Entertanment

MAJIBU YA DIAMOND KWENYE KIPINDI CHA GENGE KUPITIA 93.7EFM LEO
Entertanment

Tofauti kati ya waandaji wa video za bongo na wa nje ni ? upatikanaji wa vitu vya kuijenga Script pindi vinapohitajika mfano unapohitaji nyumba kama hekaru, uwezo wa kuifikisha nyimbo kwenye vituo vya tv vya nje mf. Trace, Mtv, Channel o n.k lakini pia Diamond alidai kuwa waandaji wa ndani wanamikwala Mingi katika kuruhusu mawazo ya msanii wakati wa uandaaji wa Video alipouulizwa kuhusu mafanikio ya wasanii wa Nigeria yanakuja kufuatia kuwa wengi kwenye ramani ya muziki wa Afrika Diamond...

Like
680
0
Thursday, 20 November 2014
ANGELINA JOLIE KUACHA KUFANYA FILAMU!!!
Entertanment

Angelina Jolie kwa sasa anafilamu mbili anazozifanyia kazi Unbroken na By the Sea .Muigizaji huyo wa Hollywood kwa sasa ndie nyota wa majarida mawili Variety na DuJour Katika mahojiano yake na jarida la DuJour Angelina alizungumzia jinsi anavyofanyakazi na mumewe Brad pitt kwenye scene tofauti Kuhusu swala la kuacha kuigiza Angelina alisema “Sikuwahi kupenda kuwa mbele ya Camera wala sijawahi kufikiria kuongoza filam ila natumai kuwa na fani hii kwa sababu ninaifurahia saana”  pia alizungumzia jinsi anavyofanya filam ya By...

Like
325
0
Thursday, 20 November 2014
CHRIS BROWN APIGA GRAFFITI YA MASHAHIRI YA 2PAC KWENYE LAMBORGHINI YAKE
Entertanment

Huenda Chris Brown anamapenzi yakupitiliza juu Graffiti hadi kufikia kuichora gari yake graffiti ya mashahiri ya 2pac lenye thamani ya dola za kimarekani $750,000. Chris Brown alishea picha za gari hilo lenye rangi nyeusi kupitia akaunti yake ya...

Like
1427
0
Wednesday, 19 November 2014
JIBU LA VANESSA MDEE KUHUSU MAHUSIANO YAKE NA JUX
Entertanment

Jibu la Vanessa Mdee kuhusu mahusiano yake na Jux ni kwamba “Tunapendana” Mapema leo kupitia kipindi Cha Genge ndani ya 93.7efm . Bagdad alimuuliza vanesa Mdee juu ya taarifa zilizokuwa zikivuma kwamba yupo kwenye Mahusiano na Jux Vanessa alijibu “TUNAPENDANA” Lakini wakizungumzia kuhusu kufanya wimbo mwingine wa pamoja kati ya Vanessa na Barnaba wamesema kwamba mashabiki wao wasubiri huenda kuna kitu kikafuata mara baada ya project ya Siri....

Like
903
0
Wednesday, 19 November 2014
SIKILIZA KAULI YA JOSE CHAMELEONE KUHUSU KUFANYA WIMBO NA DIAMOND
Entertanment

muda mfupi uliopita kupitia katika kipindi cha Genge alisikika msanii kutoka Uganda Jose Chameleone akizungumzia taarifa iliyotoka kwamba amemuomba mkali kutoka Tanzania Diamonda wafanye wimbo wa pomoja...

Like
359
0
Tuesday, 18 November 2014
P SQUARE WAACHIA VIDEO YA SHEKINI ITAZAME HAPA
Entertanment

Waimbaji mapacha kutoka Nigeria P square jana wameachia video ya wimbo wao wa Shekini kama sehem ya kusherehekea mwaka mmoja wa ndoa ya Peter na Lola mapema hapo jana Shekini ni video ya pili kutoka kwenye albam yao ya sita ya Double trouble Video ya wimbo huo imeongozwa na Clarence Peters wakati audio imeandaliwa na...

Like
356
0
Tuesday, 18 November 2014
JULIAN MARLEY: BANGI KUANZA KUTUMIKA KAMA BIDHAA!!!
Entertanment

Julian Marley ambae ni mototo wa mfalme wa reggae Bob marley huenda jina lake likadumu kwenye vichwa vya watu miezi kadhaa ijayo mara baada ya kupata deal ya kushirikiana na kampuni ya Drop Leaf kuzindua bidhaa ya Julian Marley JUJU Royal Premium Marijuana kwa mujibu wa mtandao wa www.streetinsider.com huko nchini marekani  Julian marley alinukuliwa akisema Ninafuraha na pia naziheshimu juhudi na harakati zinazofanywa na kampuni ya Drope Leaf katika kuufanya huu mmea kuwa na thamani pia upatikane duniani kote...

Like
328
0
Monday, 17 November 2014
CHEKA NA VITUKO VYA MASTAR VILIVYOWAHI KUTOKEA JUKWAANI
Entertanment

moja kati ya vitu ambavyo watu wengi wanaogopa duniani ni kusimama mbele ya umati alafu ukafanya kitu kinyume na taratibu zake yani ukakosea. basi hii ni orodha ya nyota wa dunia na matukio yao waliyowahi kukosea kwenye matamasha...

Like
1606
0
Friday, 14 November 2014
BBA HOTSHOTS:IDRIS AINGIA KIKAANGONI WIKI HII FUATA MAELEKEZO UWEZE KUMPIGIA KURA
Entertanment

Kumpigia kura idris 1.Dowload apprication inayoitwa WeChart 2.Add BigBrotherAfrica 3.Andika number yako ya simu utatumiwa code ingiza number na utaunganishwa moja kwa moja 4.Fuata hatua kwa makini na unaweza piga kura hadi mara 100   Kwa wale wa simu za kawaida 1.Andika neno VOTE likifatiwa na jina la IDRIS 2.Unatuma kwenda namba 15426 kwa sh 600 tu.   Kwa website ingia www.bigbrotherafrica.dstv.com kwa kujisajili na account yako ya facebook au email kisha piga kura mara nyingi...

Like
330
0
Friday, 14 November 2014
BINTI AATHIRIWA NA NEYO
Entertanment

Mwanamke mmoja amefanyiwa upasuaji na kutolewa sehem ya ubongo wake ili kuepuka kifafa kilichosababishwa na kusikiliza muziki wa Neyo Zoe Fennessy mwenye umri wa miaka 26 ameelezea jinsi hali hiyo ilivyokuwa ikimtesa kupelekea kutapika mara kwa mara kila anaposikia muziki wa msanii huyo Nyimbo alizoshirikishwa kama aliyofanya na Pitbull’s “Give Me Everything,” Calvin Harris’ “Let’s Go,”, and Calvin Maynard’s “Turn Around zinahusika   kumfanya awe kwenye hali hiyo kwa mujibu wa Daily...

Like
287
0
Thursday, 13 November 2014
NGOMA REGGAE BASHMENT KUZINDULIWA KESHO MAISHA CLUB
Entertanment

Tamasha la muziki wa reggae, Ngoma reggae bashment nchini ambalo chimbuko lake ni kipindi cha reggae kinachoruka hapa hapa EFM kila jumamosi. Tamasha hilo litazinduliwa siku ya kesho tarehe 13 november pale maisha club kwa kuwakutanisha wadau mbalimbali wa muziki wa reggae...

Like
512
0
Wednesday, 12 November 2014