Slider

MWILI WA MAKAIDI KUAGWA LEO
Local News

MWILI wa aliyekuwa Mwenyekiti Mwenza wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) Dokta Emmanueli Makaidi unatarajiwa kuagwa leo katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.   Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam jana mtoto wa marehemu Mhandisi Emmanueli Makaidi amesema mwili huo baada ya kutoka Masasi ulipelekwa Hospitali ya Jeshi Lugalo ambapo jana jioni ilifanyika ibada fupi nyumbani kwa marehemu.   Shughuli ya kuuaga mwili wa marehemu itahudhuriwa na  viongozi mbalimbali wa kisiasa na...

Like
211
0
Tuesday, 20 October 2015
SHAMBULIO LAUA 3 BERSHEBA
Global News

WATU watatu wameuwawa kufuatia shambulio katika kituo cha  mabasi mjini Bersheba. Waliouawa ni pamoja na kijana wa kipalastina aliyefanya shambulio hilo,mwanajeshi mmoja wa Israel na mtu mwingine aliyepigwa risasi akidhaniwa kuwa gaidi. Polisi inasema kijana huyo wa kipalastina alianza kwa kumpiga risasi mwanajeshi wa Israel,kabla ya kumpokonya bunduki yake na baadae...

Like
284
0
Monday, 19 October 2015
WATANZANIA WASHAURIWA KUFUATA TARATIBU ZOTE ZA UCHAGUZI
Local News

ILI Kuhakikisha Amani inakuwepo hususani katika kipindi hiki  cha Uchaguzi mkuu October 25 watanzania wameshauriwa kufuata  sheria zote za uchaguzi kama zilivyoelezwa  na tume ya uchaguzi nchini na kuhakikisha kuwa hawafanyi matendo yoyote yatakayopelekea uvunjifu wa Amani.   Hayo yamesemwa  leo jijini Dar es salaam Katika vikao vya Kamati ya wabunge wa nchi za ukanda wa Maziwa makuu- ICGLR waliopo nchini kwa ajili ya kuangalia mchakato mzima wa uchaguzi unavyoendeshwa.   Rais wa kamati hiyo PETER OLE MOSITE ameeleza kuwa...

Like
188
0
Monday, 19 October 2015
NEC IMEVITAKA VYOMBO VYA HABARI KUTOA TAARIFA SAHIHI KUPITIA TUME HIYO
Local News

KUFATIA upotoshawaji wa Taarifa juu ya idadi sahihi ya watu waliojiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura  uliofanywa na baadhi ya vyombo vya habari, Tume ya Taifa ya Uchaguzi Nchini-NEC-imevitaka vyombo hivyo  kupata Taarifa sahihi kupitia tume  kabla ya kutoa taarifa potofu kwa jamii.   Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Damian Lubuva kupitia Taarifa maalum kwa vyombo vya habari ambapo amesema baadhi ya vyombo vya habari ikiwemo gazeti la Mawio, vimetoa taarifa kuwa walioandikishwa katika...

Like
261
0
Monday, 19 October 2015
TCRA YATOA RAI KWA VYOMBO VYA HABARI KUDUMISHA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
Local News

KAMATI ya maudhui ya mamlaka ya mawasiliano Tanzania –TCRA imetoa rai kwa vyombo vya utangazaji nchini  kuendelea kutangaza  habari zenye kudumisha amani ya watanzania kwa siku hizi chache zilizo baki kuhitimisha zoezi la upigaji kura. Hayo yamebainishwa Jijini  Dar es salaam leo na Mwenyekiti wa kamati hiyo Bi MARGARET  MUNYANGI wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya mwenendo wa vituo vya utangazaji katika  kutangaza habari za kampeni za vyama vya siasa kupitia vituo...

Like
315
0
Monday, 19 October 2015
NEWCASTLE YAILAZA NORWICH CITY
Slider

Newcastle hatimaye imeonja ushindi baada ya kuinyuka Norwich city. Ligi kuu ya soka ya England ilieendelea tena hapo jana kwa mchezo mmoja ambapo New castle United walikuwa wenyeji wa Norwich city katika dimba la St James’ Park. Katika mchezo huo New castle waliibuka na ushindi mnono wa mabao 6-2, ambapo karamu ya mabao hayo ilihitiishwa na mchezaji Mitrovic dakika ya 64 kipindi cha pili. Kwa matokeo hayo yanaifanya New castle kukaa katika nafasi ya 18 ikiwa na pointi 6, na...

Like
269
0
Monday, 19 October 2015
MSHAMBULIAJI AUAWA ISRAEL
Global News

RAIA mmoja wa Israel ameuawa katika mapambano ya kurushiana risasi na kuchomana visu yaliyozuka katika kituo cha Basi kusini mwa mji wa Beersheva. Hata hivyo katika mapambano hayo watu wengine kumi walijeruhiwa wanne kati yao wakiwa ni Polisi. Mtu aliyetekeleza shambulio hilo anadhaniwa kuwa ni raia wa Palestina ambaye alipigwa risasi na Polisi na...

Like
249
0
Monday, 19 October 2015
MAMIA YA WAHAMIAJI WAINGIA SLOVENIA
Global News

MAMIA ya wahamiaji wamevuka na kuingia Slovenia kutoka Croatia leo, baada ya Serikali ya Hungari kufunga mpaka wao ambapo Siku ya Jumamosi Wahamiaji 2,500 waliruhusiwa kuingia Slovena.   Serikali ya Slovenia imesema inaweza kuhudumia idadi kama hiyo tu kwa siku na Hungary ilisema kuwa ilifunga mpaka wake na Croatia usiku wa Kuamkia Jumamosi kwa sababu viongozi wa Muungano wa Ulaya walishindwa kukubaliana juu ya mpango wa kupunguza idadi ya watu wanaotafuta hifadhi.   Msemaji wa UNHCR, Babar Baloch, amesema kuwa...

Like
212
0
Monday, 19 October 2015
WATANZANIA WAMETAKIWA KUDUMISHA AMANI KATIKA KIPINDI CHA UCHAGUZI
Local News

WATANZANIA wametakiwa kuilinda na kuidumisha Amani iliyopo hasa kuelekea kipindi cha Uchaguzi bila kujali itikadi zao za vyama kwani Amani ndiyo msingi wa maendeleo kwa Taifa.   Akizungumza na Efm jijini Dar es salaam,  mgombea wa nafasi ya Udiwani kata ya Kunduchi kupitia chama cha mapinduzi-CCM-Michael Urio amesema kuwa ili kila mwananchi awe na uhuru wa kufanya kazi ni muhimu Amani kuwepo.   Kwa upande wa wafanyabiashara Urio amebainisha kwamba mara baada ya kupewa ridhaa ya kuongoza kata hiyo atahakikisha...

Like
286
0
Monday, 19 October 2015
KAMPUNI YA HALOTEL YATOA HUDUMA BURE KWA TAASISI ZA SERIKALI BABATI
Local News

BAADHI ya Taasisi za Serikali ikiwemo hospitali na shule kadhaa za Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, zimepatiwa bure huduma ya mtandao wa simu mpya ya kampuni ya Halotel kwa ajili ya kuwarahisishia wapate huduma bora. Akizungumza kwenye sherehe za uzinduzi wa mtandao huo, Meneja wa Halotel Mkoa wa Manyara Adolf Kiwale amesema kuwa wameweka mitandao ya intanenti bure kwa taasisi hizo muhimu ili kurahisisha kazi zao. Amesema licha ya kuzisaidia taasisi hizo wataendelea kutoa misaada kwenye taasisi mbalimbali za kiserikali na...

Like
498
0
Monday, 19 October 2015
MUZIKI MNENE NDANI YA BOKO
Local News

93.7 EFM inaendeleza burudani kupitia kampeni yake ya muziki mnene bar kwa bar. Jumamosi ilikuwa zamu ya wakazi wa bunju  kuongea na muziki wa 93.7 EFM. Burudani hiyo iliendeshwa na timu nzima ya EFM, iliyocheza mechi na carlfonia FC ya boko na kuwafunga magoli mawili kwa moja katika uwanja wao wa nyumbani uliopo ndani ya shule ya msingi boko. “Kwa bahati mbaya tumeshafungwa mechi tatu ila kuanzia mechi hii ni mwendo wakufunga magori ya kishujaa” alisema Dennis Ssebo mkuu wa...

Like
601
0
Monday, 19 October 2015