Local News

SERIKALI IMEOMBWA KUREKEBISHA BARABARA INAYOELEKEA KWENYE KITUO CHA MAWASILIANO
Local News

MADEREVA wa Mabasi Jijini Dar es salaam wanaotumia kituo cha daladala cha Mawasiliano wameiomba serikali kuboresha Barabara ya Kuelekea Kituoni hapo ambayo huchangia kwa kiasi kikubwa uharibifu wa magari. Wakizungumza na Efm radio baadhi ya Madereva wanaotumia Kituo hicho wamesema kuwa Ubovu wa Barabara hiyo ni tatizo la Kipindi Kirefu ambalo bado halijapatiwa ufumbuzi. Kwa upande wake Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni MUSSA NATTY amebainisha kuwa serikali inatambua tatizo la barabara hiyo na kuwa kwa kushirikiana na benki ya dunia...

Like
250
0
Monday, 21 September 2015
JAMII IMEOMBWA KUTUNZA NA KULINDA AMANI NA UTULIVU
Local News

JAMII hususani Vijana wameombwa kutunza, kulinda na kuendeleza amani na utulivu uliopo nchini kwa kutambua umuhimu wake na kutokubali kutumiwa na Mtu au Kikundi cha Mtu kuvuruga amani iliyopo. Hayo yamesemwa leo katika Maadhimisho ya siku ya Amani duniani ambayo huazimishwa Septemba 21 kila mwaka na nchi zilizo katika Jumuiya ya madola ya umoja wa mataifa ambapo kwa mwaka huu imebeba kauli mbiu ya “Ushirikiano wa amani, utu kwa wote” ikiwa na lengo la kuwaelimisha Vijana juu ya umuhimu wa...

Like
354
0
Monday, 21 September 2015
SERIKALI YAKIRI CHANGAMOTO YA UKOSEFU WA AJIRA
Local News

PAMOJA na kuwepo na maendeleo ya kuridhisha katika suala la ajira kwa vijana, serikali imekiri kwamba ukosefu wa ajira bado ni tatizo kubwa kwa Taifa na duniani kwa ujumla.   Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Kazi kutoka Wizara ya kazi Ally Ahmed wakati akifungua warsha ya siku moja ya wadau wa ajira kwa vijana na kusema kuwa kutokana na changamoto hiyo kwa sasa suala la Ajira limekuwa Ajenda kuu ya Taifa.   Mbali na hayo amebainisha kuwa vijana wanaojiajiri...

Like
943
0
Monday, 21 September 2015
JESHI LA POLISI LAWATAKA WANASIASA KUZINGATIA SHERIA NA MIONGOZO YA NEC
Local News

IKIWA Zimebaki siku 33 kufika uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani, Jeshi la polisi nchini limewataka viongozi wa vyama vya siasa kuzingatia sheria zinazowaongoza na miongozo mbalimbali ambayo imekuwa ikitolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC Ili Kuhakikisha Uchaguzi mkuu unakuwa wa Amani. Akizungumza na kituo hiki Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini-SSP-ADVERA BULIMBA Amesema Kuwa ili kulinda amani iliyopo nchini hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu Wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi hawana budi kujiepusha na...

Like
251
0
Monday, 21 September 2015
POLISI YATAKIWA KUWAJALI WAZEE NA WATOTO
Local News

JESHI la polisi nchini limetakiwa kuwajali watoto na wazee wakati wa kuzuia vurugu zinapotokea kwa kuwa makundi hayo ya watu ndio huaathirika zaidi. Akizungumza na kituo hiki mmoja wa wazazi anayefahamika kwa jina la Agatha Kadaso ambaye mtoto wake amejeruhiwa jicho kwa bomu la machozi wakati wa kutuliza vurugu kati ya jeshi la polisi na madereva wa daladala wilaya ya Misungwi amesema jeshi hilo linapaswa kuzingatia usalama wa watoto na wazee kwa...

Like
225
0
Friday, 18 September 2015
VYOMBO VYA HABARI VIMETAKIWA KUTOA NAFASI SAWA KWA WAGOMBEA WOTE
Local News

VYOMBO vya habari nchini vimetakiwa kuwapa nafasi wagombea wote wa vyama vya kisiasa wanaoshiriki kujinadi kwenye kampeni ili watangaze sera zao kwa wananchi, kuliko kuvipa kipaumbele vyama viwili pekee vya CCM na Chadema.   Akizungumza jijini Arusha wakati wa warsha ya kuandika habari za uchaguzi kwa waandishi habari wa mikoa ya kanda ya kaskazini, mhariri mwandamizi nchini Chrysostom Rweyemamu amesema ni muda muafaka sasa kwa vyombo hivyo kuzingatia ipasavyo maadili yao kwa kutoa haki sawa kwa kila...

Like
246
0
Friday, 18 September 2015
BWANA E AGAWA MAFUTA KISARAWE
Entertanment

Wasikilizaji wa 93.7 EFM kisarawe jana walijipatia mafuta ya bure, baada ya bwana E kutoka EFM kupita eneo hilo na kugawa mafuta. Kila mwananchi wa eneo hilo aliye na chombo cha moto kama bajaji, pikipiki alifurahia huduma hiyo ya bure na yenye manufaa. Mchakato ulikuwa rahisi tu. Wasikilizaji walitakiwa kufika kituo cha mafuta alichopo  bwana E, wakiwa na stika ya EFM, wanasikiliza EFM na bwana E kuwazawadia mafuta ya bureee. Huu ni mwanzo tu kwa wasikilizaji wa kisarawe. “Siku ya...

Like
301
0
Friday, 18 September 2015
WANANCHI MKURANGA KUNUFAIKA NA MRADI MKUBWA WA USAMBAZAJI MAJI
Local News

WANANCHI wa wilaya ya Mkuranga, mkoa wa Pwani wanatarajia kunufaika na mradi mkubwa wa usambazaji wa maji kufuatia kukamilika kwa zoezi la uchimbaji wa kisima cha maji chenye urefu wa mita 541 ambacho kina uwezo wa kuzalisha lita milioni  1.8  kwa siku.   Akitoa taarifa za kukamilika kwa kazi ya uchimbaji wa kisima hicho  mwakilishi wa kampuni ya kuchimba visima ya ZENTAS  kutoka Uturuki nchini Tanzania dokta Mohammed Akbar amesema wanaendelea na majaribio ya kuyatoa maji kutoka ardhini  jambo ambalo...

Like
450
0
Friday, 18 September 2015
WIZARA YA MAMBO YA NJE YATOA UFANUNUZI WA SAFARI ZA RAIS KIKWETE NJE YA NCHI
Local News

Wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa imesema kuwa imesikitishwa na taarifa zisizo za kweli zilizotolewa katika vyombo vya habari kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, katika kipindi cha miaka 10 ya uongozi wake ametumia Shilingi trilioni 4 kwa ajili ya safari za kikazi nje ya nchi, ambazo ni wastani wa bajeti nzima ya wizara kwa miaka mitano 5.   Taarifa iliyotolewa na kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Mambo ya Nje na...

Like
268
0
Friday, 18 September 2015
WADAU WA MAENDELEO WAANDAA MPANGO KUSAIDIA VIJANA KUENDANA NA SOKO LA AJIRA
Local News

KUTOKANA na  tatizo la  ajira hususani kwa vijana ambalo hivi sasa ni zaidi ya asilimia 13, wadau  mbalimbali wa maendeleo kwa kushirikiana na watafiti  nchini wanatarajia kuandaa mpango maalum utakaowasaidia vijana  kuendana na soko la ajira ili waweze kupata ajira kwa urahisi. Wadau hao  pamoja na baadhi ya vijana wanaotafuta ajira na wale waliojiajiri katika sekta mbalimbali wamekutana leo jijini Dar es salaam kwa  lengo la  la kujadili  na kuangalia namna tafiti  mbalimbali zinzavyoweza  kusaidia kupunguza tatizo la ukosefu wa...

Like
213
0
Thursday, 17 September 2015
THRDC YATOA RIPOTI YA UTEKELEZAJI WA MAPENDEKEZO 107 YA HAKI ZA BINADAMU
Local News

MTANDAO wa watetezi wa haki za binadamu nchini (THRDC) umetoa ripoti kuhusu utekelezaji wa mapendekezo 107 ya haki za binadamu yaliyofanyika na kuridhiwa na makundi mbalimbali. Hayo yamebainishwa katika mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam na mkurugenzi wa mtandao huo unaojumuisha asasi 80 zinazojiusisha na utetezi wa haki za binadamu, ONESMO OLENGURUMA ambapo amesema mchakato huu utakuwa endelevu ili kuhakikisha haki za binadamu zinapewa kipaumbele...

Like
230
0
Thursday, 17 September 2015