MICHEZO YA UFUNGUZI LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA

MICHEZO YA UFUNGUZI LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA

Like
274
0
Wednesday, 18 February 2015
Slider

Katika michezo ya ufunguzi ya michuano ya UEFA hapo jana nyasi ziliwaka moto katika viwanja viwili tofauti kwenye hatua ya kumi na sita bora

Klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa ilikuwa mwenyeji wa Chelsea ya Uingereza ambapo nusu ya kwanza ya mchezo huo Chelsea ilitawala kwa kuwa ya kwanza kuziona nyavu za PSG kupitia mchezaji wake Branislav Ivanovic mnamo dakika ya 36 na kudumu hadi mapumziko, katika kipindi cha pili dakika ya 54 PSG waliweza kusawazisha bao hilo kupitia mchezaji wake Edinson Cavani na kuutawala mchezo kwa kipindi kirefu na kumaliza mchezo huo wakiwa sare ya 1-1.

uefa

Bayern Munich walikuwa wageni wa klabu ya Shaktar Donetsk huko Ukraine katika mchezo uliotwaliwa na vitendo vya kibabe, ambapo mchezaji wa Bayern Munich Xabi Alonso aliondoka katika viwanja hivyo akiwa na kadi nyekundu

uefa3 uefa44

Comments are closed.