Local News

UHONDO YAZINDUA SHINDANO LA KHANGA, MILIONI MOJA KUSHINDANIWA
Entertanment

KATIKA kuhakikisha kuwa inamshirikisha msikilizaji wake kwenye kila jambo na hatua inayopiga  93.7 efm, kupitia kipindi chake kipya cha Uhondo ambacho huruka hewani kila siku za Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa sita mchana hadi saa tisa Alasiri, Kikiwa na watangazaji mahiri Dina Marios na Swebe Santana (Rais wa Wanaume) kimeandaa shindano la Kanga kwa ajili ya wanawake wote wasikilizaji wa Efm.   Lengo la shindano hilo, linaloanza leo Septemba 14 na kuishia Oktoba 5 mwaka huu,  kwanza ni kuwahamasisha wanawake...

Like
950
0
Monday, 14 September 2015
WATOTO WAKUTANA KUJADILI MAPENDEKEZO KATIKA ILANI YA UCHAGUZI
Local News

WATOTO  kutoka mabaraza mbalimbali nchini wamekutana Jijini Dar es salaam kwa lengo la kujadili na kutoa maamuzi juu ya masuala muhimu waliyoyapendekeza awali kuingizwa katika Ilani za uchaguzi.   Majadiliano hayo yametoa nafasi kubwa zaidi kwa watoto hao kuzichambua Ilani za vyama mbalimbali ambazo zinatumika katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu.   Akizungumza katika mkutano huo mkuu wa kitengo cha habari kutoka shirika la kusaidia watoto la Save The Children– ELLEN OTARU OKOIDION amesema kuwa majadiliano hayo pia...

Like
440
0
Monday, 14 September 2015
TFDA YATEKETEZA SHEHENA YA VYAKULA, VIPODOZI NA VIFAA TIBA KANDA YA KATI
Local News

MAMLAKA ya chakula na dawa –TFDA, kanda ya kati imeteketeza zaidi ya tani tatu za shehena ya vyakula, vipodozi vifaa tiba na dawa zenye thamani ya shilingi milioni 38. 8 kufuatia msako mkali uliofanywa katika maduka yaliyoko Manispaa ya Dodoma na kubaini bidhaa hizo hazifai kwa matumizi ya binadamu kutokana na kumalizika muda wa matumizi pamoja na kuwa na kemikali zenye viambata vya sumu. Meneja wa TFDA Kanda ya Kati, Florent Kayombo amesema bidhaa hizo zimekamatwa kufuatia msako uliofanyika mwezi...

Like
332
0
Monday, 14 September 2015
PICHA: MUZIKI MNENE BAR KWA BAR MLANDIZI 2015
Entertanment

Shukarani za dahati tunazipeleka Mlandizi kwa kujitokeza kwa wingi kwenye Muziki Mnene bar kwa bar kwenye viwanja vya First Inn lakini pia kwa kuhudhuria mchezo kati ya E-fm na Mlandizi Veteran haya ni baadhi ya matukio yaliyojiri na yanayoaendelea hapa First Inn...

Like
486
0
Saturday, 12 September 2015
MUZIKI MNENE BAR KWA BAR MLANDIZI
Entertanment

Baada ya safari kukamilika kutoka Dsm hadi Mlandizi mkoa wa Pwani kikosi cha E-fm kiliwasili salama Mlandizi kikiwa tayari kabisa kukipiga na timu ya Mlandizi Veteran kabla ya kuanza kwa sherehe za Muziki Mnene bar kwa bar eneo la Firdt Inn bar. MATUKIO KATIKA PICHA  ...

Like
339
0
Saturday, 12 September 2015
GWAJIMA KUPANDISHWA KIZIMBANI LEO
Local News

ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, leo anatarajiwa kupanda kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakati kesi zinazomkabili zitakapoanza kusikilizwa. Katika kesi ya kwanza ambayo inamkabili Gwajima peke yake, anadaiwa kutoa lugha ya matusi dhidi ya Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo. Kuanza kusikilizwa kwa shauri hilo kunatokana na upelelezi wa kesi hiyo kukamilika na mshitakiwa kusomewa maelezo ya...

Like
311
0
Thursday, 10 September 2015
MWENYEKITI WA CWT SIMANJIRO KUWATETEA WAALIMU
Local News

MWENYEKITI wa chama cha walimu nchini (CWT) Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Abraham Kisimbi amesema atawatetea walimu wa wilaya hiyo ambao wanadai serikalini fedha zao ikiwemo kurudishiwa asilimia 15 ya fedha zao. Akizungumza baada ya kuchaguliwa kushika nafasi hiyo, Kisimbi ameeleza kuwa walimu wa wilaya hiyo wana changamoto kubwa ikiwemo kutopandishwa daraja kwa muda mrefu, hivyo amesema  atatumia nafasi hiyo kutetea haki...

Like
324
0
Thursday, 10 September 2015
SHEIKH MKUU KUPATIKANA MJINI DODOMA LEO
Local News

BARAZA kuu la Waislamu Tanzania-BAKWATA, linafanya Mkutano Mkuu leo mjini Dodoma huku ajenda kuu ikiwa ni kumchagua mfti mkuu wa Tanzania. Mufti atakayechaguliwa atakuwa ni wa awamu ya tatu, baada ya kutanguliwa na Mufti Hemed Bin Jumaa bin Hemed na Mufti Issa Bin Simba aliyefariki dunia Juni 15 mwaka huu. Hivi sasa nafasi hiyo inakaimiwa na Shekh Abubakari Zubery ambaye pia ameingia katika miongoni mwa wanaowania nafasi hiyo ambayo ni ya juu katika Baraza hilo akichuana na Ally Muhidin Mkoyogole,...

Like
270
0
Thursday, 10 September 2015
JAMII IMETAKIWA KUTOWANYANYAPAA WATU WENYE ALBINISM
Local News

WITO umetolewa kwa jamii kutowanyanyapaa Watu wenye albinism na badala yake kuwalinda na kuwathamini kama watu wa kawaida kabla ya baada ya uchaguzi kwa kuwa maisha yao yamekuwa hatarini mara kwa mara kutokana na fikra potofu na imani za kishirikina zinazosambazwa na baadhi ya watu. Hayo yamesemwa leo jijini Dar es salaam katika hafla ya kukabidhi msaada wa carton 35 za mafuta ya kutunza ngozi na miwani 100 za jua zenye thamani ya shilingi milioni 2 kwa ajili kuwasaidia waweze...

Like
234
0
Wednesday, 09 September 2015
WATANZANIA WAMETAKIWA KUCHNGAMKIA NAFASI ZILIZOPO KATIKA SEKTA YA TEHAMA
Local News

WATANZANIA wametakiwa kuchangamkia nafasi mbalimbali zilizopo katika Sekta nzima ya TEHAMA kwa kujitokeza na kuthubutu kujifunza kushiriki kwa ufanisi katika kushindana au kusaidiana na kampuni zinazokuja kutoka nje kwa kuwa kwa kufanya hivyo kutasaidia kuboresha na kuendeleza Sekta hiyo kwa kuwa bado ingali changa. Hayo yamesemwa leo jijini Dar es salaam katika kilele cha mkutano wa CAPACITY Africa ulioshirikisha nchi zaidi ya 65 na kampuni mbali kutoka Ulaya America na Asia kujadili na kujengeana uwezo kuhusu masuala mbalimbali ya TEHAMA...

Like
246
0
Wednesday, 09 September 2015
LOWASSA KUANZA KAMPENI ZANZIBAR
Local News

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA, kimeahidi kutetea haki za wavuvi waliouawa na viboko wakiwa wanavua samaki kwenye ziwa Babati, bila kulipwa fidia endapo kitapewa ridhaa na wananchi ya kuingia madarakani. Ahadi hiyo imetolewa na Mgombea udiwani wa Kata ya Bagara Wilayani Babati Mkoani Manyara, Nicodemus Tlaghas ambaye amesema ni kwa muda mrefu wananchi wa eneo hilo walikosa mwakilishi wa kuwasemea na kuwatetea pindi wanapopata matatizo. Mgombea Urais anayeungwa mkono na vyama vya Ukawa Edward Lowasa leo atakuwa Zanzibar wakati...

Like
322
0
Wednesday, 09 September 2015