Slider

WANANCHI WAJIPATIA PESA TASLIMU KWENYE MCHEZO WA SAKASAKA YA EFM REDIO
Local News

Mchezo wa SAKASAKA unaoendeshwa na kituo cha EFM redio umeanza rasmi siku ya jumapili ya tarehe 12/06/2016 pale viwanja vya Mcanada, Tegeta ukiwahusisha wakazi wa wilaya ya Kinondoni. Kiasi cha shilingi milioni 3 taslimu zimetolewa kwa washindi 12 ambapo mshindi wa kwanza aliondoka na milioni mbili, wapili na watatu laki mbili, mshindi wanne hadi wasita laki moja na washindi sita wa mwisho kupata elfu hamsini kila mmoja.   Baadhi ya picha za washiliki wakisaka kitu kilichofichwa Umati wa watu waliohudhuria...

Like
1012
0
Monday, 13 June 2016
PICHA: SHOW YA JOTO LA ASUBUHI BUGURUNI
Local News

Wakazi wa Buguruni leo wameshuhudia jinsi watangazaji wa kipindi cha Joto la Asubuhi ambao ni Pj, Gerald Hando na adella Tillya wakitangza Live katika eneo la Buguruni Mataa Paul James (PJ) Gerald Hando Adella Tillya...

Like
1624
0
Friday, 10 June 2016
WASICHANA 500 WA TANZANIA WANATUMIKA ASIA
Local News

Serikali imesema zaidi ya wasichana 500 wanatumikishwa katika kazi hatari zikiwemo za ukahaba katika nchi za Asia na Uarabuni. Taarifa ya wizara ya mambo ya nje imesema imepata taarifa kuwa kuna mtandao unaowasafirisha wasichana katika nchi hizo kwa madai ya kufanya kazi za ndani lakini baadae hutumikishwa kwenye biashara ya ngono. Taarifa zinasema baadhi ya wasichana hao wemekimbilia kwenye ubalozi wa Tanzania ili kuomba kurudishwa nyumbani Mindi Kasiga ni Msemaji wa Wizara ya mambo ya nje ambaye anasema ” Mtandao...

Like
330
0
Friday, 10 June 2016
MAAFISA 302 WA POLISI WAFUTWA KAZI KENYA
Global News

Takriban maafisa 302 wa polisi wamefutwa kazi nchini Kenya kwa kukataa kukaguliwa tangu mpango huo wa kutaka kukabiliana na ufisadi kuanzishwa mwaka 2013,kulingana na tume inayotekeleza ukaguzi huo. Hayo yalibainishwa na Jonhston Kavuludi ,anayeongoza tume hiyo ya huduma za maafisa wa polisi huku maafisa wa polisi wakijiandaa kuhojiwa na jopo katika mji wa magharibi wa Kisumu. Ukaguzi huo ni mpango wa uma na hufanywa mbele ya kamera ambapo maafisa uhojiwa kuhusu mali na fedha wanazomiliki huku mgongano wowote wa maslahi...

Like
328
0
Thursday, 09 June 2016
SAKASAKA 2016 INAKUPA NAFASI YA KUTWAA MILIONI TATU
Local News

Baada ya kukabidhi magari mawili na pikipiki kumi kwa wasikilizaji wake kupitia shindano la shikandinga , EFM redio inakuja na donge nono kupitia mchezo wa sakasaka ambao huchezeshwa kila mwaka toka kituo kianzishwe. Saka saka ni shindano ambalo efm redio huficha kitu katika eneo fulani ambapo  msikilizaji hupewa maelekezo yake hivyo atatakiwa kwenda katika eneo hilo na kukitafuta hicho kitu kulingana na shindano. Mwaka huu mchezo wa sakasaka utaanza tarehe 12/06/2016, utachezeshwa katika wilaya tano (5) ambazo ni Kinondoni, Ilala,...

Like
411
0
Thursday, 09 June 2016
HILLARY CLINTON AJITANGAZIA RASMI USHINDI
Global News

HILLARY CLINTON amejitangazia rasmi ushindi kwenye kura za mchujo za chama chake cha Democratic baada ya kushinda majimbo kadhaa muhimu kwenye chaguzi za jana na hivyo kujiimarishia nafasi ya kuteuliwa kuwa mgombea wa kwanza mwanamke wa urais wa Marekani.   Hata hivyo mpinzani wake, Bernie Sanders, amekataa kujitoa kwenye kinyang’anyironi na badala yake ameapa kusonga mbele hadi dakika za mwisho.   Kwa upande mwengine, mgombea mteule wa chama cha Republican, Donald Trump, amejizolea ushindi mkubwa kwenye majimbo ya New Mexico,...

Like
279
0
Wednesday, 08 June 2016
TISHIO LA BOMU LAILAZIMU NDEGE YA EGYPT KUTUA GHAFLA
Local News

NDEGE ya shirika la EgyptAir ambayo ililazimika kutua nchini Uzbekistan kutokana na udanganyifu wa kuwepo kwa bomu, imeruhusiwa kuendelea na safari yake kutoka Cairo kwenda Beijing.   Abiria wote 118 na wafanyikazi 17 waliokuwa ndani ya ndege hiyo, waliondolewa katika uwanja wa kimataifa wa Urgench.   Wiki tatu zilizopita ndege ya EgyptAir iliyokuwa ikitoka mjini Paris kwenda Cairo ikiwa na abiria 66 ilianguka katika bahari ya...

Like
284
0
Wednesday, 08 June 2016
WAMILIKI WA MAGARI WAMETAKIWA KUYAKATIA BIMA MAGARI YAO
Local News

WAMILIKI na Madereva wa Magari nchini wametakiwa kuhakikisha kuwa magari yote yanayotembea barabarani yamekatiwa bima iliyotolewa na kampuni iliyosajiliwa na mamlaka ya bima  kufuatia badala ya kutumia bima feki. Akizungumza na E fm jijini Dar es salaam leo , Mkurugenzi wa Sheria wa Mamlaka ya Udhibiti wa Bima Tanzania- TIRA, Paul Ngwembe amesema kuwa sheria ya bima ya mwaka 2009 inayosimamia masuala ya bima inataka kila gari linalotembea barabarani liwe na bima lakini kumekuwepo na baadhi ya wamiliki au madereva...

Like
352
0
Wednesday, 08 June 2016
ZITTO AHOJIWA NA POLISI
Local News

JESHI la polisi kanda maalumu ya dar es salaamu limemuita na kumuhoji mbunge wa kigoma mjini ZITTO KABWE kwa ajili ya kupata ufafanuzi juu ya maudhui ya hotuba aliyo itoa jumapili iliopita katika viwanja vya Zakhiemu Mbagala . Mheshimiwa KABWE alifika katika ofisi ya polisi kanda maalumu ya Dar es salaamu majira ya saa tatu na dakika thelathini na mbili asubuhi ambapo alihojiwa kwa masaa mawili na baada ya hapo mheshimiwa KABWE alizungumza na waandishi wa habari ambapo alionesha kusikitishwa...

Like
297
0
Wednesday, 08 June 2016
NYANI AZIMA UMEME KOTE NCHINI KENYA
Global News

ampuni ya kuzalisha umeme nchini Kenya, KENGEN imetuma taarifa kwa vyombo vya habari ikiomba radhi kwa ukosefu wa umeme Kwa hapo jana. Hilo sio jambo geni. Mara kwa mara umeme hupotea nchini Kenya kwa sababu moja au nyengine, sawa tu na mataifa yote barani Afrika Hata hivyo sababu walioitoa KENGEN kwa ukosefu huo wa umeme Kwa takriban saa nne kote nchini humo ndio imewaacha wengi wamepigwa na butwaa ! Nyani. Amini usiamini, KENGEN imempata nyani mmoja katika eneo maalum lenye...

Like
455
0
Wednesday, 08 June 2016
AHADI HII YA SAMATTA HUENDA ITABADILISHA TASWIRA YA SOKA LA BONGO
Slider

NAHODHA wa Timu ya Soka ya Tanzania (Taifa Stars) Mbwana Ali Samatta ameahidi kujenga kituo maalum nchini cha kuibua na kukuza vipaji vya wanasoka wachanga ili wafikie viwango vya kimataifa. Sambamba na hilo, ameweka azma ya kukifanya kituo chake kuwa na wigo mpana wa kuwawezesha vijana wa kutoka nje ya Tanzania kuja kujifunza soka katika kituo hicho na kuwapeleka vijana wawili kila mwaka kwenda kujifunza zaidi mchezo huonchini...

Like
321
0
Tuesday, 07 June 2016