Richa ya ya kesi nyingine alizonazo Cris Brown ambae kwa hivi sasa kumekuwa na malalamiko kwamba akionekana sehemu na kundi lake basi lazima itokee fujo kama si kuumizana katiaka eneo hilo.
kufuataia hali hiyo mtandao wa Tmz ulilipoti kwamba mama wa msanii huyo anahofu huenda akampoteza mwanae kufuatia kujihusisha na makundi ya wahuni kitendo ambacho kilimkasilisha saana Cris Brown.
lakini siku ya jumatano msanii huyo alifikishwa tena mahakamani na kuongezewa muda wa kufanya shughuri za kijamii kama sehemu ya kutumikia adhabu kwenye kesi yake ya kumpiga aliekuwa mpenzi wake Rihana.
Cris Brown ameongezewa muda hadi mara nne kwa siku kitendo ambacho kitamfanya amalize adhabu hiyo hapo january kama hatokiuka miiko aliyowekewa
masaa hayo manne yanliyoongezeka yanamfanya msanii huyo kutumikia masaa nane na siku nne za wiki ambazo wasemaji wa mambo wamefananisha na kazi mpya kwa Cris Brown