Slider

RAIS KIKWETE ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA MZEE PETER KISUMO
Local News

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mmoja wa wanasiasa wakongwe nchini Mzee Peter Kisumo. Marehemu Mzee Kisumo alishawahi kuwa kiongozi wa Chama cha TANU, Muasisi na mdhamini wa Chama cha CCM na aliyeshikilia nafasi nyingi za uongozi ndani ya Serikali na utumishi wa umma ukiwemo uwaziri. Katika salamu zake Rais Kikwete amesema kwamba taifa limeondokewa na kiongozi wa kuigwa katika utumishi uliotukuka wa umma na Chama cha Mapinduzi....

Like
365
0
Tuesday, 04 August 2015
WILL SMITH AKANA KUACHANA NA MKEWE
Entertanment

Will smith amekana uvumi uliosambaa kuwa ametalikiana na mkewe Jada Baada ya taarifa hizo kusambaa kwenye mitandao muigizaji huyu alitumia akaunti ya facebook kufunguka juu ya ukweli wa mambo. Katika post hiyo Will alisema hana muda wa kujibu upuuzi huo kwa sababu akifanya hivyo ataongeza kasi ya uvumi. Lakini mwishoe star huyu aliamua kusema ukweli kuwa hajaachana na mkewe na hana mpango huo na iwapo itatokea wameachana basi yeye mwenyewe atatoa taarifa hiyo kwa...

Like
257
0
Tuesday, 04 August 2015
CHARLIE AUSTIN KUHAMA QPR?
Slider

Charlie Austin, mshambuliaji wa Queens Park Rangers aliyeitwa kuchezea timu ya taifa ya Uingereza mwishoni mwa msimu uliopita, huenda akahama klabu hiyo iliyoshushwa daraja kabla ya mwisho wa kipindi cha kuhama wachezaji, meneja wa klabu hiyo Chris Ramsey alisema Jumatatu. Kiungo wa kati Leroy Fer pia sana huenda akahama, ingawa Ramsey anatumai wawili hao wanaweza bado kuwa kwenye klabu hiyo na kucheza mechi yao ya kwanza ya Championship (ligi ya daraja la pili) ugenini London dhidi ya Charlton Jumamosi. “Tunajua...

Like
222
0
Tuesday, 04 August 2015
MASHINDANO YA KUOGELEA: ADAM PEATY ATWAA MEDALI YA DHAHABU
Slider

Mwingereza Adam Peaty ametwaa medali ya dhahabu baada ya kuibuka bingwa katika michuano ya dunia ya mchezo wa kuogelea Peaty ameshinda katika mbio za mita mia kwa kutumia dakika 58.52 huku Van der Burgh aliyeshika nafasi ya pili akitumia muda wa dakika 58.59. huku Ross Murdoch akishinda medali ya shaba Siobhan-Marie O’Connor nae alishinda medali ya shaba katika mbio za mita 200 ya mchezji mmoja mmoja na kuwa mwingereza w kwanza kutwwa medali Mashindano haya yanayoandaliawa na chama cha mchezo...

Like
262
0
Tuesday, 04 August 2015
IKULU YA URUSI YAISHUTUMU MAREKANI KUVURUGA AMANI SYRIA
Global News

IKULU ya Urusi Kremlin, inasema hujuma za ndege za kivita za Marekani dhidi ya vikosi vya serikali ya Syria zinaweza kuvuruga zaidi utulivu nchini humo na kuwafaidisha wanamgambo wa itikadi kali wa Dola ya Kiislam – IS. Matamshi hayo ya Urusi yametolewa kufuatia ripoti iliyotolewa na gazeti mojawapo nchini humo inayosema serikali ya Marekani mjini Washington inapanga kutumia ndege za kivita kufanya hujuma nchini Syria ili kuwasaidia makuruti wanaopambana dhidi ya Dola la Kiislam. Hata hivyo amebainisha kuwa hujuma kama...

Like
322
0
Tuesday, 04 August 2015
OBAMA AZINDUA HATUA MUHIMU KUPAMBANA NA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI
Global News

RAIS wa Marekani Barack Obama amezindua kile alichokiita hatua muhimu zaidi ya kupambana na mabadiliko ya tabia nchi. Katika uzinduzi huo Rais Obama amesema kizazi hiki ni cha mwisho chenye kushughulikia suala hilo na kwamba imeilazimu Marekani kuchukua hatua madhubuti za kutokomeza visababishi vya mabadiliko ya tabia nchi. Obama amesisitiza hatua kali kuchukuliwa haraka kupunguza gesi ya ukaa inayotoka katika viwanda vilivyopo nchini humo kwa theluthi moja ifikiapo mwaka...

Like
190
0
Tuesday, 04 August 2015
CHAMA CHA MADEREVA KIMETISHIA KUFANYA MAAMUZI MAZITO AGOSTI 9
Local News

CHAMA cha Wafanyakazi madereva Tanzania-TADWU kimesema endapo vipengele viwili vya maboresho ya mishahara na posho havitazingatiwa kulingana na makubaliano walioafikiana katika kikao cha juni 21 mwaka huu baina ya kamati ya kudumu, Sumatra na Wamiliki wa vyombo vya usafiri chama hicho kitatoa maamuzi mazito ifikapo tarehe 9 Agosti mwaka huu. Akizungumza na Efm jijini Dar es salaam Katibu na Msemaji wa TADWU Rashid Salehe amesema kikao cha mwisho kilikubaliana kuwa ifikapo tarehe 1 Julai mikataba mipya iliyoundwa kwa pamoja ianze...

Like
174
0
Tuesday, 04 August 2015
MAGUFULI KUCHUKUA FOMU NEC LEO
Local News

MGOMBEA wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi-CCM dokta JOHN POMBE MAGUFULI leo anatarajia kuchukua fomu ya kugombea nafasi hiyo katika ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi-NEC. Katika Zoezi la uchukuaji wa fomu pia Mheshimiwa MAGUFULI ataambatana na mgombea mwenza wa chama hicho kutoka Zanzibar SAMIA SULUHU HASSANI. Mbali na kuchukua fomu mheshimiwa Magufuli atapata nafasi ya kukutana na wadau wa siasa wakiwemo wananchi katika ofisi ndogo za CCM ili aweze kuwapa...

Like
216
0
Tuesday, 04 August 2015
JESHI LA NIGERIA LAWAOKOA WATU 180
Global News

JESHI la Nigeria linasema kuwa limewaokoa zaidi ya watu 180, wengi wao wanawake na watoto, kutoka kwa kundi hatari la wapiganaji wa kiislamu la Boko Haram, katika jimbo la Borno. Kupitia taarifa kwa vyombo vya habari, msemaji moja wa jeshi amesema kuwa kambi kadhaa za waasi hao zilizoko karibu na mji wa Maiduguri zimeharibiwa na kamanda mmoja wa Boko Haram kukamatwa, lakini duru hizo hazijasema ni lini tukio hilo lilifanyika. Wakati hio huo, Rais wa Niger, Mahmadou Issoufou, amesema kuwa...

Like
159
0
Monday, 03 August 2015
NKURUNZIZA AOMBA UTULIVU BURUNDI
Global News

RAIS wa Burundi Pierre Nkurunziza ameomba utulivu baada ya wapiganaji waliovalia magwanda ya kijeshi kumuua mmoja wa majenerali walio na ushawishi mkubwa serikalini, Adolphe Nshimirimana  .   Katika hotuba aliyoitoa leo mchana baada ya shambulio hilo, Nkurunziza ameomba utulivu akisema kuwa kitendo cha kulipiza kisasi kitamaliza kizazi chote.  ...

Like
165
0
Monday, 03 August 2015
MAGUFULI KUCHUKUA FOMU YA KUWANIA URAIS NEC KESHO
Local News

MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi-CCM JOHN POMBE MAGUFULI kesho anatarajia kuchukua fomu ya kugombea nafasi hiyo katika ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi-NEC. Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam leo Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi NAPE NNAUYE amesema kuwa Mheshimiwa MAGUFULI katika msafara wake kuelekea NEC ataambatana na mgombea mwenza kutoka Zanzibar mheshimiwa SAMIA SULUHU...

Like
182
0
Monday, 03 August 2015