Sports

BAADA YA CAF KUITAKA MTIBWA ILIPE DOLA 15,000, UONGOZI WAKE WASEMA HAWAKO TAYARI KULIPA
Sports

Shirikisho la soka nchini (TFF), kupitia kwa Katibu mkuu wake Kidao Wilfred leo wameweka wazi kuwa, wanalishughulikia suala la faini waliyopigwa Mtibwa Sugar na CAF na watahakikisha timu hiyo inashiriki michuano ya Kombe la Shirikisho barani Africa. Akizungumza na wanahabari leo, Kidao amesema suala la Mtibwa Sugar na faini waliyopigwa na CAF mwaka 2003 ya dola za Kimarekani 15000, wanalifanyia kazi na watajitahidi kuhakikisha faini hiyo inalipwa kabla ya Julai 20 ili timu hiyo iweze kushiriki. Mwaka 2003, Mtibwa Sugar...

Like
506
0
Thursday, 05 July 2018
Rooney Atimka Everton, Akimbilia Marekani
Sports

Aliyekuwa mshambuliaji wa Everton, Wayne Rooney (32) amesaini kandarasi ya miaka mitatu na nusu kuitumikia Klabu ya DC United inayoshiriki Ligi Kuu ya nchini Marekani. Rooney ambaye atakamilisha uhamisho wake huo wakati dirisha la usajili litakapofunguliwa Julai 10 mwaka huu, atalipwa mkwanja kiasi cha Pauini Milioni 10 (sawa na Tsh. Bilioni 26.47) ambapo atakuwa ni mchezaji mwenye kulipwa pesa ndefu zaidi nchini Marekani. Rooney ambaye anashikilia rekodi ya mfungaji Bora wa muda wote wa Manchester United na Uingereza amekatisha mkataba...

Like
482
0
Friday, 29 June 2018
Ratiba ya 16 Bora Kombe la Dunia  2018
Sports

Alhamisi ya June 28 tumeshuhudia michuano ya Kombe la Dunia 2018 hatua ya makundi ikimalizika kwa Afrika kupoteza timu zote 5 katika hatua ya makundi kutokana na kukosa point za kutosha kuingia hatua ya 16 bora. Katika hatua hiyo ya makundi timu zote 5 za Afrika zimeyaaga mashindanl hayo kutokana na kukosa alama za kuwavusha kwenye hatua hiyo ya makundi. Timu 16 zilizofuzu hatua ya 16 bora ni Ubelgiji, England, Argentina, Colombia, Japan, Croatia, Hispania na Ureno. Nyingine ni Brazil,...

1
653
0
Friday, 29 June 2018
Filimbi ya Kagame Cup Kuanza Kupulizwa Leo
Sports

Michuano ya Kagame Cup inaanza rasmi leo kwa mechi tatu kupigwa ambapo saa 8 mchana JKU ya Zanzibari itaanza kibarua chake dhidi ya Vipers SC kutoka Uganda. Baadaye saa 10 mechi ya rasmi ya ufunguzi itakuwa baina ya mabingwa watetezi, Azam FC dhidi ya Kator FC kutoka Sudan Kusini. Baada ya mechi hiyo majira ya saa 1 jioni, Singida United itacheza na APR ya Rwanda. Tutarajie nini kwenye Mashindano haya...

Like
723
0
Friday, 29 June 2018
UONGOZI GOR MAHIA WAJA JUU KUHUSIANA NA KAGERE, WAELEZA ALIDANGANYA
Sports

Imeelezwa uongozi wa Gor Mahia FC umeshangazwa na kitendo cha mshambuliaji wao tegemeo, Meddie Kagere kujiunga na klabu ya Simba kwa kusaini mkataba wa miaka miwili. Wakati Kagere akiwa nchini Kenya ikiwa ni wiki kadhaa zimepita baada ya mashindano ya SportPesa Super Cup kumalizika, aliomba ruhusa kuelekea kwao Rwanda kwa ajili ya masuala yake binafsi. Lakini kilichokuja kuwashangaza ni Kagere kuchukua ndege ya kuelekea jijini Dar es Salaam akiwa na wakala wake kwa ajili ya kuja kufanya mazungumzo na Simba...

Like
499
0
Thursday, 28 June 2018
Ujeruman Yaendeleza Record ya Bingwa Mtetezi Kutolewa Htaua ya Makundi
Sports

Imekuwa kawaida kwa bingwa wa Kombe la Dunia kutolewa hatua ya makundi, lakini hakuna aliyetegemea hilo lingetokea kwa Ujerumani. Ujerumani haikuwahi kutolewa katika hatua ya makundi katika miaka 80 iliyopita. Korea Kusini wameilaza kwa mabao 2-0 na kuitupa nje katika Kombe la Dunia katika hatua ya makundi. Maana yake wameivua ubingwa. Kipigo hicho kimezua hofu kubwa kwa mashabiki wa timu hiyo ya taifa na huo ndiyo ukweli usiopingika.   1998: France alikuwa bingwa 2002: France alitoka hatua ya makundi 2006:...

Like
503
0
Thursday, 28 June 2018
NI VITA KOMBE LA DUNIA,  URENO VS URUGUAY HUKU SPAIN WAKIKIPIGA NA URUSI
Sports

Baada ya kwenda sare ya bao 1-1 na Iran usiku wa jana, timu ya taifa ya Ureno sasa itakutana na Uruguay katika mchezo unaofuata ya 16 bora kwenye michuano ya Kombe la Dunia nchini Urusi. Mchezo huo ulimazika kwa sare hiyo huku nyota na nahodha wa Ureno, Cristiano Ronaldo akikosa penati ambayo ingeweza kuiongezea alama timu yake. Uruguay anayoichezea nyota Luis Suarez sasa itakuwa inakipiga na Ureno baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Urusi. Wakati huo...

Like
624
0
Tuesday, 26 June 2018
Brazili Yaitandika Costa Rica Dakika zanyongeza
Sports

Kikosi cha timu ya taifa ya Brazil kimesafisha makosa yake iliyoyaonyesha katika mchezo wa kwanza dhidi ya Switzerland kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Costa Rica leo. Mabao ya Brazil yamewekwa kimiani katika dakika za nyongeza kuelekea mchezo kumalizika kupitia kwa Philippe Countinho na Neymar Jr. Ushindi huo umemfanya Neymar ashindwe kuamini matokeo hayo baada ya kumwaga machozi ya furaha baada ya kufunga bao la pili. Katika kundi E Brazil imeongoza kwa kuwa na alama 4 ikifuatiwa...

Like
549
0
Friday, 22 June 2018
APR ya Rwanda Yaomba Kubadiishiwa Ratiba Mashindano ya Kagame CUP
Sports

Baada ya kuthibitisha rasmi kuwa watashiriki michuano ya KAGAME CUP inayotaraji kuanza Juni 28 2018, uongozi wa klabu ya APR umeomba kubalidishwa ratiba. Hatua hii imekuja mara baada ya CECAFA kuwapangia APR kucheza na Singida United Juni 29 itakayokuwa Ijumaa ya wiki lijalo. Taarifa kutoka Rwanda zinaeleza kuwa APR wamesema uchovu wa safari kwa wachezaji wao unaweza ukachangia wasioneshe kiwango kizuri hivyo ni vema wakapata muda kidogo wa kupumzika. Kutokana na tarehe 29 iliyopangwa, viongozi wa klabu hiyo wameomba iwe...

Like
688
0
Friday, 22 June 2018
Hatima  ya Nigeria Kuvuka Hatua ya  Makundi  Kujulikana Leo Dhidi ya Iceland
Sports

Michuano ya Kombe la Dunia huko Urusi inaendelea kushika kasi tena ambapo Afrika itakuwa inawakilishwa na Nigeria itakayokuwa kibaruani dhidi ya Iceland. Matumaini pekee ya Nigeria kuendelea kusalia kwenye michuano hiyo yataonekana leo endapo itaibuka na ushindi wa mabao mengi huku ikitegemea matokeo ya mechi zingine zilizosalia. Timu hiyo ilipoteza mechi yake ya kwanza ilipocheza dhidi ya Croatia kwa kufungwa mabao 2-0. Msimamo kundi D unaonesha imeshikilia mkia namba 4 ikiwa haina alama yoyote huku Iceland na Argentina wakiwa na...

Like
513
0
Friday, 22 June 2018
Kimahesabu Argentina Ishatoka kwenye Hatua ya Makundi Kombe la Dunia
Sports

Kikosi cha timu ya taifa ya Argentina kimeshindwa kutamba mbele ya Croatia baada ya kukumbana na kichapo cha mabao 3-0. Mabao ya mchezo huo wa kundi D yaliwekwa kimiani na Luca Modric, Ivan Rakitic na Ante Rebic. Kufuatia kichapo hicho walichokipata Argentina kinawafanya wasalie na alama moja waliyoipata dhidi ya Iceland baada ya kwenda sare ya 1-1 wakiwa nafasi ya 3. Nyota wa timu hiyo, Lionel Messi alionekana kuwa na machungu kufuatia kichapo hicho ambacho ni kama dhamaha kubwa kwake....

Like
544
0
Friday, 22 June 2018