DIAMOND AMPIGA ZARI PICHA ZA UTUPU???!!!!

DIAMOND AMPIGA ZARI PICHA ZA UTUPU???!!!!

2
2469
0
Tuesday, 23 December 2014
Entertanment

 

Zari Hassan mkali kutoka Uganda hatimae amefunguka kuhusiana na tuhuma iliyokuwa ikimkabili kuwa amevujisha picha za makalio yake akiwa kitandani kwenye mitandao ya kijamii kwa kusema kwamba si yeye aliekuwa kwenye picha hizo na anawapa pole wote waliomfikiria vibaya

Takribani siku kadhaa nyuma picha zilizoonyesha makalio zilivuja kwenye mtandao huku ikidaiwa kuwa Zari ndie mwenye picha hizo na Diamond ndie alimpiga picha hiyo wakati yupo nae kitandani siku moja kabla ya party ya Zari iliyofnyika Guvnor Dec. 18.

Kupitia mtandao wa twitter Zari alikana kuwa hiyo si picha yake

ZARRRRRRR

Hata hivyo bado baadhi ya watumiaji wa mitandao wameendelea kuamini kuwa ni yeye kwa kufanisha kitanda kuwa sawa na kile alichooneka akiwa na Diamond kwenye baadhi ya picha zake za hivi karibuni

Chanzo cha habari: howwebiz.com uganda

Comments are closed.