Slider

DAWA ZA KUZUIA MAAMBUKIZI YA VVU ZASAIDIA WATOTO KUZALIWA SALAMA
Local News

IMEELEZWA kuwa Kuimarika kwa upatikanaji wa huduma ya kupewa dawa za kuzuia maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) kwa akina mama wajawazito ili kuzuia maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto kumesababisha watoto wengi kuzaliwa wakiwa salama. Hayo yamesema na Dokta Zulfa Msami wakati akisoma taarifa ya kituo cha Afya cha Manispaa ya Lindi kwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete alipotembelea kituo hicho. Dokta Msami...

Like
317
0
Tuesday, 17 February 2015
AUDIO: MAHOJIANO NA JUMA PONDAMALI MENSA KWENYE MAKAO MAKUU YA MICHEZO
Slider

  Kwanza akijitambulisha jinalake pamoja na kusimulia mwanzo wake katika soka. baada ya kujiunga na browaris ya dare es salaam na baadaye pan afrika huku chama cha soka wakati huo kiki onekana kusita kuisajili timu hiyo je waliamua nini. Pan afrika ilionekana kuwa timu kubwa na bora wakati huo je mwisho wa klabu hiyo ni nini. kwanini ulikuwa mgomvi pondamali sababu ilikua ni nini....

Like
624
0
Tuesday, 17 February 2015
DENMARK: MAELFU WAJITOKEZA KUOMBOLEZA VIFO VYA WATU WAWILI WALIOUAWA KWA MASHAMBULIZI
Global News

MAMIA kwa maelfu ya raia wa Denmark wameomboleza vifo vya watu wawili waliouwawa katika mashambulizi mawili tofauti siku ya Jumapili mjini Copenhagen. Jana jioni, watu hao waliwasha mishumaa karibu na mgahawa ambapo kijana mwenye miaka 22 aliwashambulia kwa risasi watu waliokuwa wakihudhuria mjadala kuhusu uhuru wa kutoa maoni. Mtu mmoja alikufa katika tukio hilo na mwingine katika tukio la pili ambapo mshukiwa aliwashambulia kwa risasi watu waliokuwa nje ya sinagogi moja mjini...

Like
280
0
Tuesday, 17 February 2015
UGIRIKI YAJITOA MHANGA KULIKABILI DENI LAKE
Global News

SERIKALI ya Ugiriki imeleezea imani yake kwamba mkataba kuhusu madeni yake, utafikiwa ndani ya saa arobaini na nane, licha ya kupinga muda wa mwisho uliowekwa na nchi za Ulaya zinazotumia sarafu ya euro. Mkutano wa mawaziri kutoka nchi za Ulaya zinazotumia sarafu ya euro waliokutana mjini Brussels, Ubalegiji ulivunjika mapema kuliko ulivyotarajiwa wakati serikali ya Ugiriki ilipo tupilia mbali fursa iliyotolewa kwa nchi hiyo hadi Ijumaa kuhusu mpango wa nchi hiyo kudhaminiwa, au kuona mipango ikiisha kufikia mwishoni mwa mwezi...

Like
224
0
Tuesday, 17 February 2015
SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KUADHIMISHWA MOROGORO KITAIFA
Local News

MKOA wa Morogoro umeteuliwa kuwa mwenyeji wa maadhimishi ya siku ya Wanawake Dunia  Kitaifa, siku ambayo huadhimishwa kila ifikapo March 08 kila mwaka. Siku hiyo huadhimishwa kwa shughuli mbalimbali na kutambua mchango wa Mwanamke katika Maendeleo ya Jamii. Kampuni ya TRUMARK ya jijini Dar es Salaam imeandaa Warsha maalum katika maadhimisho hayo yenye Kauli mbiu isemayo Wanawake...

Like
453
0
Tuesday, 17 February 2015
POLISI YAJIANDAA KUZUIA MAANDAMANO YA VIJANA WAHITIMU WA JKT
Local News

JESHI la Polisi limesema wamejiandaa na lipo tayari kuzuia maandamano yaliyopangwa kufanywa na baadhi ya ya vijana Zaidi ya 200 waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa-JKT kuanzia mwaka 2000 hadi mwaka 2013. Tayari Vijana hao kutoka mikoa mbalimbali nchini wametangaza kuwa watafanya maandamano makubwa kwa siku tatu katika jiji la Dar es salaam kwa lengo la kwenda Ikulu kumuona Rais KIKWETE ili kumweleza shida zao ikiwemo ya kutokuwa na ajira ya kudumu tangu wamalize mafunzo hayo. Pia vijana hao...

Like
1104
0
Tuesday, 17 February 2015
MEDANI ZA KIMATAIFA
Slider

AFRIKA. Pamoja na timu ya Taifa ya Mali kutofanya vizuri kwenye michuano ya Afcon iliyomalizika hivi karibuni, shirikisho la soka nchini humo halina mpango wa kumtimua kocha huyo. ULAYA. Pamoja na Manchester United kufuzu kwa hatua ya robo fainali ya michuano ya FA, mashabiki wa Preston walimzomea Radamel Falcao na kuita usajili wake ni sawa na upotevu wa fedha kwa Man United.   Kocha wa zamani wa Ac Millan na timu ya taifa ya Italia, Arrigo Sacchi amebainisha kuwa kuwepo...

Like
343
0
Tuesday, 17 February 2015
MANCHESTER UNTD USO KWA USO NA ARSENAL KOMBE LA FA
Slider

Maasimu wa jadi katika ligi ya mpira wa miguu huko Uingereza wanarajia kukutana kwenye mechi za kombe la FA ambapo Arsenal watasafiri kwenda Old Trafford kuikabili Manchester Untd. Mchezo huo unatajwa kuwa ni mchezo unaosubiriwa kwa hamu katika hatua ya robo fainali ambapo timu hizo zinatarajiwa kushuka dimbani tarehe 7 au 8 ya mwezi Machi. Manchester Untd imeingia kwenye hatua hiyo baada ya kuilaza Preston North End mabao 3-1 siku ya jumatatu. Mbali na mchezo huo wa Manchester Untd na...

Like
452
0
Tuesday, 17 February 2015
HALI BADO TETE UKRAINE LICHA YA MAKUBALIANO YA KUSITISHA MAPAMBANO
Global News

WANADIPLOMASIA wamesema Wanachama 15 wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa watakuwa na mashauriano zaidi juu ya usitishaji mapigano Mashariki mwa Ukraine, lakini bado hawapo tayari kupitisha maazimio. Baraza hilo la Amani na Usalama Duniani linatarajiwa kupiga kura juu ya rasimu ya maazimio dhidi ya Urusi inayotaka pande zote kutekeleza mpango uliotoa nafasi ya kusitishwa kwa mapigano kulikoanza siku ya Jumapili. Licha ya makubaliano hayo, milio ya mizinga imekuwa ikisikika Mashariki mwa...

Like
299
0
Monday, 16 February 2015
MISRI YAFANYA MASHAMBULIZI YA ANGA DHIDI YA IS LIBYA
Global News

MISRI imefanya mashambulizi ya angani dhidi ya wanamgambo wa dola la Kiislamu nchini Libya, baada ya wanamgambo hao kutoa mkanda wa Video, ulioonyesha mauaji ya Wakristo wa madhehebu ya Koptik ambao ni raia wa Misri. Waumini hao wameuawa kwa kukatwa vichwa walikuwa wamechukuliwa mateka na kundi hilo kwa wiki kadhaa. Msemaji wa jeshi la Misri ametangaza mashambulizi hayo leo kupitia Radio ya Kitaifa nchini humo, tangazo lililoashiria Misri kukiri kwa mara ya kwanza hadharani kufanya operesheni ya Kijeshi katika nchi...

Like
289
0
Monday, 16 February 2015
BODI YA WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI YATOA MAFUNZO KWA WAALIMU
Local News

BODI ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi imeendesha mafunzo kwa walimu ,Wataalam wanaosimamia Wanafunzi wa Fani ya Ununuzi na Ugavi wanaofanya tafiti kama sehemu ya mafunzo yao ya Stashahada ya ununuzi na ugavi. Mafunzo hayo yamefunguliwa na mjumbe wa bodi ya Wakurugenzi, AZIZ KILONGE, ambaye amewaasa Wataalam hao kuhakikisha kwamba wanasimamia Wanafunzi kwa Ukamilifu ili kuongeza ubora wa kazi za utafiti zinazofanywa. Amefafanua kuwa uzingatiaji wa Maadili katika kufanya tafiti, ndio msingi na matakwa ya Bodi, ili kuhakikisha kuwa wanafunzi...

Like
252
0
Monday, 16 February 2015