Entertanment

PASSPORT YA MISS TANZANIA 2014 SITTI MTEMVU YAZUA UTATA JUU YA UMRI WAKE
Entertanment

Kumekuwepo na hoja nyingi za kumpinga mshindi wa Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu baada ya kukabidhiwa taji hilo. yote haya yanatokana na umri wake ukilinganishwa na elimu yake Miss Tanzania wa mwaka 2014 Sitti Abbas Mtemvu anadai ana umri wa miaka 18 na ana elimu ya shahada ya uzamili (Masters). Wakati baba yake akisema amezaliwa 1989 na mama yake akisema amezaliwa 1985, na uku kamati ya miss tanzania ikisema amezaliwa 1991 hivyo ana miaka 23… Na kwa upande mwingine hati yake...

Like
997
0
Thursday, 16 October 2014
ZE COMEDY WAKABIDHIWA NYUMBA ZENYE THAMANI YA SH MILIONI 840
Entertanment

Kundi la ze Comedy linaloundwa na wasanii kutoka hapahapa Tanzania lenye kujihusisha na uchekeshaji limekabidhiwa nyumba 7 walizonunua kutoka NSSF. nyumba hizo kila moja imenunuliwa kwa thamani ya shilingi milioni mia moja na ishirini za kitanzania (120)  ambazo ni jumla ya shilingi milioni 840.    ...

Like
406
0
Thursday, 16 October 2014
T.I AMALIZA BIFU KATI YA SNOOP NA IGGY AZALEA
Entertanment

Hivi karibuni moja kati ya stori zilizokuwa zikichukua headlines kwenye mitandao na vyombo vya habari ni tukio la mtu mzima Snoop kupost picha ya mremavu wa ngozi kwenye ukurasa wake wa instagram na kuweka Caption ya maneno yasemayo  “Iggy Azalea no make up,” maneno ambayo yalimtibua Iggy Azalea na mashabiki zake kiasi cha kuwafanya waanze kumjibu vibaya Snoop. lakini kwa sasa hakutakuwa na tatizo tena mara baada ya wasanii hao kupatanishwa kufuatia simu ya meneja wa Iggy Azalea yani T.I...

Like
406
0
Thursday, 16 October 2014
TAZAMA PICHA ZA UANDAAJI WA VIDEO MPYA YA BUSHOKE NCHINI S.AFRIKA
Entertanment

Msanii kutoka Tanzania ambae alikuwa kimya kwa muda mrefu na baadae kuachia kazi zake kadhaa, ameonyesha nia ya dhati kurudi kwenye tasnia ya muziki wa kizazi kipya yani Bongofleva. katioka wimbo huo bushoke amemshirikisha msanii kutoka Uganda FACEE OFF na ngoma yenyewe ameipa jina la SHE WANTS IT, na umeimbwa katika lugha tatu ambazo ni Kiswahili, Kiganda na Kingereza video inafanywa chini ya kampuni ya DIRTY SOUL huko Capetown South...

Like
635
0
Wednesday, 15 October 2014
BET YAZINDUA TAMTHILIA MPYA ILIYOPEWA JINA LA THE BOOK OF NEGROES
Entertanment

Black entertainment television (BET) imezindua tamthilia mpya ya The book of negroes  Cuba Gooding Jnr, amecheza kama star wa tamthilia hiyo ambayo ni stori kutoka kwenye kitabu kilichoandikwa na Lawrence Hill. Wakati Aminata Diallo amecheza kama msichana kutoka Afrika ya magharibi alieuzwa utumwani huko South Carolina na baadae kupambana kupitia mapinduzi ya bara la America kujipatia uhuru wake mwanzoni mwa karne ya kumi na tisa...

Like
643
0
Wednesday, 15 October 2014
ORODHA YA WASHINDI WA BET HIPHOP AWARDS 2014
Entertanment

Album Of The Year Drake – ‘Nothing Was The Same’ — WINNER Eminem – ‘The Marshall Mathers LP 2′ Future – ‘Honest’ Rick Ross – ‘Mastermind’ ScHoolboy Q – ‘Oxymoron’ Yo Gotti – ‘I Am’ Best Club Banger Future f/ Pharrell, Pusha T & Casino – ‘Move That Doh’ — WINNER  K Camp f/ Lil Boosie, YG & Too $hort – ‘Cut Her Off’ (Remix) Migos – ‘Fight Night’ Wiz Khalifa – ‘We Dem Boyz’ YG f/ Jeezy & Rich Homie...

Like
374
0
Wednesday, 15 October 2014
TAZAMA PICHA ZA UANDAAJI WA VIDEO YA AY NA SEAN KINGSTON
Entertanment

Msanii kutoka Tanzania Abwene Yesaya marufu kama Ay ameanza kushoot video ya ngoma yake aliyomshirikisha Sean kingston huko Marekani  ...

Like
768
0
Tuesday, 14 October 2014
CRIS BROWN ATAJWA KAMA MSANII ANAEWANIA VIPENGELE VINGI KWENYE SOUL TRAIN AWARDS 2014
Entertanment

Mkali wa r&b Cris brown ambae amekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii kufuatia maoni yake juu ya ugonjwa wa Ebola. Cris Brown ametajwa kama msanii anaewania tuzo kwenye vipengele vingi kama msanii anaejitegemea akifatiwa na Beyonce ambae ametajwa mara sita pamoja na Pharell aliyetajwa mara tano. na hizi ndizo sehemu anazowania : ‘Best Hip-Hop Song Of The Year’ for “Loyal” featuring Lil Wayne and Tyga; ‘Best R&B/Soul Male Artist’; ‘Song Of The Year’ for “Loyal” featuring Lil Wayne and Tyga; ‘Best Dance...

Like
474
0
Tuesday, 14 October 2014
NYUMBANI LOUNGE YA LADY JD YABADILISHWA JINA
Entertanment

Mwimbaji kutoka Tanzania Lady Jd ambae pia alikuwa mmiliki wa Nyumbani lounge kupitia akaunti yake ya instagram alipost picha yenye Caption ya maneno inayoashiria kurudi tena kikazi baada ya kimya cha muda mrefu. Jide alipost posters ya kuanza kwa show zake pamoja na uzinduzi wa MOG bar & restaurant zamani Nyumbani lounge ingawa maswali yamekuwa mengi kuhusu maisha ya ndoa ya msanii huyo lakini hakuna kauli thabiti ya kuthibitisha ukweli wa mambo richa ya kuwepo kwa hoja nyingi mitaani  zinazosababishwa...

Like
1138
0
Tuesday, 14 October 2014
IGGY AZALEA ACHUKIZWA NA SNOOP
Entertanment

Kupitia mtandao wa instagram Snoop alipost picha ya mremavu wa ngozi (albino) na kuiwekea caption yenye maneno haya “Iggy Azalea no make up,” akimaanisha ni picha ya Iggy azalea bila vipodozi kitendo hicho kimemkera Iggy kiasi cha kushindwa kuzuia hasira zake na kuanza kumporomoshea maneno mazito Snoop kwenye mtandao wa Twitter  kwa kudai mara kadhaa Soop amekuwa akituma walinzi wake kuomba kupiga picha na Iggy wanapokutana kwenye shows tofauti. rapa huyo wa kike ameongeza kuwa amevunjwa moyo na kitendo kilichofanywa...

Like
391
0
Tuesday, 14 October 2014
CRISS BROWN AONYESHA HOFU YAKE JUU YA EBOLA
Entertanment

Criss Brown mapema leo asubuhi kuipitia mtandao wa twitter aliweka wazi mawazo yake juu ya ugonjwa wa Ebola kwa kusema kuwa “I don’t know … But I think this Ebola epidemic is a form of population control. Shit is getting crazy bruh.” akimaanisha kuwa yeye hajui ila anadhani janga la Ebola ni namna ya kudhibiti idadi ya watu, haya yanakuja siku chache mara baada ya mtu mmoja kugundulika na virusi vya ugonjwa huo nchini marekani baadhi ya watu wameichukulia kauli...

Like
527
0
Monday, 13 October 2014