Chris brown hataki tena kufanya show za kwenye Club kufuatia mfululizo wa matukio ya kuponea chupuchupu mara kadhaa risasi zinapofyatuliwa na makundi ya wahuni kwenye Club hizo. Imeelezwa kuwa Cris Brown ameitisha kikao cha dharura na meneja wake pamoja na timu yake nzima kuwataarifu juu ya maamuzi yake ya kufuta show zote za club zilizokuwa kwenye ratiba zake ili kwa sababu za kiusalama mara baada ya tukio la mwisho lililotokea huko San Jose Kwenye tukio la San Jose watu watano...
Eminem richa ya kuwa na itikadi za kuonyesha hali za ukali na utata kwenye maisha yake lakini pia kwa upande mwingine huenda Eminem ni mtu mwenye huruma pia. Katika kulithibitisha hili rapa huyu alifanya matembezi kwa mmoja wa mashabiki zake ambae anamatatizo ya kansa ya mifupa Gage Garmo mwenye umri wa miaka 17 ambae kwa mujibu wa madaktari waliokuwa wakimfanyia matibabu wamemueleza kuwa ana wiki moja tu ya kuishi kutokana na matatizo aliyokuwa nayo kiafya Kama siku tatu zilizopita...
Audio imetayarishwa na Dupy pamoja na Fraga katika studio za Uprise music Artist Masia...
Ray J atoa ametoa ofa ya kununua mjengo katika mtaa anaoishi Kim kardashian na mumewe Kanye west. Ray j ambae aliwahi kuwa na mahusiano na Kim na kucheza nae filam ya Ngono hali inayopelekea mara kadhaa Ray j kutishia kuichia video hiyo inayotabiliwa kuja kuuza zaidi nahii ni kutokana na ukweli kwamba kwa sasa Kim ni mke wa Kanye west Mwezi mmoja nyuma Kim Kardashian alichapisha picha zake za utupu kwenye moja ya majalida makubwa yanayoandika habari za mastar, wataalamu...
Imetayarishwa na Abba process kwenye studio za Vipaji Tz unaweza kuisikiliza na kuidownload...
Kupitia mtandao wa twitter Davido mkali kutoka Nigeria jana alionyesha kuchikizwa na mtu ambae hakumtaja jina lake wala kumuweka wazi Katika tweet hizo Davido ameongea maneno mazito yaliyoonyesha jinsi gani amekwazika Wakati hayo yakiendelea mkali kutoka Tanzania Diamond amechaguliwa kutumbuiza kwenye Tuzo za wanasoka bora barani Afrika #GloCafAwards zitakazofanyika huko Lagos Nigeria, Tunamtakia kila heri ili aweze kuipeperusha bendela kimataifa...
BankyW azidi kujiongezea uwezo katika tasnia ya muziki mara baada ya kusomea uandaaji wa filamu na kuanza kuongoza kazi zake mwenyewe Katika kuthibitisha uwezo wake BankyW ameachia video ya wimbo wake wa Mercy kutoka kwenye albam yake ya R&BW Filamu ya wimbo huo imefanyika New York huko marekani ambapo ndani yake imeshirikisha waigizaji chipukizi na wanafunzi wa filamu...
Octoba 21 mwimbaji kutoka Uganda Desire Luzinda alikamatwa na kufikishwa mahakamani kwa kushindwa kulipa deni la shilingi milioni 21 za Uganda alilokopa kwa mfanyabiashara mmoja nnchini humo alizozitumia kufanyia party yake ya All White affair concert. Mwimbaji huyo ambae aliekuwa akiandamwa na skendo ya picha zake za utupu kuvuja alipata msaada kutoka kwa rafiki yake aliemlipia milioni kumi na kuahidi kumalizia deni hilo hapo baadae. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Uganda kwa sasa mkali huyo anakabiliwa na deni linguine lipatalo...
Siku ya ijumaa Nikki mbishi alitweet kwenye akaunti yake ya twitter tweet zilizoibua maswali mengi kwa wapenzi na mashabiki wake ...
Siri ya mwimbaji Bebe Cool na Jose Chameleone imefichuka Waimbaji hawa ambao kwa muda mrefu wamekuwa na tofauti za hapa na pale richa ya kupatana mara kadhaa lakini kwa sasa wamerudi tena kwenye mstari amani Kupatana kwao kulianikwa hadharani siku ya Boxing day mwaka jana pale ambapo walikumbatiana na kila mmoja kuimba wimbo wa mwenzake jukwaani Chanzo cha habari kinaeleza kuwa kupatana kwao kumetokana na sababu za kimaslahi zaidi kwani wasanii hao wananguvu kubwa ya ushawishi kwenye jamii hivyo basi...
Wiki kadhaa nyuma mkali kutoka Tanzania Diamond kutua Mombasa na msafara wa polisi, sasa Charles Njagua waweza kumuita Jaguar kama ilivyozoeleka kwenye tasnia ya muziki ameweka rekodi ya kuwa msanii wa kwanza kutoka Kenye kutua katika pwani ya Mombasa kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Moi akiwa na msafara mkubwa wa...