Slider

MAGUFURI: WAHANDISI WATATUMIKA KUINUA UCHUMI
Local News

WAZIRI wa ujenzi Dkt  JOHN POMBE MAGHUFULI amesema kuwa  Serikali ya  awamu ya tano itahakikisha inapandisha uchumi  kutoka uchumi wa chini na kufikia uchumi wa kati ambapo wahandisi watatumika kwa kiasi kikubwa kupandisha uchumi huo.   Akizungumza jijini  Dar es Salaam,wakati wakufunga mkutamo wa   13 wa siku ya  wahandisi Tanzania inayofanyika  mwanzoni mwa mwezi Septemba kila mwaka,  uliondaliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi-ERB. Mheshimiwa  MAGUFULI amesema kuwa wahandisi wa Tanzania wamefanya kazi kubwa katika...

Like
371
0
Friday, 04 September 2015
RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA AFRICA OPEN DATA
Local News

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo amefungua rasmi mkutano wa kwanza kufanyika Afrika wa Takwimu huria-Africa Open Data utakaosaidia kuzifanya taarifa mbalimbali muhimu  kupatikana kwa urahisi na kwa uwazi ili Wananchi waweze kuiwajibisha Serikali kutokana na utendaji wake. Akifungua Mkutano huo Rais Kikwete amesema Serikali ya Tanzania tayari ilikwisha anza utaratibu wa kuweka taarifa zake mbalimbali kuwa wazi, hivyo kupitia mkutano huo ambao ni mwendelezo wa maafikiano ya nchi wanachama zilizo kwenye sera ya Open Government...

Like
271
0
Friday, 04 September 2015
JOHANNESBURG YAONGOZA KUWA NA IDADI KUBWA YA MATAJIRI AFRIKA
Global News

RIPOTI iliyotolewa na benki ya AfrAsia na jarida la New World Wealth inaonesha kwamba mji wa Johannesburg nchini Afrika Kusini ndio mji ulio na idadi kubwa zaidi ya watu matajiri barani Afrika. Taarifa ya benki hiyo pia imebaini kuwa chanzo kikuu cha mapato makubwa kwa wananchi wa nchi hiyo ni uwepo wa dhahabu ya kutosha hali inayoifanya nchi hiyo kutimiza watu matajiri Elfu ishirini na tatu. Aidha ripoti hiyo imeonesha nchi ya pili kuwa na watu matajiri Afrika kuwa ni...

Like
229
0
Thursday, 03 September 2015
MIILI YA WANAJESHI WA UGANDA YAWASILI
Global News

MIILI ya wanajeshi 10 wa Uganda, waliouawa na wapiganaji wa kundi la wapiganaji wa Al-Shabaab, nchini Somalia ipo tayari kusafirishwa kuelekea nchi wanapotoka. Msemaji wa jeshi la nchi hiyo Kanali Paddy Ankunda, amesema kwamba shambulio hilo limebadili mambo na Al-Shabaab wanafaa kutarajia jibu lifaalo kutokana na shambulizi walilolifanya. Wanajeshi 12 wa Uganda waliuawa kwenye shambulio hilo la Jumanne, kwenye kambi ya wanajeshi wa Muungano wa Afrika –AU– Kusini mwa Somalia ambapo kundi hilo limesema limewauwa wanajeshi 70 wa muungano...

Like
463
0
Thursday, 03 September 2015
MATUMIZI HOLELA YA UMEME YAISABABISHIA TANESCO HASARA
Local News

IMEELEZWA kuwa vitendo vya baadhi ya wananchi kujiunganishia umeme bila kufuata utaratibu wa shirika la umeme Tanzania–TANESCO-kunalisababishai hasara kubwa shirika hilo. Akizungumza na kituo hiki Meneja uhusiano wa TANESCO Adrian Severin amesema kuwa mikakati ya wanayoifanya kwa sasa ili kudhibiti hali hiyo ni pamoja na kufanya operesheni za ghafla maeneo mbalimbali nchini. Katika hatua nyingine Adrian ameeleza kuwa hali ya kukatika kwa umeme mara kwa mara kunatokana na matengenezo kupitia mtambo wa Kinyerezi na kuwahakikishia wananchi...

Like
204
0
Thursday, 03 September 2015
ASILIMIA 60 YA WAFANYAKAZI WAPO HATARINI KUPATA MAGONJWA SUGU
Local News

ZAIDI ya Asilimia 60 ya watumishi mbalimbali wako katika hatari ya kupata magonjwa sugu kama shinikizo la damu magonjwa ya moyo na kisukari kutokana na tabia hasi ya jinsi wanavyoendesha maisha yao ya kila siku. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya kudhibiti Ukimwi Tanzania –TACAIDS– Dokta FATUMA MRISHO katika zoezi la upimaji wa afya kwa watumishi wasio pungua laki tatu kutoka sekta za uma na binafsi na kugundua kuwa watumishi wengi hawafuati ushauri wa wataalamu wa afya. Mwenyekiti...

Like
257
0
Thursday, 03 September 2015
MUZIKI MNENE BAR KWA BAR 2015
Entertanment

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI   03/09/2015 BAADA ya kumalizika kwa Tamasha la muziki mnene Mtaa kwa Mtaa awamu ya kwanza, (Muziki mnene bango) ambapo mashabiki na wasikilizaji wengi wa EFM wamejishindia zawadi kabambe, Sasa ni zamu ya wapenzi wa burudani na mambo ya party. Muziki mnene bar kwa bar ni tukio ambalo lina wakutanisha wasikilizaji na mashabiki wa EFM na wakali wa EFM kutoka wilaya za kinondoni, Ilala na Temeke katika mkoa wa Dar er Salaam, na kwa sasa...

Like
609
0
Thursday, 03 September 2015
MAREKANI YAFANYA MSAKO WA MAABARA ZA DAWA ZA KULEVYA
Global News

MAAFISA wa kupambana na dawa za kulevya nchini Marekani wamewatia mbaroni zaidi ya Watu tisini wakati wa msako wa maabara zinazojihusisha na dawa za kusisimua misuli. Zoezi hilo lililofanyika katika majimbo ishirini lililenga dawa za kusisimua misuli ambazo zinatengenezwa na kusafirishwa kutoka China. Mamlaka inayodhibiti matumizi ya madawa nchini Marekani,imesema Operesheni hiyo inayoitwa Cyber Juice imeanza mwezi Aprili na kulenga maabara zinazofanya kazi kwa siri zinazojishughulisha na dawa zinazopatikana kwa njia ya mtandao kutoka nchini...

Like
214
0
Thursday, 03 September 2015
MAELFU YA WAHAMIAJI WASUBIRI KUINGIA ULAYA
Global News

SWALA la wakimbizi na wimbi la wahamiaji katika nchi za ulaya linaendelea kutazamwa kwa karibu wakati maelfu ya watu wakisubiri kuruhusiwa kuingia katika nchi za jumuia ya ulaya. Na siku ya jana hali ilikuwa ya kusikitisha baada ya picha ya kijana aliyezama kuonekana akiwa katika pwani ya Bahari nchini Uturuki kusambaa katika mitandao ya kijamii. Waziri mkuu wa uingereza David Cameron alitetea uamuzi wa serikali yake akisema kuwa kuwapokea watu zaidi siyo ufumbuzi wa tatizo. Badala yake, amesema ni muhimu...

Like
170
0
Thursday, 03 September 2015
VIONGOZI WA DINI KUTOKA NCHI 17 AFRIKA WAKUTANA DAR
Local News

VIONGOZI wa ngazi ya juu wa dini na wawakilishi wa dini kutoka nchi 17 za mashariki na kusini mwa Afrika wamekutana jijini Dar es salaam, kwa lengo la kujadili na kuweka mikakati ya kuharakisha kumaliza maambukizi mapya ya vvu/ukimwi.   Mkutano huo ulioanza jana unafanyika katika hotel ya kunduchi, dar es salaam, na unaohudhuliwa na zaidi ya viongozi 50 wangazi ya juu wa dini na wawakilishi wa mtandao wa INERELA kutoka nchi 17 za mashariki nakusini mwa afrika ikiwemo Tanzania.  ...

Like
296
0
Thursday, 03 September 2015
TMA YATAKA MAANDALIZI KUFUATIA HOFU YA MVUA ZA ELNINO
Local News

KUFATIA uwepo wa viashiria vya kunyesha mvua nyingi zinazosababishwa na Elnino ambazo mara nyingi husababisha mafuriko,  Mamlaka ya hali ya hewa nchini-TMA- wamezitaka mamlaka za serikali  na taasisi binafsi kuandaa mapema  mazingira yatakayosaidia kuepukana na athari za mafuriko hayo.   Akizungumza na Waandishi wa habari jijini Dar es Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya hali ya hewa nchini Dokta Agnesi Kijazi amesema ni vyema kwa sekta ya uchukuzi ambayo mara nyingi huathirika zaidi pindi mafuriko yanapotokea kuandaa mazingira ya...

Like
249
0
Thursday, 03 September 2015