Slider

NEW VIDEO: LINEX FT DIAMOND SALIMA
Entertanment

Video imetayarishwa na Adam...

Like
1457
0
Friday, 13 March 2015
NEW VIDEO: OMMY DIMPOZ WANJERA
Entertanment

Haya ndio majibu ya maswali ya muda mrefu kuhusu picha za mahaba zilizokuwa zikisambazwa na kuzua maswali iwapo kuna ukweli kwamba Ommy Dimpoz na Wema ni wapenzi. mbali na wema mshindi wa BBA Hotshot pia Idris Sultan ameshiriki kwenye video hiyo Huu ni wimbo mpya wa Dimpozi video imefanywa na kampuni ya Godfather huko Afrika...

Like
1046
0
Friday, 13 March 2015
MATOKEO YA EUROPA LEAGUE
Slider

Matokeo ya Europa League jana usiku tarehe 12-march 2015. Everton 2 – Dynamo Kiev Roma 1 – 1 Fiorentina Wolfsburg 3 – 1 Inter Millan Villareal 1 – 3 Sevila Napoli 3 – 1 Dynamo Moskva Club Brugge 2 – 1 Beşiktaş Dnipro Dnipropetrovsk 1 – 0 Ajax Zenit 2 – 0...

Like
403
0
Friday, 13 March 2015
AUDIO: MASWALI NA MAJIBU YA DK PANJUAN KWA MWENYEKITI WA BODI YA LIGI
Slider

Unaweza kusikiliza na kudownload hapa kibonzo cha Dk. Panjuan kupitia kipindi cha Sports Headquarters...

Like
615
0
Friday, 13 March 2015
NEW MUSIC: ADAH – BAISHOW
Music

Unaweza kusikiliza na kudownload wimbo huu hapa Audio imetayarishwa kwenye studio za Mazuu...

Like
494
0
Friday, 13 March 2015
MAREKANI YAUNGA MKONO UUNDWAJI WA JESHI LA PAMOJA KUPAMBANA NA BOKO HARAM
Global News

MAREKANI imeunga mkono uundwaji wa jeshi la pamoja lenye askari hadi 10,000 katika eneo la Afrika Magharibi kwa lengo la kukabiliana na kundi la wanamgambo wenye itikadi kali la Kiislamu Boko Haram. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Wizara ya Ulinzi ya Marekani Mataifa 54 ya Umoja wa Afrika yameidhinisha jeshi hilo na kuuomba Umoja wa Mataifa kuridhia utekelezeji wake kwa dharura baada ya mashambilizi ya kundi hilo katika maeneo ya kaskazini mwa Nigeria na mataifa jirani ya Chad, Niger,...

Like
238
0
Thursday, 12 March 2015
MAOFISA WA POLISI WASHAMBULIWA FERGUSON
Global News

MAAFISA Polisi wawili wameshambuliwa kwa risasi mjini Ferguson, mji ambao umekuwa katika hali ya wasiwasi mwingi tangu kijana mweusi alipouawa na askari wa kizungu mwezi Agosti. Afisa mmoja alipigwa usoni mwingine alijeruhiwa begani.Polisi wanasema wote wanapata matibabu hospitalini. Shambulio la risasi lilitokea nje ya jengo la idara ya Polisi, ambako waandamanaji kadhaa walikusanyika baada ya Mkuu wa Polisi mjini humo Thomas Jackson alipotangaza kujiuzulu....

Like
318
0
Thursday, 12 March 2015
AFRIKA MASHARIKI HUENDA ISINUFAIKE NA KUSHUKA KWA BEI YA MAFUTA DUNIANI KWAKUKOSA VIFAA VYA KUHIFADHIA MAFUTA
Local News

UTAFITI uliofanywa na kampuni ya Deloite East Africa umeonesha kuwa kuna uwezekano mkubwa kwa nchi za Afrika ya Mashariki kutofaidika na kushuka kwa bei ya mafuta duniani kutokana na kutokuwa na vifaa vya kutosha vya kuhifadhia mafuta hayo. Hayo yamebainishwa na Meneja Mkuu wa Kodi wa kampuni hiyo JOSPEH THOGO ambapo amesema kuwa Kushindwa kwa nchi hizo za Afrika Mashariki kuwa na vifaa vya kutosha vya kuhifadhia mafuta kunamaanisha kuwa nchi hizo zitashindwa kujikusanyia mafuta ya kutosha kwa bei nafuu...

Like
402
0
Thursday, 12 March 2015
WIZARA YA FEDHA YATILIANA SAINI MIKATABA NA BENKI YA DUNIA
Local News

WIZARA ya fedha imetiliana saini mikataba mitatu na benki ya dunia itakayowezesha kuipatia serikali ya Tanzania mikopo ya miradi mitatu ya kuendeleza jiji la Dar es salaam, mradi wa kuendeleza ujenzi wa nyumba za bei nafuu na mradi wa uvuvi wa kikanda wa kuendeleza uvuvi, yenye ujumla ya thamani ya dola milioni 396 sawa na shilingi bilioni 710. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, Katibu mkuu wa wizara ya fedha Dokta Servacius Likwelile ameahidi kuwa serikali...

Like
257
0
Thursday, 12 March 2015
DONDOO ZA MICHEZO
Slider

Beki wa kimataifa wa Argentina Martin Demichelis ameongeza mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia klabu ya Manchester City mpaka msimu wa 2015/2016.   Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Manchester United Diego Forlan ametangaza kustaafu kuichezea timu ya taifa ya Uruguay. Forlan mwenye umri wa miaka 35 ameiwakilisha timu ya taifa ya Uruguay katika michezo 112 huku akifunga magoli...

Like
611
0
Thursday, 12 March 2015
KAMANDA WA POLISI FERGUSON AJIUZULU KUFUATIA RIPOTI YA KASHFA YA UBAGUZI WA RANGI
Global News

KAMANDA wa Polisi katika mji wa Ferguson nchini Marekani amejiuzulu baada ya ripoti ya shirikisho kulaumu kitengo chake kina ubaguzi. THOMAS JACKSON anakabiliwa na miito ya kumtaka ajiuzulu tangu yalipotokea maafa ya kuuawa kwa kupigwa risasi kwa MICHAEL BROWN, kijana Mweusi ambaye hakuwa na Silaha yoyote wakati tukio hilo likitokea. Kijana huyo ameuawa na Mmoja wa Maafisa wake Agusti mwaka jana....

Like
258
0
Thursday, 12 March 2015