MWILI wa mtu mmoja anayesadikiwa kuwa na ugonjwa wa Ebola Wilayani Sengerema Mkoani mwanza umezikwa jana kwa tahadhari kubwa na wataalamu wa afya. Mgonjwa huyo anayedaiwa kufariki kwa Ebola Salome Richard mwenye umri wa miaka 17, alifikishwa katika hospitali ya Sengerema siku ya Ijumaa wiki iliyopita nakufariki siku hiyo hiyo. Kwa mujibu wa muunguzi aliyempokea mgonjwa huyo SUZANA JONATHAN ambaye pia bado amewekwa chini ya uangalizi maalumu, mgonjwa huyo alifika hospitalini hapo akiwa anatokwa damu sehemu mbalimbali za wazi...
VIJANA wa Vyuo vya Elimu ya Juu na wametakiwa kuachana na fikra potofu za kudhani kuwa Serikali tatu ndio Suluhisho la Kero ya Muungano badala yake wametakiwa kudumisha Muungano kwa Kumuenzi Baba wa Taifa Hayati mwalimu JULIUS NYERERE. Hayo yamebainishwa Jijini Dar es salaam na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi-CCM Bara PHILIP MANGULA wakati akizungumza katika mkutano wa Vijana Wanafunzi wa vyuo Vikuu. Kwa upande wake Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama hicho NAPE NNAUYE amevibeza Vyama vya...
Kufuatia maneno ya hapa na pale juu ya mahusiano kati ya msanii Shilole na Nuh mziwanda, haya ndio machache ambayo Shilole ameyatoa kutoka Moyoni mwake kupitia mtandao wa instagram msanii huyo aliwataka wanaoyachukia mapenzi yao wawache kama...
mtoto wa aliekuwa Bondia mashuhuri duniani Mohamed Ally, Leila Ally amekanusha uvumi unaendelea sehemu mbalimbali duniani juu ya Afya ya baba yake anaesumbuliwa na maradhi kwa kipindi kirefu Leila amedai baba yake yupo hai na hakuna ukweli wowote juu ya taarifa za kifo cha baba yake ingawa kimsingi baba yake huyo ani mgonjwa. Kwa miaka mingi sasa Bondia huyo mashuhuri duniani mwenye umri wa miaka 72 alianza kusumbuliwa na maradhi mnamo mwaka 1984 ...
Kuenea kwa ugonjwa wa Ebola umefanya fainali za Kombe la mataifa ya Afrika kuwa mashakani. Fainali hizo zimepangwa kufanyika nchini Moroco kuanzia Januari 17 lakini nchi hiyo iliwaeleza waandaji wa mashindano hayo kwamba wangependa kusogeza mbele mashandano hayo. Serikali ya Moroco imekuwa na wasi wasi maambukizo ya virusi vya ebola kutoka nchi za magharibi mwa Afrika. Shirikisho la kandanda barani Afrika CAF linatarajiwa kutoa uamuzi wa mwisho mwezi novemba kama nitasogeza mbele mashindano hayo au la japo limekuwa likisisitiza kuwa...
Kikosi cha wekundu wa msimbazi Simba, kimerejea nnchini kimyakimya toka Afrika kusini baada ya kumaliza kambi yake na sasa wapo tayari kuwavaa watani wao wa jadi Yanga katika mchezo wa ligi kuu uatakaopigwa keshokutwa jumamosi kwenye uwanja wa taifa jijini Daresalaam. ikiwa huko Afrika kusini Simba chini ya kocha wake Mzambia Patrick Phiri, imecheza mechi tatu za kujipima nguvu, ambapo imekwenda sare mechi mbili na kuchezea kichapo mechi moja Tumezungumza na mjumbe wa kamati ya Utendaji ya Simba, Said Tulli,...
Rais wa Marekani Barack Obama amethibitisha wito wa kulitumia jeshi la nchi hiyo na wale wa akiba iwapo watahitajika kupambana na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola Afrika magharibi. Rais Obama amesema wanajeshi hao wataongeza nguvu ya jeshi katika kutoa misaada ya kibinadamu katika eneo hilo. Kundi la kwanza la wanajeshi hao linatarajiwa kupelekwa kusaidia ujenzi wa vituo 17 vya kutolea tiba ya ugonjwa huo, katikati mwa Liberia, moja ya nchi iliyoathiriwa vibaya na ugonjwa huo. Maafisa wa kikosi cha ulinzi...
KAMATI kuu ya chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA imekutana katika kikao chake cha kawaida kujadili pamoja na mambo mengine mchakato wa katiba mpya. Kamati Kuu imepata taarifa ya kina juu ya mchakato ulivyoendeshwa katika hatua mbalimbali wakati wa kutungwa kwa sheria ya katiba na marekebisho yake na baadaye, sheria ya kura ya maoni TUNDU LISSU Naye Katibu Mkuu wa Chama hicho, DR WILLBROD SLAA amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura katika uchaguzi wa serikali...
WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii imewataka viongozi wa ngazi zote nchini kuanzia ngazi ya jamii hadi mkoa kuwaelimisha ipasavyo wananchi kushiriki kikamilifu katika kampeni ya utoaji chanjo ya kutibu magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo Surua na Rubella. Wito huo umetolewa na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara Dokta DONAN MMBANDO… Mbali na hayo pia Dokta MMBANDO amebainisha mikakati mbalimbali inayoandaliwa na serikali katika kujiweka sawa kupambana na ugonjwa hatari wa...
Baada ya passport kuonyesha umri tofauti na ule alioutaja kwa kuangalia mwaka wa kuzaliwa hoja na maswali yasintofaham yamezidi kuongezeka juu ya miss huyo na hii ni inadaiwa kuwa leseni yake ya...
Kumekuwepo na hoja nyingi za kumpinga mshindi wa Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu baada ya kukabidhiwa taji hilo. yote haya yanatokana na umri wake ukilinganishwa na elimu yake Miss Tanzania wa mwaka 2014 Sitti Abbas Mtemvu anadai ana umri wa miaka 18 na ana elimu ya shahada ya uzamili (Masters). Wakati baba yake akisema amezaliwa 1989 na mama yake akisema amezaliwa 1985, na uku kamati ya miss tanzania ikisema amezaliwa 1991 hivyo ana miaka 23… Na kwa upande mwingine hati yake...