Slider

VPL: YANGA, SIMBA NA AZAM MWENDO WA KUGAWA DOZI
Slider

Miamba ya soka Tanzania Yanga, Simba pamoja na Azam FC wameendelea kung’aa katika michezo ya ligi kuu iliyotimua vumbi hapo jana. Katika jiji la Morogoro Mtibwa Sugar iliikaribisha Yanga huku mchezo huo ukimalizika kwa wenyeji hao wakilazimika kupokea kichapo cha magoli 2-0 magoli yaliyotiwa nyavuni na Malimi Busungu na Donald Ngoma matokeo yanayoifanya klabu hii kongwe kuwa kileleni na kuongoza ligi kwa alama 15. Azam nao wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani Azam Complex wameiadhibu klabu ya Coastal Union ya...

Like
390
0
Thursday, 01 October 2015
MOURINHO APONYEKA SAKATA LA DAKTARI EVA CARNEIRO
Slider

Meneja wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho hataadhibiwa na Chama cha Soka cha England FA,baada ya kuthibitika hakutumia lugha mbaya dhidi ya aliyekuwa daktari wa timu Eva Carneiro. Fa ilipitia mikanda ya video iliyohusika na tukio hilo la Kocha Jose Mourinho na Eva Carneiro ambapo ilionekana kama kocha huyu alitumia lugha chafu kwa daktari huyo. Dokta Carneiro aliingia uwanjani kumtibu mshambuliaji Eden Hazard wakati wa dakika za lala salama kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Swansea, uliomalizika kwa sare ya...

Like
323
0
Thursday, 01 October 2015
MARIKANA: AFRIKA YA KUSINI KULIPA FIDIA
Global News

SERIKALI ya Afrika Kusini imesema italipa fidia kwa familia za wafanyakazi wa mgodini waliouawa wakati wa kuzuka kwa mgogoro wa Marikana mwaka 2012. Rais wa nchi hiyo Jacob Zuma ameeleza kuwa taarifa za kina kuhusu malipo zitatolewa na jopo huru linaloongozwa na jaji. Kwa upande wa familia, wakili wao ameripotiwa kuunga mkono tangazo hilo la...

Like
310
0
Thursday, 01 October 2015
BENDERA YA PALESTINA YAANZA KUPEPEA UN
Global News

BENDERA ya Palestina imepeperushwa kwa mara ya kwanza katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York. Bendera hiyo ilipandishwa kwenye mlingoti kwenye sherehe iliyohudhuriwa na Rais wa Palestina Mahmoud Abbas. Akihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Bw Abbas amesema ni jambo lisiloeleweka kwamba hadi sasa suala la Palestina kuwa taifa bado...

Like
338
0
Thursday, 01 October 2015
BEI YA MAZAO YA NAFAKA YAPANDA DAR
Local News

IMEELEZWA kuwa bei ya mazao ya nafaka kwasasa imepanda katika masoko mbalimbali Jijini Dar es salaam kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa yanayopelekea mavuno yasiyo tarajiwa kwa wakulima shambani. Wakizungumza na efm wafanyabiashara wanao uza mazao hayo katika soko la Tandika wamesema kuwa upandaji huo unasababishwa na aina ya kilimo kilichopo cha kutegemea nvua na siyo...

Like
480
0
Thursday, 01 October 2015
KITUO CHA MICHEZO CHA JMK KUZINDULIWA RASMI OKTOBA 17 NA RAIS KIKWETE
Local News

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete Oktoba 17, mwaka huu atazindua rasmi Kituo cha Michezo cha Kisasa cha Jakaya M. Kikwete Youth Park (JMK Park), Kidongo Chekundu, Dar es Salaam, kikiwa ni kituo cha kwanza cha aina yake nchini chenye kulenga miongoni mwa mambo mengi kuanza kulea wanamichezo tokea wakiwa wadogo.   Rais Kikwete alikubali kuzindua Kituo hicho wakati wa mazungumzo kati yake na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Umeme ya Symbion Power, Bwana Paul...

Like
253
0
Thursday, 01 October 2015
MSHUKIWA WA IS AFIKISHWA MAHAKAMANI MALI
Global News

MSHUKIWA wa kundi la wapiganaji wa kiislamu, anayetuhumiwa kuharibu makavazi ya kihistoria nchini Mali, anatarajiwa kufikishwa mbele ya mahakama ya kimataifa ya ICC wakati wowote kuanzia sasa. Anatuhumiwa kuteleza uhalifu wa kivita. Ahmad Al Faqi Al Mahdi, alikabidhiwa kwa mamlaka kuu nchini Niger siku ya Jumamosi ambapo inasemekana aliamrisha au kutekeleza uharibifu katika makavazi ya kale huko...

Like
231
0
Wednesday, 30 September 2015
MAJESHI YA NATO YAWASILI KUNDUZ
Global News

KIKOSI maalum cha shirika la kujihami la muungano wa mataifa ya Magharibi NATO, kinasemekana kufika mji wa Kunduz nchini Afghanistan. Nia hasa ni kujaribu kuutwaa tena mji huo, ambao kwa sasa uko chini ya udhibiti wa kundi la wapiganaji wa...

Like
408
0
Wednesday, 30 September 2015
WANASIASA WAMETAKIWA KUACHA KUPIGANA VIJEMBE NA MATUSI
Local News

ZIKIWA zimebaki siku 24 kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani, baadhi ya Wananchi wamewataka wanasiasa kuacha kampeni za kupigana vijembe na matusi bali wafanye kampeni za kistaarabu. Wakizungumza na EFM kwa nyakati tofauti wananchi hao wamesema wanahitaji kusikia sera za vyama kupitia ilani za vyama hivyo na sio kufanya kampeni za kutupiana maneno na matusi jukwaani kwa kuwa wanasiasa wote lengo lao ni kujenga nyumba moja ambayo ni Tanzania ya awamu ya...

Like
307
0
Wednesday, 30 September 2015
RAIS KIKWETE AKUBALI KUJIUNGA NA KUNDI LA WATU MASHUHURI DUNIANI KWENYE MAPAMBANO DHIDI YA MALARIA
Local News

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta Jakaya Mrisho Kikwete ameombwa na amekubali kujiunga na kundi la watu mashuhuri duniani wakiwemo viongozi wa Afrika, matajiri wa Marekani na watu wengine mashuhuri katika kutafuta majawabu ya kumaliza ugonjwa wa malaria duniani kwa kuanzia na Bara la Afrika.   Ombi hilo kwa Rais Kikwete kujiunga na kundi hilo ambalo litaongozwa na tajiri mkubwa zaidi duniani, Bwana Bill Gates, liliwasilishwa kwa mara ya kwanza kwake wiki iliyopita na Mjumbe Maalum wa Umoja...

Like
304
0
Wednesday, 30 September 2015
PORSCHE YAJIBU TUHUMA ZA MTOTO WA PAUL WAKER
Entertanment

Kampuni ya magari ya Porsche imezijibu tuhuma za kesi iliyofunguliwa na mtoto wa muigizaji wa Fast & Furious, Paul Walker’ kuwa ajali haikuwa chanzo cha kifo cha baba yake bali ni dosari zilizopo kwenye muundo wa gari hilo Kwenye mahojiano yaliyofanywa na kituo cha CNN Kampuni hiyo ya Ujerumani imekanusha kuwa gari hiyo aina ya Carrera GT 2005 ilikuwa na dosari katika muundo wake na badala yake wameeleza kuwa sababu iliyopelekea kutokea kwa ajali iliyochukua maisha ya Walker ni kasi...

Like
252
0
Wednesday, 30 September 2015