Entertanment

MUZIKI MNENE BAGAMOYO
Entertanment

SHANGWE za  muzikimnene  wa 93.7 EFM ,kwa mara nyingine tena ziliendelea ndani ya bagamoyo . Burudani ya aina yake ikiongozw anatimunzimaya EFM ilishushwandaniyamagetimiaAdon lodge. Wakazi  wa bagamoyo walipata nafasi ya kukutana na watangazaji, na RDJ’s huku wakifurahia burudani ya pamoja. Muzikimnene bar kwa bar ulipambwana kabumbu kati ya EFM na Bagamoyoveterani ambapo Bagamoyo veteran waliibuka na ushindi wa bao moja huku EFM wakiambulia sifuri. Tangu kuanza kwa mechi hizi hii ni mara ya pili kwa 93.7 EFM kufungwa,mara ya kwanza...

Like
419
0
Monday, 05 October 2015
50 CENT ATAJA SABABU ZA KUSHUKA KWA SERIES YA EMPIRE
Entertanment

Rapa 50 Cent ataja sababu za kushuka kwa idadi ya watazamaji wa Series ya Empire Katika post ambayo haikukaa kwa muda mrefu kwenye ukurasa wake wa instagram 50 Cent ambae amekuwa na mgogoro na kituo cha Fox akiwatuhumu kuiba wazo lake la kutengezeza series hiyo ametaja Series hiyo kutawaliwa na matukio mengi ya mapenzi ya jinsia moja kuwa miongoni mwa vitu vinavyoiporomosha. Wakati Series ya Empire inatatambulishwa rasmi ilitajwa kuwa na idadi ya watazamaji milioni 16 lakini idadi hiyo imeshuka...

Like
422
0
Monday, 05 October 2015
PORSCHE YAJIBU TUHUMA ZA MTOTO WA PAUL WAKER
Entertanment

Kampuni ya magari ya Porsche imezijibu tuhuma za kesi iliyofunguliwa na mtoto wa muigizaji wa Fast & Furious, Paul Walker’ kuwa ajali haikuwa chanzo cha kifo cha baba yake bali ni dosari zilizopo kwenye muundo wa gari hilo Kwenye mahojiano yaliyofanywa na kituo cha CNN Kampuni hiyo ya Ujerumani imekanusha kuwa gari hiyo aina ya Carrera GT 2005 ilikuwa na dosari katika muundo wake na badala yake wameeleza kuwa sababu iliyopelekea kutokea kwa ajali iliyochukua maisha ya Walker ni kasi...

Like
237
0
Wednesday, 30 September 2015
EFM MUZIKI MNENE BAR KWA BAR KIBAHA 2015
Entertanment

93.7 EFM yajinyakulia ushindi baada ya kuwafunga kibaha veterans mabao mawili kwa moja, katika mchezo uliochezwa jumamosi ya juzi katika uwanja wa Tamco kibaha. Mechi hiyo ni baadhi ya mechi zinazoendelea baina ya EFM na timu mbalimbali za wasikilizaji wake, Kupitia kampeni ya Muziki mnene bar kwa bar .   Burudani haikuishia hapo, baada ya mechi hiyo shangwe ziliendelea ndani ya kibaha kontena. Ilikuwa ni bandika bandua ya ngoma kali kutoka kwa Rdj’s wa 93.7 EFM na shamra shamra kutoka...

Like
754
0
Monday, 28 September 2015
MUZIKI MNENE BAR KWA BAR 2015: E-FM YAILAZA KIBAHA VETERANS 2-1
Entertanment

Muziki mnene bar kwa bar KIBAHA KONTENA burudani imefunguliwa na mechi ya mpira wa miguu kati ya E-fm Vs Kibaha Veterans Mchezo huo uliochezwa kwenye uwanja wa TAMCO ulimzlizika kwa E-fm kuibuka na ushindi wa magoli 2 kwa 1. Kibaha Veterans ndio walikuwa wa kwanza kuziona nyavu za Efm lakini goli hilo halikudumu kwani E-fm walifanikiwa kusawazisha goli hilo kupitia mpira wa adhabu na kufanya matokeo kuwa 1-1 hadi kipindi cha kwanza kumalizika Katika kipindi cha pili E-fm walirudi kwa...

Like
540
0
Saturday, 26 September 2015
MUZIKI MNENE NDANI YA KISARAWE
Entertanment

Wakazi wa kisarawe walipata burudani ya aina yake, jumamosi ya juzi tarehe 19 mwezi huu kutoka redio ya 93.7 EFM kupitia kampeni ya muziki mnene. Burudani hiyo ilianza na mpira wa miguu kati ya EFM na buffalo kisarawe, ambapo timu ya Buffalo ilitetea ushindi nyumbani kwa kuifunga EFM magoli mawili huku EFM ikiambulia sifuri. \ Baada ya mechi hiyo burudani ya aina yake iliendelea ndani ya Tausi bar, huku Rdj’s na watangazaji wa EFM wakishikilia usukani wa burudani hivo kuwapagawisha...

Like
363
0
Monday, 21 September 2015
BWANA E AGAWA MAFUTA KISARAWE
Entertanment

Wasikilizaji wa 93.7 EFM kisarawe jana walijipatia mafuta ya bure, baada ya bwana E kutoka EFM kupita eneo hilo na kugawa mafuta. Kila mwananchi wa eneo hilo aliye na chombo cha moto kama bajaji, pikipiki alifurahia huduma hiyo ya bure na yenye manufaa. Mchakato ulikuwa rahisi tu. Wasikilizaji walitakiwa kufika kituo cha mafuta alichopo  bwana E, wakiwa na stika ya EFM, wanasikiliza EFM na bwana E kuwazawadia mafuta ya bureee. Huu ni mwanzo tu kwa wasikilizaji wa kisarawe. “Siku ya...

Like
293
0
Friday, 18 September 2015
UHONDO YAZINDUA SHINDANO LA KHANGA, MILIONI MOJA KUSHINDANIWA
Entertanment

KATIKA kuhakikisha kuwa inamshirikisha msikilizaji wake kwenye kila jambo na hatua inayopiga  93.7 efm, kupitia kipindi chake kipya cha Uhondo ambacho huruka hewani kila siku za Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa sita mchana hadi saa tisa Alasiri, Kikiwa na watangazaji mahiri Dina Marios na Swebe Santana (Rais wa Wanaume) kimeandaa shindano la Kanga kwa ajili ya wanawake wote wasikilizaji wa Efm.   Lengo la shindano hilo, linaloanza leo Septemba 14 na kuishia Oktoba 5 mwaka huu,  kwanza ni kuwahamasisha wanawake...

Like
941
0
Monday, 14 September 2015
PICHA: MUZIKI MNENE BAR KWA BAR MLANDIZI 2015
Entertanment

Shukarani za dahati tunazipeleka Mlandizi kwa kujitokeza kwa wingi kwenye Muziki Mnene bar kwa bar kwenye viwanja vya First Inn lakini pia kwa kuhudhuria mchezo kati ya E-fm na Mlandizi Veteran haya ni baadhi ya matukio yaliyojiri na yanayoaendelea hapa First Inn...

Like
482
0
Saturday, 12 September 2015
PICHA: MUZIKI MNENE BAR KWA BAR MLANDIZI
Entertanment

Mechi ya mpira wa miguu kati ya kikosi imara cha E-fm na Mlandizi Veteran umemalizika huku matokeo ya mchezo huo ya kiwa ni sare ya bila kufungana. Mchezo huo uliokuwa na hamasa ya hali ya juu kwakuhudhuriwa na wakazi wengi wa Mlandizi ambao hapo baadae watahudhuria kwenye party ya Muziki mnene bar kwa bar katika viwanja vya First Inn bar hapa Mlandizi mkoa wa pwani MATUKIO KATIKA PICHA...

Like
592
0
Saturday, 12 September 2015
MUZIKI MNENE BAR KWA BAR MLANDIZI
Entertanment

Baada ya safari kukamilika kutoka Dsm hadi Mlandizi mkoa wa Pwani kikosi cha E-fm kiliwasili salama Mlandizi kikiwa tayari kabisa kukipiga na timu ya Mlandizi Veteran kabla ya kuanza kwa sherehe za Muziki Mnene bar kwa bar eneo la Firdt Inn bar. MATUKIO KATIKA PICHA  ...

Like
334
0
Saturday, 12 September 2015