Local News

Muda wa usajili Vyombo vya Habari Mtandaoni waongezwa
Local News

Mamlaka ya kudhibiti Mawasiliano nchini, TCRA imeongeza muda wa usijili kwa wamiliki wa vyombo vya habari mtandaoni {Blog, Radio au TV} ambao bado hawajapata leseni ya utoaji huduma hiyo kuwa tayari wawe wamekamilisha usajili huo mpaka ifikiapo June, 30, 2018. Katika Taarifa iliyotolewa na TCRA imesema ifikapo tarehe hiyo wale ambao bado watakuwa hawana leseni watatakiwa kuondoa hewani mitandao yao. Ameongezea kuwa hatua za kisheria zitachukuliwa kwa atakayeenda kinyume na agizo...

Like
622
0
Sunday, 17 June 2018
Wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano Watajwa
Local News

Dodoma. Wanafunzi 70,904 waliohitimu kidato cha nne mwaka jana wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano, vyuo vya ufundi na vya elimu ya kati kwa mwaka 2018, huku wengine 21,808 waliokuwa na sifa za kuchaguliwa wakiachwa. Akizungumza na waandishi wa habari Juni 16,2018 jijini Dodoma, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais –Tamisemi, Selemani Jafo amesema kati ya wanafunzi hao, wasichana ni 31,884 na wavulana 39,020. Amesema wanafunzi waliochaguliwa ni kati ya 92,712 wa shule na taasisi ya elimu ya watu wazima...

Like
693
0
Sunday, 17 June 2018
Eid Mubarak kwa wanafamilia wote wa namba ya bahati
Local News

Eid Mubarak kwa wanafamilia wote wa namba ya bahati. Tunawatakia kila heri kuisherehekea sikukuu ya Eid...

Like
472
0
Thursday, 14 June 2018
LEO NI SIKU YA WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI DUNIANI
Local News

Leo June 13 ni siku ya Uelewa wa watu wenye Ualbino Duniani ambapo kwa Tanzania kitaifa inafanyika mkoani Simiyu. Pamoja na kampeni mbalimbali jamii ya watu wenye ulemavu wa ngozi bado inaishi kwa mashaka kutokana vitendo vya imani potofu ambavyo vinaendelea kuripotiwa maeneo mbalimbali vikilenga watu wa jamii hiyo. Watu wenye ulemavu kwa muda mrefu wamekuwa wakikabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ya ukosefu wa upendo kutoka kwa baadhi ya watu wenye imani potofu wanaowauwa au kuwasababishia ulemavu kwa ajili ya...

Like
529
0
Wednesday, 13 June 2018
WANUNUZI WA PAMBA WAISHUKURU SERIKALI
Local News

WANUNUZI wa zao la pamba wameishukuru Serikari kwa kuweka mfumo mzuri wa ununuzi wa zao hilo, ambalo kwa mwaka huu linauzwa kupitia katika minada inayosimamiwa na Vyama vya Msingi vya Ushirika (AMCOS).   Hata hivyo wanunuzi hao wameiomba Serikali kuziwezesha AMCOS kuwa na maghala makubwa na ya kisasa ya kuhifadhia pamba, lengo likiwa ni kuhakikisha pamba inahifadhiwa kwenye maeneo salama na kuifanya isipoteze ubora.   Kauli hiyo imetolewa jana (Jumanne, Juni 12, 2018) na mmoja wa wanunuzi hao ambaye ni...

Like
531
0
Wednesday, 13 June 2018
TANZIA: Msanii Sam wa Ukweli Afariki Dunia
Local News

MSANII wa Bongo Fleva, Sam wa Ukweli amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Palestina iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu na mwili wake umehifadhiwa katika Hospital ya Mwananyamala.   Taarifa hiyo imethibitishwa na msambazaji wa nyimbo zake ambaye pia Meneja wa ‘Team Mtaa kwa Mtaa’, Amri the Business aliyeeleza kwa masikitiko alivyopokea makubwa kuwa Sam amefariki dunia na kumtakia kupumzika kwa amani.   “Siamini kilichotokea muda huu ila sina jinsi, kwani...

1
1365
0
Thursday, 07 June 2018
Habari kwa Picha Kuaga Miili ya Wapendwa Wetu Maria na Consolata
Local News

Mamia ya watu wamejitokeza katika ibada ya kuwaaga miili ya wapendwa wetu Maria na Consolata katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Ruaha-RUCU ambapo ibada maalumu ya kuwaaga mapacha hao imefanyika. Baada ya ibada kutakuwa na maandamano ya kuelekea katika makaburi ya Tosamaganga ambapo ndipo miili yao itakapopumzishwa. Ibada hiyo imehudhuriwa na Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Joyce Ndalichako na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu atayeshughulikia masuala ya Watu wenye ulemavu, Stella...

Like
865
0
Wednesday, 06 June 2018
Makamo wa Rais Samia Suluhu  amezindua Ukuta wa Bahari Katika Barabara ya Barack Obama
Local News

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amezindua Ukuta wa Bahari katika barabara ya Barack Obama wenye urefu wa mita 920 ambao umejengwa chini ya ufadhili wa Mfuko wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabia Nchi wa Dunia. ( Picha na Ofisi ya Makamu wa...

Like
684
0
Tuesday, 05 June 2018
WATANZANIA WATAKIWA KUJIUNGA NA MPANGO WA BIMA YA AFYA
Local News

Daktari wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya mkoani Tanga (NHIF) Dennis David akimpima mkazi wa Jiji la Tanga Octaviani Moshiru kwenye banda lao  lililopo kwenye viwanja vya Mwahako Jijini Tanga kunakoendelea maonyesho ya sita ya biashara ya kimataifaDaktari wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya mkoani Tanga (NHIF) Dennis David akimpima mkazi wa Jiji la Tanga Octaviani Moshiru kushoto akimsikiliza kwa umakini mkazi wa Jiji la Tanga Daktari wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya mkoani Tanga...

Like
952
0
Monday, 04 June 2018
BODI YA MIKOPO YASITISHA MIKOPO KWA WANAFUNZI WA DIPLOMA
Local News

Dar es Salaam. Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesitisha mpango wa kutoa mikopo kwa wanafunzi wanaosoma stashahada (diploma) kuanzia mwaka wa masomo 2018/2019 kama ilivyokuwa imetangaza Mei 10 mwaka huu. HESLB ilitoa mwongozo unaosimamia utoaji mikopo kwa mwaka wa masomo 2018/2019 ambao ulieleza kuwa ingeanza kutoa mikopo kwa wanafunzi wa stashahada na kuwa utaratibu wa kuomba mikopo hiyo ungetolewa baadaye. Hata hivyo, taarifa iliyotolewa jana na Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Abdul-Razaq Badru inasema hatua hiyo...

Like
462
0
Monday, 04 June 2018
MKANDARASI WA KITUO CHA AFYA GAIRO ATAKIWA KUMALIZA KAZI KWA WAKATI
Local News

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe ameutaka uongozi wa wilaya ya Gairo unamsimamia mkandarasi na kuhakikisha upanuzi wa kituo cha afya na unakwisha kwa wakati. Akizungumza na uongozi na mkandarasi wakati wa ziara yake mwishoni mwa wiki iliyopita ya kukagua maendeleo ya Wilaya ya Gairo, Mhe. Kebwe amesema kuwa hajaridhishwa na kasi wanayokwenda nayo katika upanuzi wa kituo cha afya unaofanyika hivi sasa licha ya kuwa fedha za kituo hizo zote zimeshatolewa.  “Ni nini kinakwamisha ujenzi kuisha...

Like
738
0
Wednesday, 30 May 2018