Slider

LOUIS VAN GAAL: TUPO TAYARI KUPAMBANA
Slider

Meneja wa klabu ya Manchester United,Louis van Gaal amesema kwamba klabu hiyo ina uwezo wa kupambana kunyakua taji la Premier League. Ushindi wa Manchester United dhidi ya Southampton umethibitisha kuwa tunauwezo wa kuchuana vikali kutwaa taji la ligi kuu, Alisema meneja Louis van Gaal. Kikosi cha Man U chini ya Mholanzi van Gaal siku ya jumapili kilifanikiwa kuitandika klabu ya Southampton 3-2 katika uwanja wa St Mary huku mshambuliaji wake mwenye miaka 19 Anthony Martial akiiandikia klabu hiyo magoli mawili...

Like
270
0
Monday, 21 September 2015
SHULE ZAANZA KUFUNGWA LEO KENYA
Global News

Wakati shule zote za umma na binafsi zikianza kufungwa kuanzia leo nchini Kenya, Rais wa nchi hiyo Uhuru Kenyatta akihutubia taifa hilo kwa njia ya televisheni amesisitiza kuwa serikali ya nchi hiyo haina uwezo wa kulipa nyongeza ya mishahara wanayodai walimu. Rais Kenyatta ametoa wito mgogoro huo kutatuliwa kwa amani ingawa tayari Serikali ya Kenya imeagiza shule zote nchini humo zifungwe kuanzia leo huku mgomo wa walimu ukiendelea. Watakaosalia shuleni pekee ni wanafunzi wanaojiandaa kufanya mitihani ya kitaifa ya darasa...

Like
400
0
Monday, 21 September 2015
APPLE WAVAMIWA KIMTANDAO
Global News

KAMPUNI ya Apple ya Marekani imesema kuwa ipo katika hatua za kukabiliana na shambulio la kimitandao, lililopo kwa watumiaji wa simu za IPhone na iPad nchini China. Watalaam wa ndani ya kampuni hiyo wamesema kuwa hilo ni moja la shambulio kubwa la kimitandao kuwahi kuikumba kampuni hiyo. Msemaji wa kampuni ya Apple anasema kuwa kampuni yao imeondoa kwenye mzunguko wa soko vifaa vyote vinavyotiliwa shaka kuingiliwa na wavamizi hao wa kimitandao nchini...

Like
221
0
Monday, 21 September 2015
SERIKALI YAKIRI CHANGAMOTO YA UKOSEFU WA AJIRA
Local News

PAMOJA na kuwepo na maendeleo ya kuridhisha katika suala la ajira kwa vijana, serikali imekiri kwamba ukosefu wa ajira bado ni tatizo kubwa kwa Taifa na duniani kwa ujumla.   Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Kazi kutoka Wizara ya kazi Ally Ahmed wakati akifungua warsha ya siku moja ya wadau wa ajira kwa vijana na kusema kuwa kutokana na changamoto hiyo kwa sasa suala la Ajira limekuwa Ajenda kuu ya Taifa.   Mbali na hayo amebainisha kuwa vijana wanaojiajiri...

Like
933
0
Monday, 21 September 2015
JESHI LA POLISI LAWATAKA WANASIASA KUZINGATIA SHERIA NA MIONGOZO YA NEC
Local News

IKIWA Zimebaki siku 33 kufika uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani, Jeshi la polisi nchini limewataka viongozi wa vyama vya siasa kuzingatia sheria zinazowaongoza na miongozo mbalimbali ambayo imekuwa ikitolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC Ili Kuhakikisha Uchaguzi mkuu unakuwa wa Amani. Akizungumza na kituo hiki Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini-SSP-ADVERA BULIMBA Amesema Kuwa ili kulinda amani iliyopo nchini hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu Wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi hawana budi kujiepusha na...

Like
241
0
Monday, 21 September 2015
RAIS WA KRIKETI INDIA AFARIKI DUNIA
Slider

Rais wa bodi ya Kriket ya India Jagmohan Dalmiya amefariki dunia. Dalmiya mwenye miaka 75 alifikishwa hospitalini siku ya Alhamisi wiki iliyopita kutokana na maumivu ya kifua huku akilazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi. Amehudumu katika nafasi ya Urais wa Kriket nchini humo tokea mwaka 2001 mpaka 2004 kwa kipindi cha mpito wa uongozi wa chama hicho ambapo alirudi tena madaraani mwaka 2013 mpaka Machi 2015. Alikuwa pia kiongozi katika shirikisho la dunia la mchezo huotokea mwaka 1997 mpaka...

Like
291
0
Monday, 21 September 2015
MUZIKI MNENE NDANI YA KISARAWE
Entertanment

Wakazi wa kisarawe walipata burudani ya aina yake, jumamosi ya juzi tarehe 19 mwezi huu kutoka redio ya 93.7 EFM kupitia kampeni ya muziki mnene. Burudani hiyo ilianza na mpira wa miguu kati ya EFM na buffalo kisarawe, ambapo timu ya Buffalo ilitetea ushindi nyumbani kwa kuifunga EFM magoli mawili huku EFM ikiambulia sifuri. \ Baada ya mechi hiyo burudani ya aina yake iliendelea ndani ya Tausi bar, huku Rdj’s na watangazaji wa EFM wakishikilia usukani wa burudani hivo kuwapagawisha...

Like
360
0
Monday, 21 September 2015
KENYA: SERIKALI YAAGIZA SHULE ZIFUNGWE
Global News

SERIKALI ya Kenya imeagiza shule zote nchini humo zifungwe kuanzia Jumatatu ijayo huku mgomo wa walimu ukiendelea. Barua iliyotolewa na wizara ya elimu nchini humo imeagiza shule zote za umma na binafsi zifungwe na wanafunzi warudi nyumbani na kwamba watakaosalia shuleni pekee ni wanafunzi wanaojiandaa kufanya mitihani ya kitaifa ya darasa la nane na kidato cha nne mwaka huu. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na kwa Katibu Mkuu wa chama cha walimu nchini humo KNUT zinasema kuwa tayari amepokea barua...

Like
281
0
Friday, 18 September 2015
BURKINA FASO: MAPINDUZI KUJADILIWA
Global News

MARAIS wawili wa mataifa ya Afrika Magharibi, Macky Sall wa Senegal na Thomas Boni Yayi wa Benin, wanaelekea Burkina Faso kufanya mashauriano na viongozi waliopindua serikali. Mapinduzi hayo yalitangazwa baada ya walinzi wa rais kuvamia mkutano wa baraza la mawaziri na kuwawekea kizuizi rais Michel Kafando na waziri mkuu wake Isaac Zida. Rafiki wa karibu wa kiongozi wa zamani Blaise Compaore, Jenerali Gilbert Diendere, alitangazwa kiongozi mpya jana,...

Like
200
0
Friday, 18 September 2015
POLISI YATAKIWA KUWAJALI WAZEE NA WATOTO
Local News

JESHI la polisi nchini limetakiwa kuwajali watoto na wazee wakati wa kuzuia vurugu zinapotokea kwa kuwa makundi hayo ya watu ndio huaathirika zaidi. Akizungumza na kituo hiki mmoja wa wazazi anayefahamika kwa jina la Agatha Kadaso ambaye mtoto wake amejeruhiwa jicho kwa bomu la machozi wakati wa kutuliza vurugu kati ya jeshi la polisi na madereva wa daladala wilaya ya Misungwi amesema jeshi hilo linapaswa kuzingatia usalama wa watoto na wazee kwa...

Like
205
0
Friday, 18 September 2015
VYOMBO VYA HABARI VIMETAKIWA KUTOA NAFASI SAWA KWA WAGOMBEA WOTE
Local News

VYOMBO vya habari nchini vimetakiwa kuwapa nafasi wagombea wote wa vyama vya kisiasa wanaoshiriki kujinadi kwenye kampeni ili watangaze sera zao kwa wananchi, kuliko kuvipa kipaumbele vyama viwili pekee vya CCM na Chadema.   Akizungumza jijini Arusha wakati wa warsha ya kuandika habari za uchaguzi kwa waandishi habari wa mikoa ya kanda ya kaskazini, mhariri mwandamizi nchini Chrysostom Rweyemamu amesema ni muda muafaka sasa kwa vyombo hivyo kuzingatia ipasavyo maadili yao kwa kutoa haki sawa kwa kila...

Like
235
0
Friday, 18 September 2015