CRISTIANO RONALDO NDIO MWANAMICHEZO MWENYE WAFUASI WENGI KWENYE MITANDAO YA KIJAMII

CRISTIANO RONALDO NDIO MWANAMICHEZO MWENYE WAFUASI WENGI KWENYE MITANDAO YA KIJAMII

Like
292
0
Wednesday, 24 February 2016
Slider

Cristiano Ronaldo aweka rekodi ya kuwa mwanamichezo wa kwanza kuwa na followers wengi kwenye mitandao ya kijamii.

Nyota huyu wa Real Madrid ana jumla ya watu Milioni 200 wanaoperuzi kwenye kurasa zake.

Hii ndio number ya followers kwenye akaunti za mitandao ya Facebook, Twitter na Instagram

Twitter 40.7M, Instagram 49.6M wakati Facebook ni 109.7M

Hii ni kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa na tovuti ya Hookit.com

Comments are closed.