Slider

NAIBU WAZIRI WA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO AMESEMA SERIKALI HAINA NIA YA KUFUNGIA CHOMBO CHOCHOTE CHA HABARI
Local News

SERIKALI kupitia Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe.Juma Nkamia imesema haina nia ya kufungia chombo chochote cha habari, lakini pia imesisitiza kuwa hakuna Uhuru usio na mipaka.   Alikuwa akijibu swali la Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA, katika kipindi cha Maswali na majibu, aliyetaka kujua kwanini Serikali haioni haja ya kulifungulia gazeti la Mwanahalisi ili kutoa uhuru kwa wananchi kupata habari kwa wakati.   Mheshimiwa Nkamia amesema ili kujiepusha na...

Like
266
0
Thursday, 29 January 2015
IKULU YA MAREAKANI YATOA TAARIFA YA WASIWASI JUU YA KUONGEZEKA KWA MAPIGANO MASHARIKI YA UKRAINE
Global News

IKULU ya Marekani imearifu kwamba rais Barack Obama na Kansela wa Ujerumani Angela Merkel wamezungumzia wasiwasi wao juu ya hatua ya kuongezeka mapigano mashariki ya Ukraine. Mazungumzo ya viongozi hao kwa njia ya simu yamefanyika jana wakati rais Obama alipokuwa anarejea nyumbani baada ya kumaliza ziara yake nchini India na Saudi Arabia. Ikulu ya Marekani imesema Obama na Merkel wamekubaliana juu ya haja ya kuibebesha dhamana Urusi kwa kuwaunga mkono waasi wanaopigania kujitenga pamoja na kushindwa kutekeleza ahadi zake chini...

Like
320
0
Wednesday, 28 January 2015
WANAFUNZI VYUONI WATAKIWA KUJIHESHIMU NA KUJITHAMINI
Local News

WITO umetolewa kwa wananfunzi wa vyuo mbalimbali nchini kujenga tabia ya kujiheshimu na kujitathimini ikiwa ni pamoja na kufuata kile kilichowapeleka chuoni ili kuweza kulinda heshima na utu wa mwanamke Kauli hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam na aliyekuwa mhadhiri wa chuo kikuu cha Dar es salaam UDSM na mwanaharakati wa kutetea haki za kijinsia HILDA KIWASILI ambapo amesema kuwa wanafunzi wengi hasa wa vyuo vikuu wamekuwa na tabia ya kujiingiza katika makundi ya tamaa na kusahau kinachowapeleka vyuoni jambo...

Like
307
0
Wednesday, 28 January 2015
BUNGE LAAHIRISHWA BAADA BAADA YA JAMES MBATIA KUWASILISHA HOJA YA DHARURA
Local News

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda leo amelazimika kuahirisha kikao cha pili cha Mkutano wa bunge leo asubuhi, baada ya Mbunge wa kuteuliwa kupitia chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia kuwasilisha hoja ya kujadiliwa kwa dharula tukio lililotokea jana Wilayani Temeke Mkoa wa Dar es salaa, lililopelekea kupigwa na kukamatwa kwa Mwenyekiti wa chama cha Wananchi-CUF, Profesa Ibrahim Lipumba pamoja na wafuasi wake.   Katika hoja yake ya msingi, Mheshimiwa Mbatia amesema jambo hilo linaondoa amani,...

Like
278
0
Wednesday, 28 January 2015
PROF: LIPUMBA KUSIMAMA KIZIMBANI
Local News

POLISI Kanda Maalumu ya Dar es salaam, imelazimika kumpeleka Kituo cha afya cha UN, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi –CUF , Profesa Ibrahim Lipumba, baada ya kupatwa na mshituko wa Moyo akiwa katika mahojiano na polisi kuhusiana na maandamano yaliyokuwa yafanywe na chama hicho jana. Kwa mujibu wa Mwandishi wetu anayefuatilia tukio hilo, Hali ya Profesa Lipumba inaendelea vizuri na tayari amefikishwa katika Mahakama ya Kisutu ambako anatarajiwa kusomewa mashitaka yake. Hapo jana Profesa Lipumba pamoja na baadhi ya viongozi...

Like
262
0
Wednesday, 28 January 2015
BAFANABAFANA WAIPISHA GHANA ROBO FAINALI AFCON
Slider

Andre Ayew Amefanikiwa kuipeleka Ghana robo fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika  afcon baada ya kuwapa kichapo cha 2-1 afrika ya kusini na kuibuka washindi wa kundi c. Black Stars wa Ghana, wamewahi fikia  nusu fainali mara nne mfululizo katika michuano ya afcon, Walihfiwa kutolewa katika dakika ya 17 ambapo Mandla Masango kuipatia Afrika Kusini goli la kwanza. Matumaini ya ghana yalirejea Wakati mlinzi John Boye aliposawazisha katika dakika 73 na baadae dakika saba kabla kumalizika kwa mchezo ayew...

Like
323
0
Wednesday, 28 January 2015
WAASI SUDANI KUSINI WAWAACHIA HURU WATOTO
Global News

WAASI Nchini Sudani kusini wamewaachia huru kundi la kwanza la watoto waliokuwa wamechukuliwa kuwa wanajeshi, kundi hilo la watoto lililotegemewa kuachiwa wiki chache zijazo.   Shirika la kimataifa la kuhudumia watoto, UNICEF, limesema Watoto mia mbili na themanini, wengine wakiwa wadogo wa mpaka umri wa miaka 11 walikabidhiwa katika jimbo la jonglei kwa ajili ya kukutanishwa na Familia zao.   Kundi la walioachiwa ni sehemu ya Jeshi la waasi linaloongozwa na David Yau Yau ambaye alisaini mkataba wa amani na...

Like
356
0
Wednesday, 28 January 2015
RAIS WA BANK YA DUNIA ATOA TAHADHARI JUU YA MAPAMBANO YA EBOLA AFRIKA MAGHARIBI
Global News

RAIS wa Benki ya Dunia Jim Yong Kim ametaadharisha kuwa ni hatari kwa kuwa dunia haijajiandaa kupambana na ugonjwa wa Ebola Afrika Magharibi. Akiongea mjini Washington, Kim, amesema ni muhimu kwa Serikali, mashirika, Mashirika ya misaada na makampuni ya Bima kufanya kazi pamoja kujiandaa kukabiliana na maradhi hayo siku za usoni. Zaidi ya Watu 8,500 wamepoteza maisha hasa nchini sierra leone, Guinea na Liberia. Kim amesema Ebola imekuwa tishio ikizingatiwa idadi ya Watu waliopoteza maisha na kuathiri uchumi katika nchi...

Like
314
0
Wednesday, 28 January 2015
KAMATI NDOGO YA BARAZA LA MADIWANI MANISPAA YA MOSHI IPO MASHAKANI KUTEKELEZA MAJUKUMU YAKE
Local News

KAMATI ndogo iliyoundwa na Baraza la Madiwani wa Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro ipo shakani kutekeleza jukumu iliyopewa.   Kamati hiyo imeundwa kuchunguza uhalali wa umiliki wa kiwanda kilichoibua mgogoro kati ya madiwani na ofisi ya mkurugenzi wa Halmashauri hiyo.   Hatua hiyo inatokana na kuwepo kwa wajumbe ambao ni wakuu wa Idara za Halmashauri hiyo ambao wanaelezwa kuwa hawana uhalali wa kisheria wa kumchunguza mkurugenzi ambaye ni mkuu wao wa kazi....

Like
318
0
Wednesday, 28 January 2015
JESHI LA POLISI LIMEIOMBA SERIKALI KUWAONGEZEA VIFAA
Local News

JESHI la Polisi nchini limeiomba Serikali kuwaongezea vifaa ili kuongeza ufanisi katika kupambana na makundi yanayovuruga amani kwenye uchaguzi mkuu ujao wa Rais, Wabunge na Madiwani.   Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini ERNEST MANGU kwenye mkutano wa mwaka wa jeshi hilo uliofanyika mjini Dodoma, kwa kujumuisha maofisa wakuu wa Polisi ili kutathimini utendaji kazi kwa mwaka uliopita na kuangalia mahali walipokosea kwa ajili ya kurekebisha.   Amebainisha kuwa hivi sasa wahalifu wamekuwa wakitumia mbinu mpya...

Like
254
0
Wednesday, 28 January 2015
PENZI LA LUPITA NYONG’O NA K’NAAN LAVUNJIKA!!!
Entertanment

Kama wewe ni mpenzi wa tasnia ya filamu Afrika na dunia kwa ujumla basi ni wazi utakuwa unamfahamu Muigizaji kutokea Kenya anaefanya Vizuri duniani Lupita Nyong’o Kupitia Movie hizi 12 Years a Slave, Star Wars: Episode VII – The Force Awakens, In My Genes dunia ilipata kumfahamu zaidi na kumuweka kwenye orodha ya wasanii wa Afrika wanaofanya vizuri duiniani.   Basi hivi karibuni zilifanyika tuzo za SAG huko Amerika ambapo ndani yake yalitokea matukio ya kuwafanya wengine kutokwa na machozi...

Like
521
0
Wednesday, 28 January 2015