Birdman amevunja ukimya kufuatia tuhuma zinazo muhusisha yeye na Young Thug kuhusika na jaribio la kutaka kumuua Lil Wayne. Birdman amekana kuhusika kwa aina yoyote kupanga njama za mauaji licha ya maelezo ya polisi kumtuhumu yeye na Young Thug. Chanzo cha karibu na Wayne na Birdman kilizungumza na mtandao wa Tmz juu ya taarifa zinazosambazwa na zinazodaiwa kutolewa na polisi kuwa Birdman alipokea simu April 26, ikiwa ni muda mfupi baada ya basi maalum la show la Lil Wayne kutupiwa...
MSANII mkongwe wa muziki wa dance Tanzania, Ramadhan Masanja maarufu Banza Stone amefariki dunia leo mchana baada ya kuugua kwa muda mrefu. Akizungumza na efm kwa njia ya simu, kaka wa Marehemu Jabir Masanja amethibitisha kutokea kwa msiba huo na kwamba taratibu zote zinafanyika nyumbani kwao Sinza jijini Dar es salaam. Kwa mujibu wa ndugu wa marehemu, Banza alikuwa anasumbuliwa na fangasi waliokuwa wanamshambulia kichwani (ubongo) na shingoni. EFM inatoa pole kwa ndugu jamaa na marafiki na Wapenzi wa Muziki...
Mwimbaji wa muziki wa r&b kutoka Marekani Chris Brown huenda akapoteza nafasi aliyoipigania kwa kipindi kirefu kuishi na binti yake Royalty. Haya yanakuja mara baada ya nyumba yake kuvamiwa na kundi la waharifu hali aliyopelekea mama wa mtoto huyo kuwa na hofu ya kumpoteza mwanae atakapomuacha chini ya uangalizi wa Cris Brown kutokana na rekodi yake ya kujihusisha na makundi ya wahuni. Nia Guzman anafikiria kuwa makundi hayo kwa sasa yanamrudia Cris na kumfanyia uhalifu hivyo ni hatari kwa maisha...
Rapa aliyewahi kufanya vizuri kwenye tasnia ya muziki na filamu duniani DMX amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela. Earl Simmons mwenye miaka 44, alishikiliwa katika kituo cha polisi ambapo wasemaji maafisa usalama huko Buffalo katika jiji la New York wamesema rapa huyo amefikishwa katika gereza la Erie County Holding Center. Wakieleza sababu ya Dmx kuhukumiwa kifungo hiko wamesema kuwa kushindwa kuzingatia agizo la mahakama ya usuluhishi wa masuala ya kifamilia baada ya kushindwa kuchangia matunzo ya mtoto...
Rapa The Game ambae hapo nyuma aliwahi kuwa member wa kundi la G-Unit amesema kuwa richa ya yeye kutokuwepo kwenye kundi hilo kwa sasa lakini bado anatumia mafanikio anayoyapata kifedha kutokana na kazi za kundi hilo. Akiongea wakati wa hafla ya awali kabla ya tuzo za BET kufanyika amesema “Nina dola milioni 30n mfukoni bado natumia mkwanja kutoka G-Unit richa ya kutosikika kwenye redio “. The Game amekuwa na mahusiano mabaya na boss wa kundi hilo 50 Cent nah ii...
Wezi wamevunja kwenye nyumba ya Pallaso huko nchini Uganda na kuiba kila kitu ndani hivyo kuicha nyumba ikiwa tupu bila kusalia kitu chochote. Tukio hilo limetokea wakati msanii huyo anatumbuiza kwenye show ya ndugu zake Radio & Weasel pius Mayanja (Pallaso) akizungumza baada ya tukio hilo kwenye moja ya post yake fupi iliyochukuwa hisia za wengi amesema anaamini yeye ni shujaa na pia Mungu yupo upande wake member huyo wa zamani wa kundi la Team No Sleep amekuwa na...
Mke wa Sean Poul hatimae amemuomba radhi Usain Bolt kufuatia kauli post yake ya kumponda mwanariadha huyo kwenye mtandao wa facebook kuwaboa wengi. Kwenye post hiyo Jinx alifananisha matendo ya Usain Bolt na jirani kutoka kuzimu kutokana na kelele za mwanariadha huyo zinazotoka nyumbani kwake ama kwenye vyombo vya moto anavyoendesha. Kwenye post yake ya sasa Jinx amesema hakumaanisha kumuumiza mtu yeyote wala kumkosea heshima Usain Bolt kwakuweka hadaharani kinachomkera Pia ameongeza kuwa atafuata njia nyingine zakuweza kutatua tatizo...
Nicki Minaj amwagana na mpenzi wake rapa Meek na amerudisha pete kubwa ya almas aliyopewa na rapa huyo. Miezi sita iliyopita baada ya kuyaweka hadharani mahusiano yao mastar hawa kwa sasa wamefikia tamati ya kuwa pamoja katika mahusiano ya kimapenzi. Chanzo cha karibu na mastar hawa kimeeleza kuwa chanzo cha kuvunjika ni usaliti na kutokubaliana katika baadhi ya mambo ndio chanzo cha kuvunjika kwa mahusiano hayo Hii si mara ya kwanza kwa wawili hawa kupata matatizo ndani ya mahusiano yao...
Video imeongozwa na Adam Juma Audio produced by Abbah Studio: Vipaji...
Diamond ameachia rasmi video ya wimbo aliomshirikisha Mr Flavour – NaNa Audio imeandaliwa na Nahreal Video imeongozwa na God Father...