Slider

RAIS MPYA SRI LANKA KUAPISHWA LEO
Global News

RAIS MPYA wa Sri Lanka MAITHRIPALA SIRISENA anatarajiwa kuapishwa baadaye hii leo. Hatua hiyo inakuja baada ya Rais anayemaliza muda wake, MAHINDA RAJAPAKSA kukubali kushindwa katika uchaguzi mkuu uliofanyika January 08 mwaka...

Like
218
0
Friday, 09 January 2015
WATANZANIA WATAKIWA KUSHIRIKIANA KUWAWEZESHA WANANCHI WENYE KIPATO CHA CHINI
Local News

WATANZANIA wametakiwa kuwa na moyo wa kushirikiana ili wananchi wenye kipato cha chini waweze kupata mahitaji muhimu ya Binadamu ikiwa ni pamoja na Makazi salama. Wito huo umetolewa jijini Dar es salaam na Meneja Mtendaji Mkuu wa Chama Cha ushirika cha ujenzi wa Nyumba chenye makao makuu yake Mwenge jijini Dar es salaam THOMAS MOSHA alipozungumza na Waandishi wa Habari katika hafla ya kuwaapisha viongozi wapya wa Bodi ya chama hicho. Ameeleza kuwa kitendo cha kusaidia wananchi wa kipato cha...

Like
207
0
Friday, 09 January 2015
NOVAK DJOKOVIC ATUPWA NJE KWENYE MICHUANO YA WAZI YA QATAR
Slider

Bingwa namba moja katika mchezo wa Tennis, Novak Djokovic ametupwa nje katika michuano ya wazi ya Qatar baada ya kupokea kichapo ca seti 6-7 (2-7) 7-6 (8-6) kutoka kwa Ivo Karlovic. Djokovic ambaye alijitoa katika michuano iliyopita alionekana anashindwa kuendana sawa na kasi ya mkongwe huyo kutoka katika taifa la Croatia mwenye umri wa miaka 35. Kwa matokeo hayo sasa Ivo atacheza na raia wa Hispania, David Ferrer aliyefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali kwa kumtoa Dustin Brown kwa seti...

Like
249
0
Friday, 09 January 2015
YAYA TOURE ANYAKUA TUZO YA MWANASOKA BORA AFRIKA KWA MARA YA NNE MFULULIZO
Slider

Mchezaji wa timu ya taifa ya Ivory Coast na klabu ya Manchester City, Yaya Toure afanikiwa kutwaa tuzo ya mwanasoka bora wa bara la Afrika kwa mara ya nne mfululizo. Tuzo hiyo inayotolewa na shirikisho la soka barani Afrika (CAF), imeshuhudia Yaya Toure akiwapiku wachezaji wawili, Pierre Emerick Aubameyang (Gabon) na golikipa wa timu ya taifa ya Nigeria, Vicent Enyeama. Yaya alipata kura 175 dhidi ya mshambuliaji wa klabu ya Borrusia Dortmund, Aubemayang aliyejinyakulia kura 12o huku Enyeama akiangukia nafasi...

Like
265
0
Friday, 09 January 2015
MAMILIONI YA RAIA SRI LANKA WAPIGA KURA
Global News

Mamilioni ya Raia wa Sri Lanka wanapiga kura, uchaguzi ambao unampambanisha Rais wa nchi hiyo MAHINDA RAJAPAKSA na Mshirika wake wa zamani. Bwana RAJAPAKSA,ambaye alikuwa madarakani tangu mwaka 2005, aliitisha uchaguzi miaka miwili iliyopita huku wachambuzi wa mambo wakitabiri kuwa atashinda uchaguzi...

Like
379
0
Thursday, 08 January 2015
UFARANSA YATANGAZA SIKU YA MAOMBOLEZO YA KITAIFA KUFUATIA SHAMBULIO LILILOUA WATU 12
Global News

UFARANSA imetangaza leo kuwa ni siku ya maombolezo ya Kitaifa baada ya watu 12 waliouawa katika shambulio la ofisi za jarida la vikaragosi la CHARLIE HEBDO mjini Paris hapo jana. Akizungumza kupitia kituo cha Luninga, Rais FRANCOIS HOLLANDE amesema kuwa Umoja ndiyo silaha kubwa katika kukabiliana na mauaji...

Like
217
0
Thursday, 08 January 2015
SERIKALI IMETUMIA BILIONI 881 KWENYE MRADI WA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI
Local News

MENEJA utaalamu Elekezi kutoka Wakala wa Nishati Vijijini -REA GISSIMA NYAMOHANGA amesema serikali imetumia Shilingi Bilioni 881 katika mradi wa kusambaza umeme vijijini unaotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini –REA Awamu ya Pili. NYAMOHANGA ameeleza hayo kwenye sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa Umeme Vijijini unaofadhiliwa na REA uliofanyika katika Kata ya Shishiyu wilayani Maswa mkoani...

Like
233
0
Thursday, 08 January 2015
WANAFUNZI KUMI KUTOKA MAREKANI WAMEWASILI NCHINI KWA ZIARA YA MAFUNZO
Local News

WANAFUNZI 10 kutoka vyuo Vikuu vya Bufalo na Empire vya Marekani wamewasili nchini kwa ziara ya mafunzo kwa mwaliko wa Mbunge wa Jimbo la Temeke, Mheshimiwa ABBAS MTEMVU.  Akizungumza na Waandishi wa habari Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam mara baada ya kuwapokea Wanafunzi hao ambao wanaongozwa na Profesa DAN NYARONGA, Mbunge wa Temeke ABBAS MTEMVU amesema wageni hao watapata fursa ya kutembelea miradi mbalimbali iliyopo katika Jimbo lake pamoja na Kampuni yake ya Bravo...

Like
241
0
Thursday, 08 January 2015
RAIS KABILA AMEAHIDI KUUNGANA NA JESHI LA UN DHIDI YA FDLR
Global News

UMOJA WA MATAIFA umesema Rais JOSEPH KABILA ameahidi kuwa jeshi lake litaungana na la UN katika operesheni dhidi ya waasi wa FDLR. Kikosi cha Wanajeshi Elfu 20 wa Umoja huo watashirikiana na wale wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo katika kampeni zilizopangwa kuanza karibuni dhidi ya waasi wa Kihutu wa Rwanda.  ...

Like
239
0
Thursday, 08 January 2015
WATUHUMIWA WA MAUAJI YA WANAWAKE KATIKA NYUMBA YA KULALA WAGENI WAFIKISHWA MAHAKAMANI
Global News

WATUHUMIWA wawili wanaodaiwa kuwaua Wanawake katika nyumba za Kulala wageni wamepandishwa Kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. ABUBAKARY KASANGA anayeishi katika nyumba ya Kulala wageni na EZEKIEL KASENEGELA mkazi wa Tandika jijini Dar es salaam wamefikishwa Mahakamani. Washtakiwa hao wamefikishwa Mahakamani hapo wakikabiliwa na kesi mbili za mauaji huku moja ikiwahusisha wote ambazo zimesomwa mbele ya Mahakimu...

Like
306
0
Thursday, 08 January 2015
WATU KADHAA WAMENUSURIKA KIFO BAADA DALADALA KUPINDUKA
Local News

WATU kadhaa wamenusulika kifo kutokana na ajali ya daladala lenye lenye namba za usajili T 702 AJG inayofanya safari kutoka Temeke kwenda Kawe iliyotokea mapema Asubuhi hii karibu na eneo la mzunguko wa barabara ya zamani ya Bagamoyo jijini Dar es salaam. Akizungumza muda mfupi mara baada ya kutokea kwa ajali hiyo SAJENT ERNEST kutoka kikosi cha usalama Barabarani Kawe amesema kuwa ajali hiyo kwa kiasi kikubwa imesababishwa na uzembe wa dereva kwa kuwa hakuwa makini wakati akipishana na gari...

Like
567
0
Thursday, 08 January 2015