Sports

EURO: CROATIA YAICHAPA HISPANIA 2 – 1
Slider

Timu ya Croatia imeichapa Hispania jumla ya magoli 2 – 1 katika mchezo wa kusisimua wa kundi D wa michuano ya Kombe la mataifa ya Ulaya Euro inayochezwa huko Ufaransa. Hata hivyo timu zote Croatia na Hispania zimesonga mbele katika hatua ya 16 kutokana na kushika nafasi mbili za juu za kundi D. Katika mechi nyingine ya kundi D iliyochezwa sambamba na hiyo Uturuki imeadhibu Jamuhuri ya Czech kwa jumla ya magoli 2 – 0. Pamoja na ushindi huo timu...

Like
372
0
Wednesday, 22 June 2016
INTER MILAN YAFANYA MAWINDO KUMNASA YAYA TOURE
Slider

Inter Milan wana mipango ya kumsajili nyota wa Machester City Yaya Toure. Raia huyo wa Ivory Coast mwenye umri wa miaka 33, ana mwaka mmoja wa kuichezea Man City kabla ya kukamilisha mkataba wake. Yaya Toure aliuzwa kwa Man City ambayo ilikuwa chini ya meneja wa sasa wa Inter Milan Roberto Mancini kwa kima cha dola milioni 24 na Pep Guardiola mwaka 2010 kutoka klabu ya Barcelona. Hata hivyo taarifa zinasema kuwa huenda makubaliano yakaafikiwa au yakose...

Like
429
0
Monday, 20 June 2016
YANGA YASHINDWA KUITAMBIA BEJAIYA
Slider

Wawakilishi wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho la Soka Afrika, Yanga ya Jangwani usiku wa kuamkia leo walikumbana na kibano cha bao moja chungu kutoka kwa Bejaiya ya Algeria. Yanga watalazimika kuzikata kilomita 6120 kurejea nyumbani Tanzania kabla ya kujipanga kukutana na Kisiki kingine TP Mazembe ya...

Like
318
0
Monday, 20 June 2016
UFARANSA YAPASUA ANGA EURO
Slider

Mechi kali ilikuwa ya piga nikupige kati ya Switzland na wenyeji wa michuano hiyo Ufaransa lakini wakaishia kutoka uwanjani pasipo kutikisa nyavu yaani sare ya 0 – 0. Milingoti ya magoli ilipata kazi ya ziada kutokana na mikwaju mikali iliyogonga mwamba mara kadhaa. Pogba akiwakosakosa waswiss mara kadhaa hivi. Kwa sasa Kundi hilo linaongozwa na Ufaransa pointi 7, Switzland pointi 5, Albania 3, Romania...

Like
288
0
Monday, 20 June 2016
SLOVAKIA YAICHAKAZA URUSI 2-1 EURO
Slider

Wakicheza ndani ya Stade Pierre Mauroy Mjini Lille huko France, Slovakia wameitandika Urusi 2-1 katika Mechi ya Kundi B la EURO 2016 na hizi ni Mechi za Pili kwa kila Timu. Slovakia waliongoza 2-0 hadi Mapumziko kwa mabao ya Vladimir Weiss katika Dakika ya 32 alipotengenezewa na Kiungo wa Napolo Marek Hamsik na goli la Pili dakika ya 45. Russia, ambao wana kitanzi shingoni baada ya kuhukumiwa na UEFA adhabu iliyositishwa ya kutupwa nje ya EURO 2016, kutokana na fujo...

Like
366
0
Thursday, 16 June 2016
DUNGA KIBARUA CHAOTA NYASI BRAZIL
Slider

Mchezaji wa zamani wa Timu ya taifa ya Brazil Carlos Dunga ametimuliwa kwenye nafasi ya Kocha wa Brazil kufuatia Nchi hiyo kutupwa nje ya Michuano ya Copa America na Peru. Shirikisho la Soka la Brazil, CBF, limetoa taarifa ya kumtimua Dunga ambaye pia alitarajiwa kuiongoza Nchi hiyo kwenye Michezo ya Olimpiki ambayo itachezwa nchini Brazil mwezi Agosti. Pamoja na Dunga, pia Wasaidizi wake wote wa Benchi la Ufundi wameondolewa, na CBF imesema itateua Watu wengine kuingoza Timu hiyo. Brazil ilifungwa...

Like
348
0
Wednesday, 15 June 2016
RONALD KOEMAN KUINOA EVERTON
Slider

Klabu ya Everton imethibitisha usajili wa kocha Ronald Koeman kuwa mkufunzi wake mpya kwa kandarasi ya miaka mitatu. Everton wamelipa dola milioni 5 kama fidia kwa mkufunzi huyo wa miaka 53 ambaye anaihama klabu ya Southampton baada ya kuisimamia kwa miaka miwili. Everton imekuwa bila mkufunzi tangu ilipomtimua Roberto Martinez kabla ya mwisho wa msimu uliopita. Koeman amesema kuwa Everton ni klabu yenye historia kubwa na ari ya kutaka kushinda huku mwenyekiti wa klabu hiyo akimwita raia huyo wa Uholanzi...

Like
274
0
Tuesday, 14 June 2016
UINGEREZA NA URUSI ZAONYWA EURO CUP
Slider

Shirikisho la kandanda barani ulaya , UEFA, limeonya kuzichukulia hatua na hata kuzifukuza timu za Uingereza na Urussi. Hatua hiyo ni kufuatia mashabiki wa timu kuwa chanzo cha ghasia zinatokea kama ilivyotokea wakati wa mechi yao ya huko Marseille. suala la ulevi linatajwa kuwa ni moja ya vyanzo vya vurugu hizo ambapo baadhi ya mashabiki wana kwenda katika viwanja vya michezo hiyo huku wakiwa...

Like
328
0
Monday, 13 June 2016
EURO 2016: POMBE MARUFUKU
Slider

Waziri wa maswala ya ndani wa ufaransa , Bernard Cazeneuve, ametoa ushauri kwa wakuu wa miji mbalimbali wenyeji wa kinyanganyiro cha soka barani ulaya Euro2016, kupiga marufuku matumizi ya pombe katika maeneo tete siku ya na hata kabla ya siku ya mechi kufanyika. Hii ni kutokana na matukio ya wafuasi wa timu kadhaa kushambuliana katika visa vilivyochochewa na ulevi huko mjini Marseille katika kipindi cha siku 3 zilizopita. Shirikisho la kandanda barani ulaya , UEFA, limeonya kuzichukulia hatua ya hata...

Like
310
0
Monday, 13 June 2016
AHADI HII YA SAMATTA HUENDA ITABADILISHA TASWIRA YA SOKA LA BONGO
Slider

NAHODHA wa Timu ya Soka ya Tanzania (Taifa Stars) Mbwana Ali Samatta ameahidi kujenga kituo maalum nchini cha kuibua na kukuza vipaji vya wanasoka wachanga ili wafikie viwango vya kimataifa. Sambamba na hilo, ameweka azma ya kukifanya kituo chake kuwa na wigo mpana wa kuwawezesha vijana wa kutoka nje ya Tanzania kuja kujifunza soka katika kituo hicho na kuwapeleka vijana wawili kila mwaka kwenda kujifunza zaidi mchezo huonchini...

Like
320
0
Tuesday, 07 June 2016
HUYU NDIE NYOTA MPYA ANAETUA ARSENAL
Slider

Kijana wa miaka 29 Jamie Vardy kutoka Leicister City anatarajiwa hii leo kutoa majibu iwapo atajiunga na Club ya Arsenal kabla hajaelekea kwenye michuano ya Euro za mwaka huu akiwa na timu ya taifa la Uingereza.Arsenal tayari wamefikia makubaliano na Leicester na wamemwekea mezani Vardy kitita cha fedha kwa miaka minne. Vardy bado alikuwa anatafakari kama awaache Mbweha kuelekea kwa washika Bunduki. Itakumbukwa Vardy aliisaidia sana Leicister katika kutwaa taji la Ligi kuu akifunga mabao...

Like
350
0
Monday, 06 June 2016