Local News

NAMTUMBO: WANANCHI WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA WAKANDARASI WA MIRADI YA BARABARA
Local News

WANANCHI wa Wilaya ya Namtumbo na Tunduru mkoani Ruvuma wametakiwa kutoa ushirikiano kwa wakandarasi wanaotekeleza miradi ya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kutoka Namtumbo hadi Tunduru  kwa kuacha tabia ya kuwaibia mafuta na vifaa kwa lengo la kuleta ufanisi wa kazi hizo. Hayo yamesemwa na Meneja Wakala wa Barabbara mkoani Ruvuma –TANROADS ABRAHAM KISIMBO wakati alipokuwa akizungumzia kuhusu maendeleo ya Ujenzi wa Barabara hizo unaoendelea kwa kasi tofauti na miaka miwili iliyopita. Kabla ya Serikali haijakatisha mkataba na...

Like
356
0
Thursday, 19 February 2015
SUMATRA YAWATAKA WAMILIKI WA VYOMBO VYA MAJINI KUKATIA LESENI VYOMBO VYAO
Local News

MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini-SUMATRA imewataka wamiliki wote wa Vyombo vya Majini kuhakikisha wanakatia Leseni vyombo vyao ili kuweza kufanya kazi kwa lengo la kupunguza vifo vya Majini. Rai hiyo imetolewa na Afisa Mfawidhi wa SUMATRA mkoani Tanga WALUKANI LUHAMBA katika kikao cha maofisa na Mamlaka zinazojishughulisha na ukaguzi wa vyombo vya majini mkoani humo. Amesema vyombo vingi vya majini vimekuwa vikifanya kazi bila ya kufuata taratibu kitu ambacho ni hatari kwa maisha ya wasafiri...

Like
343
0
Thursday, 19 February 2015
DAWASCO YABAINI WAHUJUMU WA MIUNDOMBINU YA MAJI DAR
Local News

LICHA ya jitihada zinazoendelea kufanywa ili kuzuia uhujumu wa Miundombinu ya Majisafi na Wizi wa Maji,hujuma nyingine kubwa ni ya chuma chakavu za Majitaka. Hujuma hiyo imebainika baada ya DAWASCO kukamata mifuniko ya Majitaka katika kiwanda cha Nondo cha Iron and Steel cha jijini Dar es salaam. Vyuma hivyo chakavu ni mifuniko ya Chemba za Majitaka za DAWASCO, zimebainika baada ya uchunguzi wa kina na taarifa kutoka kwa Wasamaria wema kuhusu upatikanaji wa mifuniko hiyo kiwandani...

Like
617
0
Wednesday, 18 February 2015
WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AFANYA ZIARA KUKAGUA MIRADI LINDI NA MTWARA
Local News

WAZIRI wa Nishati na Madini,mheshimiwa  GEORGE SIMBACHAWENE amefanya ziara mkoani Lindi na Mtwara mwanzoni mwa wiki kukagua miradi mbalimbali iliyo chini ya Wizara yake ambapo ameahidi huduma za umeme na Maji kwa wananchi mbalimbali. Akiwa Madimba mkoani Mtwara, baada ya kupokea taarifa ya Maendeleo ya Ujenzi wa Mtambo wa kuchakata gesi, Waziri SIMBACHAWENE amemwagiza Msimamizi Mkuu wa Mradi wa Bomba la gesi, Mhandisi KAPUULYA MUSOMBA kutoa huduma ya Maji Safi kwa Wananchi wanaozunguka maeneo...

Like
1088
0
Wednesday, 18 February 2015
NHIF YAJA NA MPANGO WA KUSAIDIA MATIBABU WANANCHI WASIOJIWEZA
Local News

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya-NHIF umeanzisha mpango wa Kikoa ambao utatoa nafasi kwa Wananchi wasiokuwa na uwezo wa kuchangia gharama za Matibabu kutibiwa bure. Wananchi wanaotarajiwa kunufaika na mpango huo ni kutoka katika Kaya masikini ambazo haziwezi kuchangia Shilingi 78,800 ambazo kila mwanachama anatakiwa kuchangia kwa mwaka. NHIF imefikia uamuzi wa kuanzisha mpango huo ili kunusuru watu wengi wanaopoteza maisha kutokana na kutokuwa na uwezo wa kumudu gharama za...

Like
263
0
Wednesday, 18 February 2015
JKT YASISITIZA KUTOLITAMBUA KUNDI LA VIJANA WANAOKUSUDIA KUANDAMANA
Local News

JESHI la Kujenga Taifa-JKT limesisitiza kuwa haliwatambui kundi la Vijana waliomaliza mafunzo ya Jeshi wanaokusudia kufanya maandamano ili kushinikiza Ajira,kwa kuwa hawako tena chini yao. Aidha limesema vijana haop ni raia kama wengine na wanachokusudia kukifanya ni uhalifu hivyo wachukuliwe kama wahalifu wengine. Mkuu wa JKT Meja Jenerali RAPHAEL MUHUGA akizungumza na Efm amesema kimsingi hawana mktaba wowote na vijana hao baada ya kumaliza mafunzo yao katika jeshi...

Like
244
0
Wednesday, 18 February 2015
WATANZANIA WATAKIWA KUZITUMIA FURSA ZA ELIMU
Local News

WATANZANIA hususani Wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali nchini wameshauriwa kutumia fursa zinazojitokeza katika kupata Elimu ili kutimiza malengo yao waliyojiwekea. Ushauri huo umetolewa leo jijini Dar es salaam na Mwakilishi wa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Dokta BENHADJ MASOUD wakati akifungua rasmi mpango wa utoaji wa fursa katika Elimu ulioshirikisha nchi za Afrika Mashariki na nchi za Scandinavia. Dokta MASOUD amesema kuwa ikiwa mpango huo utatekelezwa ipasavyo utawasaidia kwa kiasi kikubwa Wananchi kutimiza malengo yao kupitia fursa...

Like
220
0
Tuesday, 17 February 2015
DAWA ZA KUZUIA MAAMBUKIZI YA VVU ZASAIDIA WATOTO KUZALIWA SALAMA
Local News

IMEELEZWA kuwa Kuimarika kwa upatikanaji wa huduma ya kupewa dawa za kuzuia maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) kwa akina mama wajawazito ili kuzuia maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto kumesababisha watoto wengi kuzaliwa wakiwa salama. Hayo yamesema na Dokta Zulfa Msami wakati akisoma taarifa ya kituo cha Afya cha Manispaa ya Lindi kwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete alipotembelea kituo hicho. Dokta Msami...

Like
317
0
Tuesday, 17 February 2015
SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KUADHIMISHWA MOROGORO KITAIFA
Local News

MKOA wa Morogoro umeteuliwa kuwa mwenyeji wa maadhimishi ya siku ya Wanawake Dunia  Kitaifa, siku ambayo huadhimishwa kila ifikapo March 08 kila mwaka. Siku hiyo huadhimishwa kwa shughuli mbalimbali na kutambua mchango wa Mwanamke katika Maendeleo ya Jamii. Kampuni ya TRUMARK ya jijini Dar es Salaam imeandaa Warsha maalum katika maadhimisho hayo yenye Kauli mbiu isemayo Wanawake...

Like
451
0
Tuesday, 17 February 2015
POLISI YAJIANDAA KUZUIA MAANDAMANO YA VIJANA WAHITIMU WA JKT
Local News

JESHI la Polisi limesema wamejiandaa na lipo tayari kuzuia maandamano yaliyopangwa kufanywa na baadhi ya ya vijana Zaidi ya 200 waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa-JKT kuanzia mwaka 2000 hadi mwaka 2013. Tayari Vijana hao kutoka mikoa mbalimbali nchini wametangaza kuwa watafanya maandamano makubwa kwa siku tatu katika jiji la Dar es salaam kwa lengo la kwenda Ikulu kumuona Rais KIKWETE ili kumweleza shida zao ikiwemo ya kutokuwa na ajira ya kudumu tangu wamalize mafunzo hayo. Pia vijana hao...

Like
1103
0
Tuesday, 17 February 2015
BODI YA WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI YATOA MAFUNZO KWA WAALIMU
Local News

BODI ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi imeendesha mafunzo kwa walimu ,Wataalam wanaosimamia Wanafunzi wa Fani ya Ununuzi na Ugavi wanaofanya tafiti kama sehemu ya mafunzo yao ya Stashahada ya ununuzi na ugavi. Mafunzo hayo yamefunguliwa na mjumbe wa bodi ya Wakurugenzi, AZIZ KILONGE, ambaye amewaasa Wataalam hao kuhakikisha kwamba wanasimamia Wanafunzi kwa Ukamilifu ili kuongeza ubora wa kazi za utafiti zinazofanywa. Amefafanua kuwa uzingatiaji wa Maadili katika kufanya tafiti, ndio msingi na matakwa ya Bodi, ili kuhakikisha kuwa wanafunzi...

Like
252
0
Monday, 16 February 2015