Slider

WAKAZI WA NAMTUMBO WAMO HATARINI
Local News

ASILIMIA kubwa ya wakazi wa Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma hawatumii vyoo vya kudumu hali ambayo inahatarisha usalama wa afya zao. Uchunguzi uliofanywa na EFM katika baadhi ya vijijivya Wilaya hiyo umebaini kuwa wananchi wengi wanatumia vyoo vya muda ambavyo siyo salama hasa kipindi cha Mvua kwani vimejengwa kwa nyasi bila kuezekwa. Vijiji ambavyo wananchi wake wanatumia vyoo vya muda ni pamoja na Luegu, Nahoro, Ukiwayuyu, Ngwinde na Namanguli...

Like
401
0
Friday, 21 November 2014
BABA BORA KUHAMASISHA WANAUME KUTIMIZA WAJIBU WAO
Local News

WANAUME wametajwa kuwa   na ushiriki mdogo katika suala zima la malezi ya Watoto hali inayosababisha washindwe kupata malezi yao. Hayo yameelezwa na Mratibu wa SAVE THE CHILDREN Zanzibar RAMADHAN RASHID wakati wa Uzinduzi wa   Kampeni ya BABA BORA ambayo inahamasisha Wanaume kushiriki Malezi ya Watoto na sio jukumu hilo kuachiwa Wanawake Pekee. Kampeni hiyo imezinduliwa na Shirika la Save The Children kwa kushirikiana na Umoja wa Nchi za...

Like
347
0
Friday, 21 November 2014
KONGAMANO LA KIMATAIFA KUFANYIKA LEO
Local News

  KONGAMANO la Kimataifa la Masuala ya Uongozi linafanyika leo jijini Dar es salaam kwa lengo la kujifunza Misingi ya Uongozi bora, Barani Afrika. Akizungumza na waandishi wa habari Mwenyekiti wa Kongamano hilo MBUTHO CHIBWAYE amesema kuwa kongamano hilo litasaidia kuleta mabadiliko na maendeleo chanya katika nchi za Afrika. Mbutho amebainisha kuwa Kongamano litachangia kutatua migogoro inayo sababisha machafuko ya kisiasa na kijamii. Aidha ametoa wito kwa Watanzania wote nchini kujitokeza na kushiriki Kongamano...

Like
277
0
Friday, 21 November 2014
ITAZAME HAPA VIDEO YA DIAMOND NITAMPATA WAPI
Entertanment

Mapema hii leo Diamond alikuwa kwenye kipindi cha Genge kutambulisha wimbo huu...

Like
756
0
Thursday, 20 November 2014
EBOLA YACHUKUA 5420 DUNIANI KOTE
Global News

SHIRIKA la Afya Duniani –WHO, limesema watu wapatao 5,420 wameshapoteza maisha hadi sasa kutokana na ugonjwa wa Ebola kati ya wagonjwa 15,145 walioambukizwa tangu Disemba mwaka jana. Ijumaa iliyopita, shirika hilo lilikuwa limeripoti kwamba waliokufa walikuwa 5,177 na walioambukizwa walikuwa 14,413. WHO inaamini kuwa idadi halisi ya vifo inaweza kuwa zaidi ya hapo, kwa kuzingatia kwamba asilimia 70 ya wanaoambukizwa hupoteza...

Like
295
0
Thursday, 20 November 2014
BILIONI 10 KUKUSANYWA KUSAIDIA NCHI MASIKINI
Global News

WAFADHILI wa Kimataifa wameanza mkutano wao leo mjini Berlin, Ujerumani, unaolenga kukusanya dola bilioni 10 kwa ajili ya Mfuko wa Mabadiliko ya Tabia Nchi, ambapo Mataifa 22 duniani yanatazamiwa kuhudhuria mkutano huo. Lengo la mfuko ulioanzishwa na Umoja wa Mataifa ni kuzisadia nchi masikini ili kupunguza utoaji wa hewa chafu na kujitayarisha na athari za kupanda kwa joto ulimwenguni. Mkuu wa Kitengo cha Mabadiliko ya Tabia Nchi cha Umoja wa Mataifa, Christiana Figueres, ametoa wito kwamba angalau mtaji wa dola...

Like
291
0
Thursday, 20 November 2014
CRC YAADHIMISHA MIAKA 25 LEO
Local News

MFUKO wa Watoto wa Umoja wa mataifa UNICEF imeadhimisha miaka 25 tangu kuanzishwa kwa mkataba wa haki za mtoto CRC na taasisi mbalimbali nchini kwa kutambua haki za Watoto wa Tanzania. Hafla hiyo iliyobeba kauli mbiu ya “Watoto milioni 23: Tuongee kuhusu haki zao” imehusisha majadiliano ya namna ya kulinda na kuboresha sheria na haki za watoto na umuhimu wake. Akizungumza katika hafla hiyo Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na watoto PINDI HAZARA CHANA, amesema mtoto anatakiwa kutunzwa,...

Like
260
0
Thursday, 20 November 2014
SERIKALI YASHUGHULIKIA TATIZO LA UPUNGUFU WA DAWA NCHINI
Local News

SERIKALI imeagiza wizara ya Afya na Ustawi wa jamii kushirikiana ipasavyo na wizara ya fedha katika utendaji wao wa kazi ikiwemo uingizwaji na uagizwaji wa dawa ili kuhakikisha kuwa zinapunguza kwa kiasi kikubwa tatizo la upungufu wa dawa katika hospitali zote nchini. Agizo hilo limetolewa leo Bungeni mjini Dodoma na Waziri mkuu mheshimiwa MIZENGO PINDA wakati akijibu swali la mheshimiwa ANTON MBASA aliyetaka kujua mikakati ya serikali katika kuhakikisha tatizo la upungufu wa dawa katika hospitali zote nchini linatatuliwa....

Like
317
0
Thursday, 20 November 2014
MAJIBU YA DIAMOND KWENYE KIPINDI CHA GENGE KUPITIA 93.7EFM LEO
Entertanment

Tofauti kati ya waandaji wa video za bongo na wa nje ni ? upatikanaji wa vitu vya kuijenga Script pindi vinapohitajika mfano unapohitaji nyumba kama hekaru, uwezo wa kuifikisha nyimbo kwenye vituo vya tv vya nje mf. Trace, Mtv, Channel o n.k lakini pia Diamond alidai kuwa waandaji wa ndani wanamikwala Mingi katika kuruhusu mawazo ya msanii wakati wa uandaaji wa Video alipouulizwa kuhusu mafanikio ya wasanii wa Nigeria yanakuja kufuatia kuwa wengi kwenye ramani ya muziki wa Afrika Diamond...

Like
684
0
Thursday, 20 November 2014
30% YA WATU DUNIANI VIBONGE NA WANAVITAMBI
Local News

gharama za unene wa kupitiliza duniani ni  sawa na utumiaji wa bidhaa za tumbaku ukiwemo uvutaji wa sigara au sawa na gharama za vita na kubwa kuliko unywaji wa pombe au mabadiliko ya tabia nchi. Watafiti wanasema Watu wapatao bilioni 2.1 – kiasi cha asilimia 30% ya idadi ya watu duniani- wana uzito wa kupita kiasi au wana vitambi. Wamesema hatua ambazo zinatakiwa kutumiwa ili kutatua tatizo hili ni mtu binafsi kuwajibika kwa ajili ya afya yake. Ripoti hiyo inasema...

Like
481
0
Thursday, 20 November 2014
OBAMA KUHUTUBIA TAIFA LEO
Global News

Ikulu ya Marekani imesema Rais BARRACK OBAMA atatumia muda ambao watazamaji wa Televisheni nchini humo wanaangalia zaidi matangazo siku ya Alhamisi kutangaza mabadiliko makubwa ya mfumo wa uhamiaji wa nchi hiyo. Inatarajiwa kuwa Rais OBAMA atasema kuwa atatumia madaraka yake aliyopewa Kikatiba kuzuia wahamiaji wapatao Milioni Tano kurejeshwa makwao na badala yake wapatiwe vibali vya kufanya kazi nchini humo. Rais OBAMA amesema hayo katika video iliyotumwa katika ukurasa wa Facebook kabla ya hotuba yake. Tangu kuingia Madarakani OBAMA amekuwa...

Like
349
0
Thursday, 20 November 2014