Slider

WAZIRI MKUU KUFUNGUA MKUTANO WA TANK WA WADAU WA MFUKO WA HIFADHI YA JAMII
Local News

WAZIRI mkuu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa MIZENGO PINDA asubuhi hii anafungua mkutano wa tank wa wadau wa mfuko wa hifadhi ya jamii-NSSF. Mkutano huo unaofanyika kwa siku tatu mjini Arusha umewakutanisha wadau wote wa mfuko huo ili kuangalia changamoto mbalimbali zinazoikabili-NSSF-pamoja na mafanikio yake. Hata hivyo mkutano huo utasaidia kwa kiasi kikubwa mfuko huo kuweka mikakati bora itakayoimarisha utendaji wao wa kazi ili kuleta manufaa kwa...

Like
220
0
Tuesday, 02 June 2015
YEMEN: VIONGOZI WA KUNDI LA WAASI WAFANYA MAZUNGUMZO NA MAAFISA WA MAREKANI
Global News

SERIKALI ya Yemen iliyo uhamishoni nchini Saudi Arabia imesema viongozi wa ngazi ya juu wa kundi la waasi wa Houthi wanafanya mazungumzo na maafisa wa Marekani nchini Oman kuendeleza juhudi za kuutafutia ufumbuzi mzozo wa Yemen. Muungano unaongozwa na Saudi Arabia ulianza mashambulizi ya kutokea angani mwezi Machi mwaka huu katika harakati ya kumrejesha madarakani rais wa Yemen Abd-Rabbu Mansour Hadi. Hadi alikimbia baada ya waasi wa Houthi wanaoungwa mkono na Iran kuudhibiti mji mkuu Sanaa mwezi Septemba mwaka uliopita...

Like
177
0
Monday, 01 June 2015
WANAWAKE WAANDAMANA WAKIWA WATUPU KATIKA KIJIJI KIMOJA UGANDA
Global News

WANAWAKE katika kijiji kimoja cha kazkazini mwa Uganda wamefanya maandamano wakiwa watupu kutokana na mgogoro wa ardhi kati ya utawala wa eneo hilo na jamii ambao umeendelea kipindi cha miaka 10 hadi sasa. Maandamano hayo yanekuja kufuatia mawaziri wa serikali na watafiti kuweka mpango wa kukata kipande cha ardhi katika kijiji cha Apaa huko Amuru nchini humo. Utawala wa wanyama pori nchini Uganda unaamini kwamba watu wanavamia ardhi ya uhifadhi wa wanyama pori huku wakazi wakidai kwamba ardhi hiyo ilikuwa...

Like
308
0
Monday, 01 June 2015
SERIKALI YASHAURIWA KUBORESHA NA KUWEKEZA KATIKA MFUMO WA ELIMU NCHINI
Local News

SERIKALI imeshauriwa kuboresha na kuhakikisha inawekeza ipasavyo katika mfumo wa elimu nchini ili kuleta matokeo bora ya elimu na kuimarisha shughuli za ushindani wa kiuchumi baina yake na nchi jirani. Ushauri huo umetolewa leo mjini Dodoma na mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya maendeleo ya jamii mheshimiwa MARGARETH SITTA mara baada ya Wizara ya Elimu na mafunzo ya ufundi kuwasilisha makadilio ya matumizi ya wizara hiyo. Akichangia hoja ya makadilio kwa wizara hiyo mbunge wa kuteuliwa mheshimiwa JAMES...

Like
194
0
Monday, 01 June 2015
NICKI MINAJI NA MEEK MILL WAMWAGANA
Entertanment

Nicki Minaj amwagana na mpenzi wake rapa Meek na amerudisha pete kubwa ya almas aliyopewa na rapa huyo. Miezi sita iliyopita baada ya kuyaweka hadharani mahusiano yao mastar hawa kwa sasa wamefikia tamati ya kuwa pamoja katika mahusiano ya kimapenzi. Chanzo cha karibu na mastar hawa kimeeleza kuwa chanzo cha kuvunjika ni usaliti na kutokubaliana katika baadhi ya mambo ndio chanzo cha kuvunjika kwa mahusiano hayo Hii si mara ya kwanza kwa wawili hawa kupata matatizo ndani ya mahusiano yao...

Like
275
0
Monday, 01 June 2015
CHINA YAPIGA MARUFUKU UVUTAJI WA SIGARA KATIKA MAENEO YA WAZI
Global News

SERIKALI ya China imepiga marufuku uvutaji wa sigara katika maeneo yote ya wazi katika mji wa Beijing. Maelfu ya maafisa wameanza kufanya ukaguzi katika maeneo yote yaliyoanishwa kutohusika na kitendo cha uvutaji sigara ambapo kwa wale watakaokiuka kufuata sheria hiyo watapigwa faini. Hata hivyo tafiti zinasema kuwa  China ina jumla ya wavutaji sigara milioni 300 wakati sheria ya kusitisha uvutaji sigara katika maeneo ya wazi ya mji wa Beijing ilipopitishwa kwa mara ya kwanza na kushindwa...

Like
202
0
Monday, 01 June 2015
WANAHARAKATI WALISHUTUMU JESHI LA IRAQ
Global News

WANAHARAKATI wa haki za binadamu wamelishutumu Jeshi la Iraq kwa kushindwa kuokoa maelfu ya watu kufika sehemu salama ya nchi hiyo baada ya wao kukimbia mapigano katika jimbo la Anbar . wanasema kuwa serikali inayowaongoza ina waislamu wengi wa madhehebu ya Shia inawabagua waisalamu wa madhehebu ya Suni waliokimbia makazi yao kutokana na mashambulizi ya Islamic State aambao nao pia ni Waislamu wa Suni. Hata hivyo kwa wale wanaojaribu kuingia mji wa Baghdad wanakutana na vikwazo vya barabarani katika mitaa...

Like
188
0
Monday, 01 June 2015
LIPUMBA ATANGAZA NIA YA KUPEPERUSHA BENDERA YA UKAWA
Local News

 MWENYEKITI wa Chama cha wananchi –CUF-Profesa IBRAHIM LIPUMBA huenda akaingia kwa mara ya tano katika mbio za kuwania nafasi ya uraisi endapo Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA utampitisha kugombea nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Lipumba ametangaza nia ya kugombea nafasi hiyo ya juu ya kisiasa nchini juzi mjini Tabora wakati wa mikutano yake ya hadhara ya kuhamasisha wananchi kujitokeza kujiandikisha kupiga kura kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu Profesa Lipumba anakuwa...

Like
279
0
Monday, 01 June 2015
KLINIKI YA LOTUS KWA  KUSHIRIKIANA NA HOSPITALI YA MUHIMBILI ZAANZISHA KAMPENI YA KUELIMISHA UMA JUU YA UGONJWA WA USONJI
Local News

KLINIKI ya Lotus kwa kushirikiana na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, zimeanzisha kampeni mpya inayolenga kuelimisha uma kuhusu ugonjwa wa usonji ambao watanzania wengi hawana ufahamu wa kutosha juu ya ugonjwa huo. Akizugumza wakati wa uzinduzi huo Jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa Chama cha Kuhudumia watu wenye Usonji Tanzania dokta STELLA RWEZAULA kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ameahidi kuwa mstari wa mbele kuwezesha kampeni hiyo ili kuwaelimisha watanzania kuhusu ugonjwa huo. Ugomjwa huu sasa unatishia familia nyingi kwani...

Like
302
0
Monday, 01 June 2015
TENIS: ANDY MURRAY AJIPANGA KUPAMBANA NA JEREMY CHARDY
Slider

Mchezaji namba moja wa tenisi nchini Uingereza, Andy Murray amejipa changamoto ya kuongeza kiwango chake cha uchezaji wakati atakapopambana na Mfaransa Jeremy Chardy kuwania kufuzu hatua ya robo fainali ya mashindano ya French Open Jumatatu. Mwingereza huyo nambari tatu kwa ubora duniani anapambana na mchezaji namba 45 kwa ubora. Wachezaji hao wamekutana mara saba, kwa Murray kushinda mara sita ukiwemo mchezo wa uwanja wa udongo mjini Roma, Italia Mei 13. Murray anaingia katika mchezo huo akiwa na rekodi ya kutofungwa...

Like
229
0
Monday, 01 June 2015
UBAGUZI: WACHEZAJI WA LEICESTER WAOMBA RADHI
Slider

Wachezaji watatu wa timu ya Leicester City ya Ligi Kuu ya England ambao wanadaiwa kuonekana katika mkada wa video wakionyesha vitendo vya ubaguzi wa kimapenzi wameomba radhi kutokana na tabia yao hiyo. Picha ambazo zimekuwa zikiwaonyesha wachezaji Tom Hopper, Adam Smith na James Pearson – mtoto wa kocha Nigel Pearson – walionekana katika gazeti la Sunday Mirror. Mmoja wa wanaume hao katika video hiyo, ambayo ilipigwa nchini Thailand, anasikika kutoa lugha ya matusi ya kibaguzi dhidi ya mwanamke mmoja. Klabu...

Like
288
0
Monday, 01 June 2015