Slider

ONGEZEKO LA MIFUGO LACHANGIA UKOSEFU WA MAJI KISHAPU SINYANGA
Local News

IMEELEZWA kuwa, kuongezeka kwa Mifugo katika Wilaya ya Kishapu Mkoani Shinganya,ni mojawapo ya sababu inayopelekea kuongezeka kwa tatizo la Maji katika Wilaya hiyo. Akizungumza na Waandishi wa habari Wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga Diwani wa Kata ya Ukenyenge, MAKANASA KISHIWA, amesema kuwa ili kuhakikisha tatizo la Maji linakwisha wameweza kuchimba Mto umbali wa Kilometa 15 kutoka Shinyanga na wataweza kusambaza Maji hayo. KISHIWA amesema kuwa, wamekuwa wakikaa vikao vya Kata kuweza kuzuia Wanakijiji kupeleka Mifugo katika vyanzo vya maji,...

Like
347
0
Tuesday, 07 April 2015
UJENZI HOLELA CHANZO CHA MAFURIKO LAMADI
Local News

UJENZI holela uliopo katika Kijiji cha Lamadi, umechangia kijiji hicho na baadhi ya Vitongoji vyake kukumbwa na mafuriko yaliyotokea mwishoni mwa wiki iliyopita. Akizungumza na Wananchi wa maeneo yaliyokumbwa na maafa hayo kwa nyakati tofauti, Mbunge wa jimbo la Busega mkoani humo, Dokta TITUS KAMANI amesemapamoja na kwamba kuna visababishi vya mafuriko yakiwemo mabadiliko ya Tabia ya nchi, ujenzi huo ni kikwazo cha maji. Dokta  KAMANI amesema hayo wakati akitembelea Wahanga wa Maafa hayo na kuwapa pole wahanga,huku akimabatana na...

Like
623
0
Tuesday, 07 April 2015
CRYSTAL PALACE YAILAZA MAN CITY 2-1
Slider

Klabu ya soka ya Crystal Palace jana ilifanikiwa kuwaangazmiza mabingwa watetezi Manchester City magoli 2-1 katika mchezo uliuchezwa Selhurst Park.   Ushindi huo wa jana wa klabu ya Cristal Palace ni mafanikio kwa meneja Alan Pardew   Meneja alifunguka na kusema kwamba anaamini kuwa Mameneja katika ligi hiyo hawapati sifa wanayostahiri mara tu wanapozitandika timu kubwa kwa kuwazidi mbinu kimchezo.    ...

Like
340
0
Tuesday, 07 April 2015
YANGA USO KWA USO NA ETOILE DU SAHEL
Slider

Yanga kushuka dimbani kumenyana na Etoile du Sahel ya Tunisia katika raundi ya pili ya michuano ya vilabu ya kombe la Shirikisho barani Afrika. Yanga ambayo inaiwakilisha Tanzania kwenye michuano hiyo imefanikiwa kuwatoa Platinum FC licha ya kufungwa 1-0 katika mechi ya marudiano iliyochezwa Bulawayo, nchini Zimbabwe. Hii inafuatia ushindi wa 5-1 ambao Yanga iliupta katika mechi ya kwanza iliyochezwa hapa Dar es Salaam. Yanga watakuwa na kazi ya ziada kuhakikisha wanaipeperusha vyema bendera ya Tanzania kufuatia rekodi ya klabu ya...

Like
283
0
Tuesday, 07 April 2015
5 EFFECTS YAITAKIA EFM HERI YA KUZALIWA
Entertanment

Katika kuonyesha mapenzi na ukaribu walionao na kituo hiki kampuni ya uandaaji wa Filamu nchini 5 effects ni moja kati ya kampuni zilikuwa pamoja nasi na kututakia heri kwenye kumbukumbu ya kunzishwa kwa kituo hiki hapo...

Like
531
0
Friday, 03 April 2015
IRAN YAAFIKI KUPUNGUZA KURUTUBISHA NYUKLIA
Global News

MAKUBALIANO kuhusu muundo wa baadaye wa mpango wa nyuklia wa Iran, yamefikiwa baada ya mazungumzo na mataifa Sita makubwa yaliyokuwa yakifanyika nchini Uswisi. Kwa mujibu wa mkataba huo, Iran itapunguza uwezo wake wa kurutubisha madini ya Urani huku ikiahidiwa kuondolewa vikwazo kwa awamu. Mataifa makubwa ya Dunia na Iran sasa yanalenga kuandika mkataba kabambe ifikapo Juni 30....

Like
243
0
Friday, 03 April 2015
HALI YA AFYA YA GWAJIMA YABADILIKA GHAFLA
Local News

HALI  ya Afya ya Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima,JOSEPHAT GWAJIMA,imebadilika ghafla baada ya kushindwa kupanda ngazi katika ofisi za Kituo Kikuu cha polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam. Askofu GWAJIMA amefika kituoni hapo akiwa ameongozana na maaskofu zaidi ya Watano. Katika hali ya kushangaza,wakati akipanda ngazi kuelekea kwa Mkuu wa Upelelezi wa Kanda Maalum ya Dar es salaam,aliweza kupanda ngazi mbili,lakini alipojaribu ya tatu...

Like
415
0
Friday, 03 April 2015
JITIHADA ZAIDI ZAHITAJIKA KUZIA NA KUPUNGUZA VIFO VYA WAZAZI NA WATOTO CHINI YA UMRI WA MIAKA MITANO
Local News

SERIKALI kwa kushirikiana na Wananchi wametakiwa kuendeleza jititihada zinazofanywa na wadau mbalimbali nchini,hasa katika kuhakikisha wanazuia na kupunguza vifo vya Akinamama wajawazito na watoto chini ya umri wa miaka mitano. Changamoto hiyo imetolewa na Meneja wa Shirika lisilo la Kiserikali linalojihusisha na masuala ya Afya nchini-AMREF health Africa,mkoani Simiyu GODFREY MATUMU,wakati wa mkutano wa kufunga Mradi wa Uzazi Uzima. Amesema kuwa mashirika au taasisi binafsi ambazo zimekuwa zikijihusisha na masuala ya Afya zimekuwa zikibeba...

Like
260
0
Friday, 03 April 2015
TANZANIA YAWA NCHI YA KWANZA KWENYE MIONGONI MWA NCHI WANACHAMA WA SADC NA EAC KUINGIA KWENYE MFUMO WA DIJITI
Local News

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania-TCRA,imesema Tanzania imekuwa nchi ya kwanza kutekeleza maazimio ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika-SADC pamoja na ya Jumuiya ya Afrika Mashariki-EAC katika kutumia mfumo wa matangazo wa Dijiti. Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es salaam,Meneja Mawasiliano wa TCRA-INNOCENT MUNGI,amesema nchi Wanachama wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mawasiliano ya Simu Duniani-ITU,kwa pamoja zimeridhia makubaliano ya kusimamisha mfumo wa Utangazaji wa television unaotumia Teknolojia ya...

Like
239
0
Friday, 03 April 2015
AFCON: MOROCCO YASHINDA BAADA YA KUKATA RUFAA
Slider

Morocco imeshinda kesi baada ya kukata rufaa dhidi ya hukumu waliyopewa na chama cha mpira wa miguu barani Afrika Caf ambapo walifungiwa kushiriki michuano ya mataifa ya afrika Afcon kwa mwaka 2017 na 2019. Mahakama ya usuluhishi wa mambo ya michezo imebadili maamuzi ya Caf baada ya Morocco kukosa nafasi ya kuwa mwenyeji wa fainali za afcon 2015, mahakama hiyo pia imepunguza tozo iliyowekewa timu hiyo dola za kimarekani milioni moja hadi dola 50000. Morocco amabao walipangwa kuwa wenyeji wa...

Like
300
0
Friday, 03 April 2015
RAHEEM STERLING: NAVUTIWA NA KUTWAA MATAJI NA SIO PESA
Slider

Kocha wa klabu ya soka ya Liverpool ya England Brendan Rodgers, amesema Raheem Sterling hataondoka katika klabu hiyo, msimu wa kiangazi japo kuwa mazungumzo kuhusu mpango mpya kati ya mchezaji huyo na vijogoo hao wa Anfield yamevunjika. Sterling mwenye umri wa miaka 20 kwenye mahojiano yake na kituo cha BBC amesema kuwa yeye anavutiwa zaidi kutwaa mataji na wala siyo pesa,maneno ya mchezaji huyo yanakuja baada ya kukataa ushawishi wa mkataba wa kitita cha paundi laki 100,000 kwa wiki. “Liverpool...

Like
330
0
Friday, 03 April 2015