MTU MMOJA asiyejulikana amekutwa amekufa katika eneo la Kimara Temboni, Mtaa wa Upendo. EFM imefika katika eneo hilo na kushudia mwili wa mtu huyo ukiwa umeharibika vibaya baada ya kukaa muda mrefu bila kugundulika na hivyo kusababisha harufu kali katika eneo hilo. Inasemekana kabla ya mwili huo kuharibika zaidi katika hatua ya kutoa harufu haukuweza kugundulika kwa sababu ulikuwa katika eneo ambalo limejificha na baadhi ya watu kudhani kuwa huwenda ni mnyama amekufa kwakuwa mara nyingi wakazi wa eneo...
KATIKA kuhakikisha kuwa kunakuwepo na Ubora na Usalama wa dawa kwa matumizi ya binadamu, Mamlaka ya Chakula na Dawa Nchini-TFDA, imefuta usajili na kuzuia uingizaji, usambazaji na matumizi ya aina tano za dawa za binadamu. Akizungumza na Wandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo HIITI SILLO, amesema kuwa uamzi huo uliochukuliwa ni kutokana na matokeo ya mfumo wa ufuatiliaji na kubaini uwepo wa dawa duni kwenye soko. Bwana SILLO amezitaja baadhi ya dawa zilizofungiwa...
UMOJA wa katiba ya wananchi -UKAWA, umesema kuwa hawatashiriki katika mchakato wa kura za maoni kutokana na mapungufu mbalimbali yanayolikabili zoezi hilo ikiwemo mchakato wa kupata katiba pendekezwa haukuzingatia maridhiano ya kitaifa. Akizungumza na waandishi wa habari msemaji wa umoja huo ambaye ni Mwenyekiti wa chama cha wananchi Cuf Profesa Ibrahim Lipumba amesema kuwa kutokana na mapungufu hayo Ukawa walisusia mchakato huo tangu ulipoanza na pia Rais alipuuza makubakubaliano baina ya umoja wa Demokrasia Tanzania ambao unaundwa na vyama...
SERIKALI imesema imeandaa mkakati maalumu wa kuwaelimisha wananchi kujiandikisha kwenye Daftari la kudumu la wapiga kura. Mkakati huo utatekelezwa kupitia Halmashauri zote nchini na kwamba, itakuwa ni fulsa kwa wananchi kuona umuhimu wa kupiga kura. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Tamisemi, mheshimiwa Hawa ghasia, wakati akizungumza kwenye kikao cha sita cha shirikisho kati ya Tanzania bara na Zanzibar kinachofanyika mjini Morogoro....
KUFUATIA utafiti uliofanywa na Hakielimu na kutoa Takwimu zinazoonesha kushuka kwa Elimu kwenye baadhi ya Mikoa nchini ikiwemo Mkoa wa Rukwa Kantalamba jimbo la Nkasi ambapo hali ya utekelezaji wa malengo ya Matokeo Makubwa Sasa si ya kuridhisha bado Sekta ya Elimu imeonesha kuwa na changamoto kubwa mkoani humo. Akizungumza na Efm mara baada ya utafiti huo kutolewa mbunge wa jimbo la Nkasi Mheshimiwa Ally Kessy amesema siyo kweli kwamba elimu haijafanikiwa kwenye jimbo hilo kwakuwa Shule zimekuwa nyingi na...
KUMETOKEA vurugu leo wakati wa zoezi la kuwaapisha Wenyeviti watatu wa Serikali za mitaa katika Manispaa ya Ilala jijini Dar es salaam. Chanzo cha vurugu hizo ni baada ya Kaimu Afisa Uchaguzi Manispaa ya Ilala Hilary Baina, kumteua Bwana Mariano Haruna kuwa ni mmoja wa wagombea ambaye amepata nafasi ya Uenyekiti eneo la Kigogo Fresh B kata ya Pugu. Kwa upande wake mgombea huyo wa Kigogo Fresh B, ambaye fanyiwa vurugu hizo, amekiri kuwa anastahiri na nimwenyekiti halali kutokana na...
KATIKA kutekeleza moja ya malengo ya Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa, kupitia Ubalozi Mdogo wa Tanzania uliopo Nchini Dubai katika Falme za Kiarabu, umefanikiwa kulishawishi Shirika la Ndege la Emirates kuajiri Watanzania kwenye Shirika hilo. Shirika Limekubali kuajiri Watanzania katika kada mbalimbali, ambapo Maafisa wanaosimamia ajira kutoka Dubai wanatarajiwa kuja nchini Mwezi Machi mwaka huu kwa ajili ya kufanya usaili kwa Watanzania watakaoomba kazi kwenye Shirika hilo na kupata uteuzi wa awali. Mkurugenzi Idara...
SHIRIKISHO la wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu limeanza kufanya uchaguzi kwa ngazi ya matawi ili kupata viongozi bora wa ngazi hiyo. Uchaguzi huo utafuatiwa na uchaguzi wa ngazi za mikoa na Taifa utakao anza march 24 mpaka april 12 mwaka huu Katibu mtendaji Mkuu wa shirikisho la wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini kupitia chama cha mapinduzi ccm CHRISTOPHER NGUBIAGI amebainisha kuwa kiongozi bora ni yule anaye fuata misingi, kanuni na taratibu za kazi sambamba na...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA, kimeitisha Kikao cha Kamati kuu kitakachofanyika leo ambacho kitatoa maazimio na maamuzi ya chama kuhusu maswala mbalimbali kwa mustakabali wa wananchi kwa ujumla. Akizungumza na Wandishi wa habari Jijini Dar es salaam, Afisa habari wa chama hicho Tumaini Makene, amesema kikao hicho pia kinajadili zoezi la uandikishwaji wa Daftari kudumu la wapiga kura. Hata hivyo Makene amesema swala la Elimu ya Katiba pendekezwa ikiwemo elimu ya kura ya maoni na Taarifa ya Ukawa kuelekea...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA, kimeitisha Kikao cha Kamati kuu kitakachofanyika kesho ambacho kitatoa maazimio na maamuzi ya chama kuhusu maswala mbalimbali kwa mustakabali wa wananchi kwa ujumla. Akizungumza na Wandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam, Afisa habari wa chama hicho Tumaini Makene, amesema kikao hicho pia kitajadili zoezi la uandikishwaji wa Daftari kudumu la wapiga kura. Hata hivyo Makene amesema swala la Elimu ya Katiba pendekezwa ikiwemo elimu ya kura ya maoni na Taarifa ya Ukawa...
VIJANA nchini wametakiwa kujitambua na kuacha kutumiwa na baadhi ya wanasiasa kuwa mtaji wao wa mafanikio katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu kutokana na kubainika kuwa idadi yao ni kubwa zaidi. Askofu wa Kanisa la Anglikana Jimbo la Dar es Salaam, Dokta Valentino Mokiwa amesema kwa mujibu wa taarifa ya Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Dokta Albina Chuwa, Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012, inaonyesha kuwa vijana ni asilimia 34.7 ya watu wote nchini,...