JKT YASISITIZA KUTOLITAMBUA KUNDI LA VIJANA WANAOKUSUDIA KUANDAMANA

JKT YASISITIZA KUTOLITAMBUA KUNDI LA VIJANA WANAOKUSUDIA KUANDAMANA

Like
192
0
Wednesday, 18 February 2015
Local News

JESHI la Kujenga Taifa-JKT limesisitiza kuwa haliwatambui kundi la Vijana waliomaliza mafunzo ya Jeshi wanaokusudia kufanya maandamano ili kushinikiza Ajira,kwa kuwa hawako tena chini yao.

Aidha limesema vijana haop ni raia kama wengine na wanachokusudia kukifanya ni uhalifu hivyo wachukuliwe kama wahalifu wengine.

Mkuu wa JKT Meja Jenerali RAPHAEL MUHUGA akizungumza na Efm amesema kimsingi hawana mktaba wowote na vijana hao baada ya kumaliza mafunzo yao katika jeshi hilo.

Comments are closed.