Slider

RAIS KIKWETE AMEWAAPISHA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI KENYA NA NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA
Local News

RAIS wa Jamhuri ya Muungano Dokta Jakaya Mrisho Kikwete, amewaapisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha. Katika hafla hiyo iliyofanyika leo Ikulu Jijini Dar es salaam, Rais Kikwete amemwapisha Bwana John Haule kuwa balozi mpya wa Tanzania Nchini Kenya na Dokta Hamisi Mwinyimvua ambaye ameapishwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha....

Like
368
0
Thursday, 12 February 2015
TIGER WOODS ATANGAZA KUPUMZIKA GOFU KWA MUDA
Slider

 Eldrick Tont “Tiger” Woods alizaliwa Dec 30 mwaka 1975 raia wa marekani mchezaji wa gofu, Tiger woods aliwahi kushikilia rekodi ya kuwa mwanamichezo mwenye mkwanja mrefu duniani kwa miaka kadhaa. Mwanamichezo huyu ametangaza kupumzika kidogo kwenye michezo hiyo ya gofu kwa muda usiojulikana. Maaamuzi haya ya Tiger Wood yanakuja kufuatia matokeo mabovu aliyoyapata kwenye michuano yake. Mchezaji huyo mahili duniani ameeleza kuwa kwa sasa anahitaji kupumzika na kuwa karibu na watu. Tiger wood amesema atarejea kwenye tasnia ya mchezo...

Like
355
0
Thursday, 12 February 2015
CHUO KIKUU MAKERERE KUCHUNGUZA KASHFA YA SHAHADA BANDIA
Global News

CHUO KIKUU cha Makerere nchini Uganda kimeanzisha uchunguzi kuhusu madai ya kashfa ya shahada bandia katika chuo hicho. Uchunguzi huo unataka kujua ni mazingira gani yaliyosababisha wanafunzi 600 kati ya wote waliofuzu zaidi ya elfu 11 kuwekwa katika orodha ya waliohitimu bila ya kufikisha viwango vya kuwafanya kufuzu. Chuo kikuu cha Makerere kinaorodheshwa kama taasisi ya elimu ya saba bora katika kanda za Afrika mashariki na kati na Afrika Magharibi....

Like
310
0
Thursday, 12 February 2015
DRC: MASHIRIKA YA KIRAIA YAMEIOMBA UN KUFIKIRIA UPYA MPANGO WA KUJIONDOA KWENYE MAPAMBANO DHIDI YA FDLR
Global News

MASHIRIKA mbali mbali ya kiraia nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yameomba majeshi ya Umoja wa Mataifa ya kulinda amani nchini humo MUNUSCO kufikiria upya mpango wake kujiondoa kupambana na kundi la waasi la FDLR. Hapo jana majeshi ya kulinda amani ya Umoja wa Mataifa yaliyopo Jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo yalitangaza kujiondoa katika operesheni hiyo kwa kushirikiana na majeshi ya serikali ya DRC hadi hapo serikali ya Kongo itakapotengua uteuzi wa majenerali wawili walioteuliwa kuongoza opereshini hiyo. Kwa mujibu...

Like
252
0
Thursday, 12 February 2015
WANANCHI WAMETAKIWA KUVITUNZA NA KUVILINDA VYANZO VYA MAJI
Local News

NAIBU Waziri wa Maji, Mheshimiwa AMOS MAKALLA amesema wananchi hawatafaidika na Miradi ya Maji inayotekelezwa na Serikali hivi sasa, kama hawatakuwa makini kuvitunza na kuvilinda vyanzo vya maji. Mheshimiwa MAKALLA amezungumza hayo katika ziara yake Wilaya ya Babati, mkoa wa Manyara wakati akikagua Utekelezaji wa Miradi na kuzindua miradi iliyokamilika katika mkoa huo. Amebainisha kuwa miradi hiyo inagharimu fedha nyingi na Serikali imedhamiria kuwapa wananchi Maji na siyo vinginevyo, lakini bila ushirikiano wao lengo...

Like
235
0
Thursday, 12 February 2015
WASIRA AAGIZA SUKARI IINGIZWE SOKONI
Local News

WAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mheshimiwa Stephen Wasira, amewaagiza wazalishaji na wafanyabiashara wa sukari nchini, kuingiza Sukari nchini badala ya kuiweka kwenye maghala ili kushusha bei ya bidhaa hiyo muhimu. Agizo hilo la Serikali limekuja ikiwa ni siku chache baada ya kupanda ghafla kwa bei ya sukari kutoka shilingi 1,700 bei ya awali hadi shilingi elfu 3 kwa kilo. Waziri Wasira ametoa kauli hiyo ya Serikali alipokutana na wadau wa Sukari na kutoa tamko la Serikali kuhusu kupanda kwa...

Like
420
0
Thursday, 12 February 2015
MENEJA WA EVERTON ALIA NA CHELSEA
Slider

Meneja wa klabu ya Everton Roberto Martinez amewashutumu wachezaji wa klabu ya Chelsea kwa kujaribu kumuongoza na kumzonga refa baada ya klabu yake kupokea kichapo cha 1-0 wakati Chelsea ilipokuwa kwenye uwanja wa nyumbani huko Stamford Bridge. “ni wazi kuwa timu iliyokwenye uwanja wa nyumbani inajaribu kumshawishi refa” alisema Martinez kuiambia BBC. Jitihada za kuzungumza na Mourinho ziligonga mwamba mara baada ya kukatisha interview alipoulizwa kuhusu nidhamu za wachezaji wake kufuatia mchezo huo kutawaliwa na utata Bao la Chelsea...

Like
332
0
Thursday, 12 February 2015
CHRIS SMALLING AIPELEKA MAN U NAFASI YA TATU
Slider

Beki wa Manchester United Chris Smalling amekiri timu yake haikufanya vizuri kwenye nusu ya kwanza ya mchezo wao dhidi ya Burnley ambapo mchezo huo ulimalizika huku Manchester united wakiwa ni washindi wa 3-0. Ushindi huo wa Manchester unawarudisha kwenye nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi ya Uingereza. Smalling aliibeba klabu yake kwa kushinda magoli mawili ambapo pia kwenye mchezo huo Manchester iliwapoteza Phil Jones na Daley Blind kutokana na majeraha Mkwaju kutoka kwa Kieran Trippier ulimuwezesha Danny Ings kuiandikia...

Like
261
0
Thursday, 12 February 2015
BABA MZAZI WA BOBI WINE AFARIKI DUNIA
Entertanment

Baba mzazi wa Bobi Wine amefariki dunia Taarifa za awali kutoka nchini Uganda zinaeleza kuwa baba mzazi wa msanii Bob Wine mzee Mzee J.W Ssentamu amefariki dunia leo baada ya kuugua kisukari kwa muda mrefu. Watu mbalimbali wameanza kutoa salamu za rambirambi kwa familia hiyo kufuatia kifo hicho kilichotokea kwenye hospitali ya Mulago huko Uganda. Mungu ailaze roho ya marehem mahali pema...

Like
816
0
Tuesday, 10 February 2015
OBAMA KUSUBIRI MAAUMUZI YA NGAZI ZA JUU MGOGORO WA UKRAINE
Global News

RAIS Barack Obama  wa Marekani amesema atasubiri matokeo ya mazungumzo ya ngazi ya juu kuhusu Ukraine kabla ya kuamua kama Marekani itume silaha kwa serikali ya Ukraine. Wakati akisema anapendelea  diplomasia, Obama  aliweka wazi suala la kuipa silaha serikali mjini Kiev. Rais huyo wa Marekani ameyasema hayo katika mazungumzo yake na Kansela wa Ujerumani Angela Merkel jana mjini Washington....

Like
273
0
Tuesday, 10 February 2015
MALAYSIA: KIONGOZI WA UPINZANI APIGWA MIAKA 5 JELA KWA KOSA LAKULAWITI
Global News

MAHAKAMA ya juu nchini Malaysia leo imethibitisha hukumu ya awali dhidi ya kiongozi wa upinzani Anwar Ibrahim kwa kosa la kufanya  mapenzi na mwanamme mwenzake, kesi inayoangaliwa nje na ndani ya nchi hiyo kuwa ni njama ya kisiasa kumaliza  mwanasiasa huyo ambaye ni kitisho kwa serikali. Jaji wa mahakama ya Shirikisho Arifin Zakat amesema  madai ya  msaidizi wa Anwar kuwa alimtongoza  na kuwa na uhusiano naye yana uzito na kwamba hukumu ya kifungo cha miaka mitano jela iliyopitishwa na mahakama...

Like
343
0
Tuesday, 10 February 2015