DAVID MOYES ASAKA NAFASI ULAYA

DAVID MOYES ASAKA NAFASI ULAYA

Like
271
0
Tuesday, 01 December 2015
Slider

 

David Moyes aonyesha nia ya kutaka nafasi ya kunoa klabu moja wapo katika bara la Ulaya.

Moyes ambae alitimuliwa katika klabu ya Real Sociedad anatazamiwa kupata nafasi katika klabu nyingine.

Meneja huyu wa zamani wa klabu ya Everton, 52, alitimuliwa siku moja ya kumbukumbu ya kufikisha mwaka mmoja katika ligi ya Uhispania “La Liga”

Katika mahojiano yake na kituo cha BBC Moyes ameeleza matumaini yake ya kufanikiwa kuja kuwa meneja mzuri zaidi kufuatia uzoefu aliopata “La Liga”

 

Comments are closed.