Slider

MADEREVA WA UDA WAWEKA MGOMO
Local News

Madereva wa UDA wamegoma kuingia barabarani kutokana na uongozi wa UDA kuweka kima cha juu cha kupeleka mapato kwa viongozi. Kampuni UDA wao wanaitaji laki 205000/= na madereva wao wanaitaji kupunguziwa walete sh 170000 kutokana na kuongezeka kwa magari ya UDA hivyo biashara imekuwa ngumu tofauti na awali. Uongozi wa uda ulituma meseji hii,m  kwa wafanyakazi wa uda wote.               Habari kwa madereva wote wa uda,kutokana na kikao cha uongozi wa UDA na uongozi wa madereva wa UDA,maamuzi yafuatayo yametolewa. Hesabu...

Like
436
0
Friday, 14 November 2014
BBA HOTSHOTS:IDRIS AINGIA KIKAANGONI WIKI HII FUATA MAELEKEZO UWEZE KUMPIGIA KURA
Entertanment

Kumpigia kura idris 1.Dowload apprication inayoitwa WeChart 2.Add BigBrotherAfrica 3.Andika number yako ya simu utatumiwa code ingiza number na utaunganishwa moja kwa moja 4.Fuata hatua kwa makini na unaweza piga kura hadi mara 100   Kwa wale wa simu za kawaida 1.Andika neno VOTE likifatiwa na jina la IDRIS 2.Unatuma kwenda namba 15426 kwa sh 600 tu.   Kwa website ingia www.bigbrotherafrica.dstv.com kwa kujisajili na account yako ya facebook au email kisha piga kura mara nyingi...

Like
319
0
Friday, 14 November 2014
BOTI YA DORIA YASHAMBULIWA MISRI
Global News

JESHI la Misri limesema wanamaji wake 8 hawajulikani walipo baada ya kile ilichokiita shambulizi la Kigaidi dhidi ya boti yake iliyokuwa ikifanya doria kwenye bandari za nchi hiyo katika bahari ya Mediterania. Msemaji wa jeshi hilo Brigedia Jenerali MOHAMMED SAMIR amesema kupitia ukurasa wake wa Facebook kwamba boti iliyofanya shambulizi hilo imeharibiwa na kwamba wavamizi 32 wamekamatwa. Mapema leo, Shirika la Habari la Misri, MENA limesema washambuliaji waliokuwa ndani ya boti 3 wameishambulia kwa bunduki boti ya doria ya Jeshi...

Like
294
0
Thursday, 13 November 2014
MSF KUJARIBU DAWA ZA EBOLA
Global News

SHIRIKA la Madaktari wasio na Mipaka-MSF limesema kuwa wanatarajia kufanya majaribio juu ya aina tatu za dawa zinazoweza kutibu maradhi ya Ebola Mwezi Desemba katika vituo vya shirika hilo nchini Guinea na Liberia. Majaribio mengine tofauti na hayo kuhusu aina mbili ya dawa, moja kutoka kampuni ya Chimerix ya Marekani na nyingine iliyotengenezwa na kampuni ya Fujifilm ya Japan yanalenga kutathmini namna Maji ya Damu ya wagonjwa waliopona Ebola yanavyoweza kusaidia kuwatibu watu walio na maradhi hayo. Tangazo la MSF...

Like
302
0
Thursday, 13 November 2014
UPINZANI KUTAMBULISHA USIMAMIZI WA KODI GES NA MAFUTA
Local News

KAMBI rasmi ya upinzani Bungeni imeitaka Serikali kuhakikisha kuwa inaandaa na kutambulisha Mfumo Rasmi na Imara wa Usimamizi wa Kodi katika sekta ya Gesi na Mafuta ili kuleta tija na maslahi kwa wananchi na Taifa kwa ujumla. Hayo yamesemwa leo Bungeni mjini Dodoma na Msemaji wa Kambi hiyo Mheshimiwa JAMES MBATIA wakati akitoa mapendekezo ya kambi hiyo mara baada ya Waziri wa Fedha Mheshimiwa SAADA MKUYA kusoma kwa mara ya pili Muswada wa Usimamizi wa Kodi wa mwaka 2014. Baadhi...

Like
266
0
Thursday, 13 November 2014
PAP HAINA UHUSIANO NA KIKWETE
Local News

IMEELEZWA kuwa Kampuni ya PanAfrica Power Resources -PAP haina Mahusiano ya Umiliki na Familia ya Rais JAKAYA KIKWETE kama ilivyoainishwa kwa kuweka katika mitandao mbalimbali ya Kijamii. Taarifa hiyo imetolewa na Katibu na Mshauri Mkuu wa Sheria wa Kampuni ya IPTL inayomilikiwa na PAP, JOSEPH MAKANDEGE alipozungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na tuhuma hizo. Hivi karibuni mtoto wa Rais JAKAYA KIKWETE, aitwaye MIRAJI KIKWETE alieleza kusikitishwa kwake na tuhuma hizo zinazotolewa dhidi yake kuhusishwa na umiliki wa kampuni ya...

Like
312
0
Thursday, 13 November 2014
BINTI AATHIRIWA NA NEYO
Entertanment

Mwanamke mmoja amefanyiwa upasuaji na kutolewa sehem ya ubongo wake ili kuepuka kifafa kilichosababishwa na kusikiliza muziki wa Neyo Zoe Fennessy mwenye umri wa miaka 26 ameelezea jinsi hali hiyo ilivyokuwa ikimtesa kupelekea kutapika mara kwa mara kila anaposikia muziki wa msanii huyo Nyimbo alizoshirikishwa kama aliyofanya na Pitbull’s “Give Me Everything,” Calvin Harris’ “Let’s Go,”, and Calvin Maynard’s “Turn Around zinahusika   kumfanya awe kwenye hali hiyo kwa mujibu wa Daily...

Like
281
0
Thursday, 13 November 2014
UJERUMANI YAPANGA PUNGUZO LA KODI KUKUZA UCHUMI ULAYA
Global News

UJERUMANI  imepanga punguzo  la  Kodi  la Euro  Bilioni  1 kuimarisha  matumizi  mazuri  ya  Nishati  katika  majumba  na kuongeza biashara  ya  magari  yanayotumia  nishati  ya  umeme, katika  mpango wa  kusaidia  uchumi  huo  mkubwa  katika  bara  la Ulaya  kufikia  malengo  yake  ya  utoaji  wa  gesi  zinazochafua mazingira. Waraka  wa  Sera  ya  Nishati umeonesha  kwamba  licha  ya kuelekea  katika  Nishati  Mbadala , utoaji  wa  gesi  zinazoharibu mazingira  nchini  Ujerumani  umepanda ...

Like
285
0
Thursday, 13 November 2014
WAUGUZI WA EBOLA SIERRA LEONE WAWEKA MGOMO
Global News

ZAIDI ya Wahudumu 400 wa Afya wanaowatibu Wagonjwa wa maradhi ya ugonjwa wa Ebola katika Kliniki moja nchini Sierra Leone wamegoma. Wahudumu hao wakiwemo wauguzi na wafanyakazi wengine wanagoma kushinikiza kuwalipa Dola Miamoja kila wiki kwa kuhatarisha maisha yao kutokana na kuwashughulikia wagonjwa wa hao. Kliniki hiyo iliyo mjini Bandajuma karibu na eneo la Bo, ni kliniki pekee ambayo wagonjwa wa Ebola wanatibiwa Kusini mwa Sierra Leone. Kwingineko nchini Mali, muuguzi mmoja pamoja na mgonjwa aliyetibiwa na muuguzi huyo wamefariki...

Like
287
0
Thursday, 13 November 2014
GOOD NEWS FOR ALL MINISTRY KUMUOMBEA RAIS KIKWETE
Local News

HUDUMA ya Good News For all Ministry ya Jijini Dar es salaam imetoa wito kwa wananchi wote nchini kuhudhuria  maombezi ya kumuombea Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania JAKAYA MRISHO KIKWETE yatakayofanyika kesho ili afya yake iweze kuimarika na kurejea nchini. Akizungumza na Waandishi wa habari Mwenyekiti wa Habari Njema kwa Wote Askofu CHARLES GADI ameeleza kuwa Maombezi hayo yatafanyika Mpinga Bagamoyo na yanatarajiwa kuhudhuriwa na Viongozi  wa Dini zote sanjari na Viongozi wa Kitaifa na Serikali. Mbali na...

Like
299
0
Thursday, 13 November 2014
AKWAYA KUPUNGUZA UTAPIAMLO LUDEWA
Local News

SHIRIKA lisilo la Kiserikali la AKWAYA limeanza kutekeleza mpango wa kupunguza tatizo la Utapiamlo ambalo limekithiri Wilayani Ludewa mkoani Njombe kwa kutoa Elimu kwa Wazazi kuweza kuwa matumizi bora ya Chakula kwa watoto. Akizungumza na Wananchi katika Tamasha lililoandaliwa na Shirika hilo Ludewa vijijini ,Mkurugenzi wa Shirika hilo SAMWEL MPUTA amesema Wilaya ya Ludewa imejaliwa kuwa na mazao ya Chakula aina zote lakini inashangaza kuona hali ya utapamlo iko juu. MPUTA amebainisha kuwa Mpaka sasa Takwimu zinaonyesha kuwa zaidi ya...

Like
362
0
Thursday, 13 November 2014