Slider

KUMBE CHANZO CHA TALAKA KATI YA NAMELESS NA WAHU NI DNA!!!
Entertanment

David Mathenge a.k.a Nameless Ameonyesha kukerwa na blogs zilizochapisha habari kwamba yeye na mama watoto wake Wahu wakiwa familia yenye watoto 2 wanampango wa kutalakiana Bloger George Moseti alichapisha habari hiyo jumapili iliyodai kuwa vipimo vya DNa vilifanywa na kutoa majibu kuwa Nameless sio baba wa mototo huyo Kufuatia taarifa hiyo Nameless na mkewe Wahu walitumia mitandao ya kijamii kufikisha barua zao alianza nameless kupitia mtandao wa facebook na kukana taarifa ya taraka...

Like
716
0
Wednesday, 12 November 2014
KUMBE DESIRE LUZINDA NA CINDY NI KITU KIMOJA
Entertanment

Kupitia interview aliyofanya na bbc hivi karibuni Desire luzinda amedai kuwa anahofu saana kufuatia kuvuja kwa picha hizo kitendo kinachofanya ajifiche lakini pia yupo tayari kulikabili tatizo hilo. Ameongeza kuwa hata mama yake mzazi ameumizwa saana na tukio hilo “When my mother called me she was like honestly were you drunk, were you drugged, this is not you, I didn’t even have an answer, I felt her pain, I cried when she was talking to me,” Desire said. Lakini pia kumbe...

Like
452
0
Wednesday, 12 November 2014
MKAMBA KISALAWE KUPATIWA MAJI SAFI NA SALAMA
Local News

Kilio cha mda mrefu kwa wakazi wa mtaa wa mkamba kisarawe 2 Wilaya ya Temeke hatimaye sasa hivi kimesikika kwa kupata msaada wa mradi wa maji safi ya bomba, Ila hapo awali walikuwa wanakunywa maji ya madibwi kwa mda mrefu na maji hayo yalikuwa yanapatikana umbali zaidi ya kilomita moja kutoka maeneo wanayoishi. Mwenyekiti wa mkamba HUSEN SALEH anaelezea zaidi Wakina mama wa mtaa huo wa mkamba RAMLA KASIMU na MWAJUMA HUSSEN wanaelezea.....

Like
333
0
Wednesday, 12 November 2014
SYRIA YATAFAKARI KUSITISHA MAPIGANO ALEPPO
Global News

RAIS wa  Syria Bashar al-Assad  amesema anatafakari  mpango  wa Umoja  wa  Mataifa kusitisha  mapigano  katika  mji  wa  kaskazini wa  Aleppo. Mjumbe  wa  Umoja  wa  Mataifa  nchini  Syria  Staffan de Mistura , amependekeza  wazo  hilo mwezi  wa  Oktoba  wakati  wa  ziara yake  katika  eneo  la  vita. de Mistura  ameshauri kufanya  majadiliano na  kupata usitishaji  wa mapigano ndani ya eneo hilo ili kuruhusu upelekaji wa misaada na kuweka mpango kwa ajili  ya  mazungumzo  ya  amani....

Like
309
0
Tuesday, 11 November 2014
SATA AWEKWA KWENYE MAKAZI YA MILELE
Global News

RAIS wa Zambia MICHAEL SATA amezikwa leo mjini Lusaka baada ya mwili wake kuwekwa kwa muda wa Wiki Moja na wananchi kutoa heshima zao za mwisho. Viongozi wa Kidini kutoka Makundi mbalimbali ya Waumini wamefanya Sala katika jengo la Bunge, katika tukio lililohudhuriwa na Wanadiplomasia, Wanasiasa , ikiwa ni pamoja na Rais wa kwanza wa nchi hiyo KENNETH KAUNDA na mtangulizi wa SATA RUPIAH BANDA. Wananchi wametoa heshima zao za mwisho hadi siku ya Jumapili kwa kupita mbele ya Jeneza...

Like
545
0
Tuesday, 11 November 2014
WATAALAMU NISHATI NA MADINI WATAKIWA KUWA WABUNIFU
Local News

WATAALAMU kutoka Sekta za Nishati na Madini nchini wametakiwa kuwa wabunifu katika maandalizi na Usimamizi wa Miradi ili sekta hizo ziwe na mchango katika ukuaji wa uchumi wa nchi. Wito huo umetolewa na Kamishna Msaidizi wa Umeme Mhandisi INNOCENT LUOGA kwa niaba ya Kamishna wa Nishati na Maendeleo ya Petroli Mhandisi HOSEA MBISE alipokuwa akifungua mafunzo ya uandaaji wa mapendekezo ya Miradi, Sera na Mbinu za usimamizi wa Miradi. Mafunzo hayo yamewashirikisha Wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Shirika...

Like
328
0
Tuesday, 11 November 2014
TCRA YAKUTANA NA WAMILIKI WA BLOG DAR
Local News

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania-TCRA wamekutana na Wamiliki wa Blog nchini, jijini Dar es salaam kwenye mkutano wenye lengo la kujadili namna ya kuwashirikisha Wamiliki wa Blog kutoa Maoni Juu ya Kanuni zinazotengenezwa kwa ajili ya kusambaza Taarifa muhimu za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi wa Madiwani, Wabunge na Urais. Akizungumza na Waandishi wa Habari Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Profesa JOHN NKOMA amesema Maendeleo ya Teknolojia yameleta Muingiliano wa Mawasiliano na Kukuza matumizi ya Internet na ndio sababu Wamiliki...

Like
407
0
Tuesday, 11 November 2014
MKUTANO WA APEC KILELE CHAKE LEO
Global News

VIONGOZI wa nchi za Asia na Pacific wanaendelea na Mkutano wao leo kwa siku ya pili ya mkutano wa kilele wa jumuiya ya ushirikiano wa kiuchumi wa nchi za Asia na Pacific APEC ambao unafikia kilele chake leo. Viongozi hao wanatarajiwa kuangazia suala la kutanua biashara huru miongoni mwao na kutafuta njia za makubaliano. China inazitaka nchi 21 wanachama wa jumuiya hiyo ya APEC kuidhinisha kujitolea kuunga mkono mpango wa biashara huru wa maeneo ya Asia na pacific ujulikanao FTAAP...

Like
299
0
Tuesday, 11 November 2014
IDADI YA WANAWAKE WANAOFARIKI WAKATI WA KUJIFUNGUA YAZIDI AFRIKA MAGHARIBI
Global News

IDADI ya wanawake wanaofariki wakati wa kujifungua katika nchi za magharibi mwa Afrika zilizoathirika na ugonjwa wa Ebola inazidi kupanda huku mwanamke mmoja kati ya saba katika nchi hizo akiwa katika hatari ya kufa kutokana na kutopokea usaidizi wakati wa kujifungua, watu wakihofia kuambukizwa Ebola kwa kushika damu na maji maji ya miili ya wajawazito. Mashirika ya kutoa misaada 13 kutoka Uingereza yakiwemo Save the children,Action Aid na hata shirika la umoja wa Mataifa kuhusu idadi ya watu yanakisia kuwa...

Like
344
0
Tuesday, 11 November 2014
WANANCHI WENYE UWEZO WAHIMIZWA KUWEKEZA KWENYE VINU VYA MAZAO YA KILIMO
Local News

WANANCHI wenye uwezo wamehimizwa kuwekeza kwenye vinu vya mazao ya kilimo ili kuweza kuwasaidia wakulima kuwapa uhakika wa masoko yao.   Ushauri huo umetolewa na Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji DOKTA MERRY NAGU katika ziara yake ya kutembelea viwanda mbalimbali nchini, na kusema uwekezaji huo utawasaidia wakulima walime zaidi kwakuwa viwanda vinauwezo wakutunza vyakula kwa utaalam na usalama wa kutosha.   DOKTA NAGU amesema uzalishaji wa nafaka umeongezeka kutokana na serikali kutoa zana za kilimo...

Like
457
0
Tuesday, 11 November 2014
KUTOKUJUA SHERIA KWA WAZEE WA MABARAZA YA KATA KUNACHANGIA MIGOGORO KATIKA JAMII
Local News

KUTOKUJUA masuala ya Sheria kwa Wazee wa Mabaraza ya Kata kunachangia migogoro katika jamii na kusababisha kuwa na mlundikano wa Kesi Mahakamani jambo ambalo linapaswa kumalizwa katika Mabaraza hayo.   Hayo yamebainishwa na Ofisa Utumishi wa Halmashauri ya Rungwe CHRISTOPHER NYAMBAZA alipokuwa akifunga mafunzo ya Wiki Moja ya Wasaidizi wa Kisheria kwa Niaba ya Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo yaliyotolewa na Shirika la la House of Peace.   NYAMBAZA amebainisha kuwa Halmashauri itaangalia uwezekano wa kuwaingiza kwenye Mabaraza ya Kata...

Like
395
0
Tuesday, 11 November 2014