CRISTIANO RONALDO NA IKER CASILLAS  KUVUNJA REKODI USIKU WA LEO!!!

CRISTIANO RONALDO NA IKER CASILLAS KUVUNJA REKODI USIKU WA LEO!!!

Like
395
0
Tuesday, 04 November 2014
Slider

Michuano ya klabu bingwa ulaya kuendelea tena leo ikiwa ni mechi za raundi ya pili katika hatua ya makundi kwa msimu wa mwaka 2014/2015.

Bingwa mtetezi wa michuano hiyo klabu ya Real Madrid itawakaribisha majogoo wa jiji la Anfield Liverpool katika

uwanja wa Santiago Bernabeu wakiwa na rekodi ya kushinda goli 3-0 katika mchezo uliopita.

Mchezaji bora wa dunia Cristiano Ronaldo na Iker Casillas wanatazamiwa kuvunja rekodi mbalimbali usiku wa leo, Ronaldo anafukuzia rekodi ya magoli 71 iliyowekwa na Raul Gonzalez huku Iker atakuwa ndio mchezaji aliyecheza michezo mingi (144) kama atafinikiwa kucheza.

Klabu ya Arsenal itawakaribisha Anderlecht kutoka nchini Ubelgiji huku ratiba ya michezo iliyobakia ikiwa kama ifuatavyo:

Europe – UEFA Champions League
  Zenit 20 : 00 Bayer Leverkusen More info
  Malmö FF 22 : 45 Atlético Madrid More info
  Juventus 22 : 45 Olympiakos Piraeus More info
  Basel 22 : 45 Ludogorets More info
  Real Madrid 22 : 45 Liverpool More info
  Benfica 22 : 45 Monaco More info
  Arsenal 22 : 45 Anderlecht More info
  Borussia Dortmund 22 : 45 Galatasaray

Comments are closed.