CHADEMA YAKUTANA KUJADILI MCHAKATO WA KATIBA MPYA

CHADEMA YAKUTANA KUJADILI MCHAKATO WA KATIBA MPYA

Like
346
0
Friday, 17 October 2014
Local News

KAMATI kuu ya chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA imekutana katika kikao chake cha kawaida kujadili pamoja na mambo mengine mchakato wa katiba mpya.

Kamati Kuu imepata taarifa ya kina juu ya mchakato ulivyoendeshwa katika hatua mbalimbali wakati wa kutungwa kwa sheria ya katiba na marekebisho yake na baadaye, sheria ya kura ya maoni  TUNDU LISSU

Naye Katibu Mkuu wa Chama hicho, DR WILLBROD SLAA amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika tarehe14/12/2014 WILLBROAD SLAA…

Comments are closed.