataifungulia mashtaka kampuni Papa John maarufu nchini humo kwa uuzaji wa pizza Hatua hiyo inakuja mara baada ya mmoja wa madereva wa kampuni hiyo aliyepewa kazi yakumpelekea pizza rapa huyo kugawa namba hiyo kwa mdogo wake mmoja ambapo baadae mdogo wa dereva huyo alimtumia ujumbe mfupi Iggy na kumfahamisha kuwa namba hiyo alipewa na kaka yake na kuongeza kuwa yeye ni shabiki mkubwa wa rapa huyo Iggy Azalea alichukua hatua ya kuwasiliana na...

Like
478
0
Monday, 09 February 2015
AUDIO: MASWALI NA MAJIBU KWA LE MUTUZ KUPITIA KABALI YA JOTO LA ASUBUHI
Entertanment

Ungana na Ssebo pamoja na Rachel Ndauka kwenye Joto la asubuhi kila jumatatu hadi ijumaa kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa tatu kamili asubuhi. ndani yake pia kila ijumaa moja kati ya vitu utakavyovisikia ni Kabali maswali na majibu kutana na Le Mutuz leo kwenye...

Like
734
0
Friday, 06 February 2015
SUGE KNIGHT AKABILIWA NA KESI YA MAUAJI
Entertanment

Suge Knight kushtakiwa kwa mauaji ya rafiki yake na chanzo cha habari kimeeleza kuwa mkanda wa video uliorekodiwa kwenye tukio hilo utatumika kama ushahidi kuendesha kesi hiyo.  Maafisa wa polisi huko Loss Angels wamesema kuwa mashtaka hayo yanahusishwa na kifo cha Terry Carter aliuawa siku ya alhamis baada ya Suge kumgonga na gari huko Compton Kesi hiyo itahusisha mashtaka ya kugonga na kukimbia pia kujeruhi na kusababisha kifo Mamlaka za kusimamia sheria zimekataa kumpa dhamana Suge siku ya jumatatu kwa...

Like
268
0
Tuesday, 03 February 2015
D’BANJ AMSHUSHA AMBER ROSE NIGERIA
Entertanment

D’banj afanya bonge la sherehe  huko Nigeria kwa kuwakutanisha mastar kadhaa kutoka nchini humo lakini pia mwanamuziki huyo alithibitisha nguvu yake duniani kwakumshusha Amber Rose akiwa kama mshereheshaji wa sherehe hizo za maadhimisho ya...

Like
359
0
Monday, 02 February 2015
VIDEO: uandaaji wa video ya Rihanna, Kanye West and Paul McCartney
Entertanment

nyuma ya pazia uandaaji wa video ya Four Five Seconds ya Rihanna, Kanye West and Paul McCartney...

Like
420
0
Monday, 02 February 2015
PICHA:KUMBUKUMBU YA KUZALIWA KWA BAADHI YA WAFANYAKAZI WA 93.7 EFM
Entertanment

Leo ilikuwa ni siku ambayo baadhi ya wafanyakzi wa kituo hiki cha 93.7efm ambao wamezaliwa mwezi huu wa kwanza waliunganishwa kwa pamoja na kufanyiwa suprise na wafanyakzi wenzao wa kituo hiki picha ni baadhi ya wafanyakazi hao wapatao saba wakisherehekea...

Like
536
0
Friday, 30 January 2015
THT KUADHIMISHA MIAKA 10
Entertanment

Baadhi ya wanamziki kutoka THT walitua katika kituo cha 93.7 EFM katika kipindi cha Genge ambacho kinatangazwa na Snahlicious pamoja na Baghdad kuanzia saa tatu asubhi mpaka saa sita mchana.  THT wanaadhimisha miaka kumi hapo kesho tangu kuanzishwa kwa taasisi hiyo.  Maadhimisho hayo yatafanyika katika ukumbi wa Escape one na itashirikisha wasanii mbali mbali,wazamani na wapya kutoka katika taasisi hiyo.  Miongoni mwa wasanii watakao kuwepo kutoka THT ni pamoja na Linah, Mwasiti, Barnaba, Amini, Marlaw, Maunda Zorro, Dream na kadhalika....

Like
555
0
Friday, 30 January 2015
POLISI WAPEWA KIZUNGUMKUTI KWENYE NYUMBA YA WATOTO WA P DIDY
Entertanment

Idara ya polisi katika jiji la Loss Angels walilazimika kukimbilia kwenye nyumba ya watoto wa P Didy mara baada ya kupata taarifa ya kusikika kwa milio ya bunduki na tishio la kifo. Polisi walipokea simu yenye kuelezea kuwa kuna barua imeachwa kwenye mlango wa nyumba hiyo yenye vitisho vya kutaka kuuwa watu wote kwenye nyumba hiyo ya mwanamama Kim Poster’s huko L.A Maafisa hao walifika kwenye nyumba hiyo na kukuta hakuna mtu yeyote wala barua ya vitisho. Dakika sita baada...

Like
566
0
Friday, 30 January 2015
SUGE KNIGHT AKABILIWA NA KESI YA MAUAJI YA RAFIKI YAKE
Entertanment

Marion “Suge” Knight alihusika katika kugonga na kukimbia alasiri ya Januari 29) hali iliyopelekea mtu mmoja kufa na mwingine kujeruhiwa katika jimbo la California. ofisi ya mwanasheria James E. Blatt, wakili wa Knight alithibitishia vyombo vya habari Kulingana na TMZ, Knight alikuwa katika mabishano na watu wawili juu ya seti ya filamu ambapo walinzi walimuamuru aondoke sasa wakati anaondoka kwa hasira aliwasha gari lake na kurudi nyuma kwa kasi na kumgonga rafiki yake yake aliekwenda nae eneo hilo Terry Carter...

Like
423
0
Friday, 30 January 2015
MAHAKAMA YAMPA LUDA MAMLAKA YA MALEZI YA MTOTO WAKE
Entertanment

Ludacris amepata kile alichokuwa akikihitaji kwenye mahakama ya kusuluhisha migogoro ya kifamilia ambapo mahakama imempa mamlaka katika malezi ya mtoto wake mwenye miezi 13 Maamuzi hayo ya mahakama yamekuja mara baada ya mama wa mtoto huyo Tamika Fuller alipotoa ushahidi katika mahakama hiyo kwa kueleza kwamba Ludacriss aliikataa mimba ya mtoto huyo lakini pia alienda mbali kwa kusema alitaka mimba itolewe lakini chanzo cha habari kimeeleza kuwa jaji alipitia ripoti ya mtaalam wa kujitegemea na ushahidi ambapo mahakama imeridhia kuwa...

Like
271
0
Thursday, 29 January 2015
PENZI LA LUPITA NYONG’O NA K’NAAN LAVUNJIKA!!!
Entertanment

Kama wewe ni mpenzi wa tasnia ya filamu Afrika na dunia kwa ujumla basi ni wazi utakuwa unamfahamu Muigizaji kutokea Kenya anaefanya Vizuri duniani Lupita Nyong’o Kupitia Movie hizi 12 Years a Slave, Star Wars: Episode VII – The Force Awakens, In My Genes dunia ilipata kumfahamu zaidi na kumuweka kwenye orodha ya wasanii wa Afrika wanaofanya vizuri duiniani.   Basi hivi karibuni zilifanyika tuzo za SAG huko Amerika ambapo ndani yake yalitokea matukio ya kuwafanya wengine kutokwa na machozi...

Like
513
0
Wednesday, 28 January 2015