Slider

SERIKALI YAINGIA HASARA YA ZAIDI YA BILIONI 8 KUTOKANA NA RISITI BANDIA
Local News

SERIKALI imesema imepata hasara zaidi ya Shilingi Bilioni Nane kutokana na risiti za ununuzi Bandia. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Fedha ,Mheshimiwa SAADA MKUYA alipozungumza katika Majumuiyo ya Semina kwa Wabunge kuhusu Mfumo wa malipo nchini. MKUYA ameeleza kuwa kutokana na mfumo wa kutumia malipo hayo mtu huwasilisha risiti za orodha ya malipo mengi ambayo kwa uhalisia...

Like
337
0
Monday, 23 March 2015
JUAN MATA NYOTA WA MCHEZO, LIVERPOOL NA MAN U
Slider

Liverpool imeshindwa kuutumia uwanja wake wa nyumbani katika mchezo wake na klabu ya Manchester United baada ya kuruhusu kupokea kichapo cha magoli 2 kutoka kwa Manchester huku wakiambulia goli moja lakufuta machozi lilifungwa na Daniel Sturridge. Goli la kwanza la Man U lilifungwa na Juan mata ambapo Liverpool iliamua kufanya mabadiliko kuimarisha safu yake ya ulinzi kwakumuingiza nahodha wa timu hiyo Steven Gerrard kuchukua nafasi ya Adam Lalana aliyepata jeraha. Hata hivyo nahodha huyo hakupata nafasi ya kuendelea na mchezo...

Like
496
0
Monday, 23 March 2015
BARCELONA YAILAZA REAL MADRID 2-1
Slider

Klabu ya soka ya Hispania Real Madrid jana imepokea kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa mahasimu wao Barcelona Goli la kwanza la Barcelona lilitiwa nyavuni na Jeremy Mathieu katika dakika ya 19 wakati bao la pili likifungwa na mshambuliaji wa zamani wa Liverpool Luis Suarez katika dakika ya 56. Huku goli pekee la kufutia machozi la Real Madrid likifungwa na mshambuliaji machachali duniani Christiano Ronaldo dakika ya 31 bao lililodumu hadi mwisho wa mchezo huo maarufu kama El Clasico wenye...

Like
286
0
Monday, 23 March 2015
UMOJA WA ULAYA UMEFIKIA MAKUBALIANO KUREFUSHA VIKWAZO VYA UCHUMI DHIDI YA URUSI
Global News

VIONGOZI wa Taifa na Serikali wa nchi za Umoja wa Ulaya wamekubaliana kurefusha vikwazo vya Kiuchumi dhidi ya Urusi hadi Desemba mwaka huu. Katika mkutano wao wa kilele mjini Brussels viongozi hao wa Mataifa 28 wamefungamanisha vikwazo hivyo na kuheshimu makubaliano ya kuweka chini silaha na kurejesha amani Mashariki mwa Ukraine. Hata hivyo Viongozi hao  wamezidi kumshinikiza Rais wa Urus VLADIMIR PUTIN, atumie ushawishi wake kuwatanabahisha Waasi wanaoelemea upande wa Urusi ili kumaliza mzozo wa Mashariki mwa...

Like
227
0
Friday, 20 March 2015
SERIKALI YA MAREKANI YAMTUHUMU NETANYAHU KUKIUKA MPANGO WA AMANI
Global News

MSEMAJI wa Serikali ya Marekani, JOSH EARNEST, amesema Waziri Mkuu wa Israel BENJAMIN NETANYAHU, amekiuka dhamira yake ya awali ya kuundwa kwa Mataifa mawili kama suluhu ya mgogoro wa Israel na Palestina mwanzoni mwa wiki hii. Matamshi ya waziri mkuu huyo wa Israel ya kutotaka kuwepo kwa taifa la Palestina yanaonekana na wengi kama ndio yaliyomsaidia kushinda katika uchaguzi uliofanyika siku March 17 mwaka huu. Taarifa zinasema kuwa NETANYAHU amekiambia Kituo cha Televisheni cha Marekani, MSNBC, kwamba bado anabaki na...

Like
233
0
Friday, 20 March 2015
ADC YAANZA KUKUSANYA MAONI YA KATIBA PENDEKEZWA KWA WANACHAMA WAKE
Local News

CHAMA cha Alliance for Democratic Change-ADC kimeanza kukusanya maoni ya katiba pendekezwa kwa wanachama wake kote nchini ili kutoa maamuzi ya chama kwa katiba hiyo. Akizungumza na Kituo hiki Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho DOYYO HASSAN amesema kuwa hatua hiyo inafuatia maamuzi ya mkutano mkuu wa Taifa kwa mujibu wa katiba ya chama kuwa kuwepo ushirikishwaji wa wanachama pale kunapokuwa na suala linalogusa maslahi ya Taifa. HASSAN amesema kuwa watakwenda kukusanya maoni ya wanachama wake kote nchini katika kanda...

Like
246
0
Friday, 20 March 2015
SERIKALI YAWASILISHA BUNGENI MUSWADA WA MAAFA KWA MARA YA PILI
Local News

SERIKALI imewasilisha Bungeni kwa mara ya pili Muswada wa Sheria ya usimamizi wa maafa ya mwaka 2014 itakayokuwa na malengo ya kuboresha na kuondoa mapungufu katika sheria iliyopo kwa manufaa ya Taifa. Akiwasilisha rasmi Muswada huo Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera na Uratibu ,Mheshimiwa JENISTER MHAGAMA amesema kuwa, sheria inayopendekezwa katika muswada huo itasaidia kwa kiasi kikubwa kurahisisha uratibu na kutatua matatizo ya maafa katika eneo husika. Mheshimiwa MHAGAMA amebainisha kuwa kumekuwepo na mapungufu mengi katika sheria...

Like
194
0
Friday, 20 March 2015
HII NDIO ZAWADI YA KEVIN HART KWA ALIEKUWA MKEWE
Entertanment

  Kevin Hart akabidhi funguo za ndinga mpya aina ya cadillac Escalade ya mwaka 2015  kwa aliekuwa mke wake Torrei Hart. Wawili hawa walitengana miaka mitano nyuma lakini Muigizaji huyu hajapoteza nafasi ya kumjali mama wa watoto wake wawili. Nyota wa Atlanta Exes  Torrei amesherehekea birthday yake ya 37 mapema feb 28 na kushea picha kupitia ukurasa wake wa instagram  march 28 kuonyesha zawadi ambayo Kevin amemzawadia na kuandika caption ya maneno haya ikiwa kama sehemu ya kushukuru  “Big shout...

Like
377
0
Friday, 20 March 2015
MARUBANI WA SHIRIKA LA NDEGE LA UJERUMANI LUFTHANSA WATANGAZA KUENDELEA NA MGOMO LEO
Global News

MARUBANI wa Shirika la ndege la Ujerumani Lufthansa wametangaza kwamba wataendelea na mgomo wao leo mgomo ambao tayari umewaathiri maelfu ya abiria na kushuhudia kufutwa kwa mamia ya safari kutokana na mzozo juu ya mpango wa malipo ya kustaafu. Msemaji wa Shirika la ndege la Lufthansa amesema nusu ya safari 1,400 za shirika hilo za ndani na zile za Ulaya kuingia na kuondoka Frankfurt na Munich zimefutwa hapo na kuathiri abiria 80,000. Mgomo huo wa siku moja awali ulikuwa umepangwa...

Like
400
0
Friday, 20 March 2015
MAREKANI KUIMARISHA USHIRIKIANO NA IRAN
Global News

RAIS BARRACK OBAMA ametoa ujumbe katika kanda ya video kwa viongozi na raia wa Iran akisema kwamba hapajakuwa na wakati muafaka zaidi katika miongo kadha iliyopita kwa Marekani na Iran kutafuta uhusiano mpya. Katika ujumbe wa kusherehekea mwaka mpya wa Iran, OBAMA amesema Mataifa hayo mawili yana nafasi ya kihistoria ambayo haipaswi kupotea. Amesema mazungumzo kuhusu mpango wa nuklia wa Iran yamepiga hatua lakini ameonya kuwa kuna watu wanaopinga mazungumzo juu ya mpango huo kwa nchi zote mbili yaani Marekani...

Like
224
0
Friday, 20 March 2015
IDARA YA UHAMIAJI YATOA WITO KWA WAMILIKI WA VIWANDA KUTUNZA MAZINGIRA
Local News

IDARA ya Uhamiaji nchini imetoa wito kwa Wamiliki wa Viwanda na Wazalishaji wa bidhaa mbalimbali kutafuta namna nzuri ya kutunza mazingira kwa kuangalia njia mbadala ya kuhifadhi vifaa vilivyokwisha kutumika. Akizungumza na wadau mbalimbali katika Semina ya mazingira Kamishna wa Uhamiaji, Utawala na fedha  PANIEL MGONJA amesema  lengo la Semina hiyo ni kuonyesha muongozo wa namna nzuri ya kutunza mazingira. MGONJA amesema kuwa wao kama taasisi ya Uhamiaji wameamua kutekeleza sheria ya Mazingira kwa kuhakikisha Majengo na Nyumba za makazi...

Like
304
0
Friday, 20 March 2015