Slider

VYETI VYA KUZALIWA KUTUMIKA KUTOA VITAMBULISHO VYA TAIFA
Local News

WATANZANIA wametakiwa kuwa na vyeti vya kuzaliwa ili waweze kuwa na sifa za kupewa vitambulisho vya Taifa. Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Usajili, Ufilisi,na udhamini nchini-RITA PHILIP SALIBOKO ameeleza hayo alipokuwa akiongea na Waandishi wa Habari mjini Moshi Kilimanjaro. Amebainisha kuwa ni vyema Watanzania wakawa na vyeti vya kuzaliwa kwani ni muhimu na vina mifumo inayotakiwa. Aidha amewataka wananchi wa mkoa huo kushiriki katika mpango ulioanzishwa na RITA wa kugawa vyeti vya kuzaliwa...

Like
303
0
Monday, 10 November 2014
WADAU WA MAENDELEO WAMEOMBWA KUISAIDIA TAASISI YA TEEN GIRLS SUPPORTIVE
Local News

WADAU mbalimbali wa Maendeleo wameombwa kushiriki ipasavyo katika kuisaidia Taasisi isiyo ya kiserikali ya TEEN GIRLS SUPPORTIVE ili kufanikisha lengo la kuwapatia Wasichana maarifa katika masuala ya Afya na Uchumi. Wito huo umetolewa jijini Dar es salaam na MARIAM JOSHUA ambaye ni mmoja wa Wanataasisi hiyo wakati wakifanya kampeni katika shule ya Sekondari ya King’ong’o juu ya Afya ya Uzazi na Maamuzi ya Kuchagua Kazi ya Kusomea. MARIAM amebainisha kuwa kampeni hiyo ni endelevu na wanatarajia kuyafikia maeneo yote ya...

Like
298
0
Monday, 10 November 2014
ZARI THE BOSSLADY: SINA MAHUSIANO NA DIAMOND NI KAZI TU
Entertanment

Baada ya stori kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kufuatia picha zinazowaonyesha wasanii wawili wakiwa pamoja katika mapozi tofauti mithili ya watu waliokwenye mahusiano yani diamond na Zari the bosslady wa Uganda  hatimae majibu yamepatikana. mwishoni mwa wiki iliyopita kwa watumiaji wa mtandao wa instagram haikuwa tena kitu kipya kwao kuona picha na tetesi za diamond na Zari mwanamuziki kutoka Uganda mwenye mafanikio kibiashara zikipostiwa kila mara kupitia mahojiano kati ya zari na mtandao wa big Eye ug zari ameeleza kuwa...

Like
768
0
Monday, 10 November 2014
PAZIA LA ATP WORLD TOUR LIMEFUNGULIWA RASMI LONDON
Slider

TENNIS Pazia la michuano ya ATP World Tour limefunguliwa rasmi hapo jana usiku katika viwanja vya O2 huko jijini London nchini England. Andy Murray anayetokea katika visiwa hivyo vya Uingereza amejikutan akipokea kichapo kikali cha seti 6-4 6-4 kutoka kwa MJapan Kei Nishikori ambaye ni mara yake ya kwanza kushiriki katika michuano hiyo ya kufunga mashindano ya mwaka. Kichapo hicho kinamuweka Murray katika wakati mgumu sana ndani ya kundi B linalojumuisha mchezaji bingwa namba mbili duniani, Roger Federer anayeshikilia rekodi...

Like
426
0
Monday, 10 November 2014
DONDOO ZA FORMULA 1 – LANGALANGA
Slider

FORMULA 1 – LANGALANGA Dereva wa timu ya Mercedes Nico Rosberg apunguza tofauti ya alama katika msimamo wa mashindano ya langalanga (Formula 1) baada ya kuibuka kidedea kwenye mashinadno ya huko nchini Brazil (Brazilian Grand Prix). Raia huyo wa nchini Ujerumani mwenye upinzani mkubwa na dereva mwenzake Lewis Hamilton ilimchukua saa moja dakika thelathini na sekunde mbili ikiwa ni ushindi wake wa tano msimu huu. Hamilton anaongoza msimamo wa mashindano hayo akiwa na jumla ya alama 334 dhidi ya Rosber...

Like
324
0
Monday, 10 November 2014
ORODHA YA WASHINDI WA TUZO ZA MTV EMA 2014
Entertanment

  Best U.S. Act: Fifth Harmony Best Song: “Problem” – Ariana Grande (feat. Iggy Azalea) Best Pop: One Direction Best Female: Ariana Grande Best Male: Justin Bieber   Best Live: One Direction Best New: 5 Seconds of Summer Best Video: “Dark Horse” – Katy Perry (feat. Juicy J.)   Best Rock: Linkin Park Best Alternative: Thirty Seconds to Mars Best Hip-Hop: Nicki Minaj Best Electronic: Afrojack Biggest Fans: One Direction Best Look: Katy Perry Best Push: 5 Seconds of Summer Best Video With...

Like
313
0
Monday, 10 November 2014
WANAJESHI WAZIDI KUTEKETEA AFGHANSTAN
Global News

KATIBU MKUU wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO, Jens Stoltenberg, amesema idadi ya wanajeshi wa Afghanistan wanaokufa imeongezeka zaidi kwa sababu ya kuchukuwa kwao dhima ya juu katika vita dhidi ya wanamgambo wa Taliban. Takwimu zilizotolewa wiki hii zinaonesha kuwa hadi kufikia sasa, wanajeshi wa Kiafghani waliouawa mwaka huu pekee ni 4,634. Stoltenberg ambaye yuko kwenye ziara yake ya kwanza nchini Afghanistan tangu achukue wadhifa huo mwanzoni mwa mwezi Oktoba, alikutana na Rais Ashraf Ghani hapo jana na leo anaelekea...

Like
359
0
Friday, 07 November 2014
BURKINA FASO: JESHI LAIPUUZA AU
Global News

KIONGOZI wa mpito wa Burkina Faso ametupilia mbali muda wa wiki mbili wa kukabidhi madaraka uliotolewa na Umoja wa Afrika wa kukabidhi madaraka kwa Raia. Luteni Kanali Isaac Zida amesema haogopi vikwazo , na kuwa wanajali zaidi kuhusu uimara wa nchi yao.Zida alifanya mazungumzo na upinzani na asasi za kiraia na kukubaliana kuitisha uchaguzi mwakani. Jeshi lilishika madaraka baada ya kifo cha Rais Blaise Compaore ambaye alishinikizwa kujiuzulu baada ya kutokea maandamano wiki iliyopita.  ...

Like
377
0
Friday, 07 November 2014
MECK SADIQ AZINDUA JARIDA LA SAUTI YA SITI
Local News

MKUU wa Mkoa wa Dar es saalam SAID MECK SADIQ leo amezindua rasmi Jarida la Kitabu cha Sauti ya Siti lenye maandishi ya Nukta Nundu lililoandaliwa na Chama cha wanahabari wanawake-TAMWA kwa kushirikiana na Sauti ya wanawake wenye ulemavu-SWAUTA kwa lengo la kuifikia jamii ya watu wasioona. Akizungumza na wadau mbalimbali Jijini Dar es Salaam, Mkuu huyo wa Mkoa wa Dar es Salaam, ameeleza kuwa jarida hilo litawasaidia wanawake wasioona kuweza kusoma yaliyoandikwa na kutambua haki zao muhimu pamoja na...

Like
342
0
Friday, 07 November 2014
JESHI LA POLISI TEMEKE KUFANYA MKUTANO NA WAMILIKI WA NYUMBA ZA KULALA WGENI
Local News

JESHI la polisi mkoa wa Kipolisi Temeke limesema kuwa wanatarajia kufanya mkutano mkubwa na wamiliki wa nyumba za kulala wageni zilizopo katika mkoa huo ili kuweka mikakati mbalimbali ya kuzuia mauaji ya wanawake yanayotokea  katika baadhi ya nyumba hizo.   Hayo yamebainishwa leo jijini Dar es Salaam na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa kipolisi Temeke Kehenya Kehenya wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.   Amebainisha kuwa wanawake hao waliuwawa katika matukio tofauti na vifo vyao wote vimefanana kwani wameuwawa kwa...

Like
339
0
Friday, 07 November 2014
MADONGO YA NICKI MINAJ KWA WALIOIKOSOA VIDEO YA ANACONDA
Entertanment

Moja kati ya matukio yaliyoongeleka saana mwaka huu kwenye tasnia ya burudani ni kuhusiana na video ya Anaconda ya Nicki Minaj. hivi karibuni kupitia interview ya V Magazine msanii huyu alivifungukia vyombo vya habari vilivyoitosa video hiyo kwa madai yakutokuwa na maadili, alisema kama mwanaume angefanya video ya aina ile basi isingekosolewa, lakini pia hao wanaokosoa wanatatizo na hawaheshimu tamaduni za hiphope ni hali hawafahamu lolote kuhusu muziki huo. Nick alisema kuwa mbona hawakosoi kipindi maarufu cha luninga Victori’s...

Like
984
0
Friday, 07 November 2014