Baada ya diamond na meneja wake babu tale kufanyiwa mahojiano na jeshi la polisi katika kituo cha Oystersbay haya ndio majibu ya babu tale wakati anahojiwa katika kipindi cha joto la asubuhi kwenye kipengere cha KABALI kinachoruka kila ijumaa kipindi hiki kinaongozwa na Sebo pamoja na Kanki...
Richa ya ya kesi nyingine alizonazo Cris Brown ambae kwa hivi sasa kumekuwa na malalamiko kwamba akionekana sehemu na kundi lake basi lazima itokee fujo kama si kuumizana katiaka eneo hilo. kufuataia hali hiyo mtandao wa Tmz ulilipoti kwamba mama wa msanii huyo anahofu huenda akampoteza mwanae kufuatia kujihusisha na makundi ya wahuni kitendo ambacho kilimkasilisha saana Cris Brown. lakini siku ya jumatano msanii huyo alifikishwa tena mahakamani na kuongezewa muda wa kufanya shughuri za kijamii kama sehemu...
Mbali na drama za rapa huyu wa kike Iggy Azalea mwenye asili ya Australia bado ana kila sababu ya kutabasamu kufuatia headlines za mafanikio anazoziweka kwenye tasnia ya burudani. Hivi karibuni Iggy azale na mpenzi wake Nick Young wamepitishwa kutumika kwenye picha ya tangazo la kampeni ya Forever 21‘s holiday . Akiongea na watu mara baada ya kupiga picha hizo Nick Young ambae ni mchezaji wa mpira wa kikapu katika ligi ya Nba huko marekani ameelezea furaha yake kupiga picha hizo...
Baada ya Meneja wa Diamond kushikiliwa na polisi kwa ajiri ya kufanyiwa mahojiano kuhusiana na swala la msanii huyo kutumia sare za jeshi kwenye tamsha wakati anafanya Show, Leo inasemekana pia Diamond anashikiliwa na polisi leo kwa mahojiano zaidi kufuatia tukio hilo katika kituo cha Oysterbay Bagdad amezungumza na msemaji wa jeshi ili kujua taratibu zitakazofuatwa kulingana na kosa husika, Hata hivyo msemaji huyo ameongeza ya kuwa sheria itachukua mkondo wake ...
Ikiwa ni siku kadhaa toka stori za Nicki Minaj na Safaree Samuels mahusiano yao kuyumba, hivi karibuni kupitia mitandao ya kijamii kufuatia post zilizotumwa na wawili hao katika muda tofauti huku kila mmoja akiandika maneno yake mahusiano ya wawili hawa yaliyodumu kwa miaka isyopungua kumi na nne (14) kwa sasa hayapo tena, na hii imekuja mara baada ya Safaree Samuels kuonekana amezificha tatoo za Nicki minaj kwenye mwili wake kwa kuchora tatoo nyinginge mpya kwa juu yake kama alivyowahi kufanya Nick...
kufuatia tuhuma mbalimbali juu ya mshindi wa shindano la Miss Tanzania kwamba hakustahili kupata taji hilo na kuwepo kwa taarifa zenye kuchanganya kuhusu umri wa mlimbwende huyo Sitti Mtemvu, jana kamati ya Miss Tanzania ilifanya kikao ikiwa pamoja na kujadili na waandishi wa habari ili kuweka mambo sawa kwa kutoa vielelezo vyao. hata hivyo hali ya Sintofahamu bado imeendelea kuwepo kwenye baadhi ya vichwa vya watu kupitia mitandao ya kijamii na sehemu nyinginezo kufuatia baadhi ya majibu ya Mrembo huyo wakati akihojiwa...
baada ya msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond kufanya show akiwa na mavazi yanayosemekana kuwa ni sare ya Jeshi yeye na dancers wake, lakini pia kuonekana kwenye baadhi ya picha akiwa na mavazi hayo huku ameshika siraha na kuvuta sigara hii ndio kauli kutoka kwa msemaji wa jeshi akisema siruhusa kwa vikundi ama mtu mmoja mmoja kutumia sare hizo, pamoja na said Fella moja ya watu wanaomsimamia Diamond akieleza kuhusu mavazi hayo kupitia interview ya redio leo kwenye 411...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Yessaya Ambikile amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Efm imezungumza na kaka wa marehemu na kuthibitisha hilo kwa kusema Yp alikuwa anasumbuliwa na kifua.. EFM inawapa pole wanafamilia na wapenzi wa msanii huyu alieitumikia sanaa ya muziki wa kizazi kipya, Bongo fleva katika kipindi cha uhai wake ...
Kufuatia maneno ya hapa na pale juu ya mahusiano kati ya msanii Shilole na Nuh mziwanda, haya ndio machache ambayo Shilole ameyatoa kutoka Moyoni mwake kupitia mtandao wa instagram msanii huyo aliwataka wanaoyachukia mapenzi yao wawache kama...
mtoto wa aliekuwa Bondia mashuhuri duniani Mohamed Ally, Leila Ally amekanusha uvumi unaendelea sehemu mbalimbali duniani juu ya Afya ya baba yake anaesumbuliwa na maradhi kwa kipindi kirefu Leila amedai baba yake yupo hai na hakuna ukweli wowote juu ya taarifa za kifo cha baba yake ingawa kimsingi baba yake huyo ani mgonjwa. Kwa miaka mingi sasa Bondia huyo mashuhuri duniani mwenye umri wa miaka 72 alianza kusumbuliwa na maradhi mnamo mwaka 1984 ...
Baada ya passport kuonyesha umri tofauti na ule alioutaja kwa kuangalia mwaka wa kuzaliwa hoja na maswali yasintofaham yamezidi kuongezeka juu ya miss huyo na hii ni inadaiwa kuwa leseni yake ya...