DK SHEIN AONGOZA MAZISHI YA BI ASHA BAKARI MAKAME

DK SHEIN AONGOZA MAZISHI YA BI ASHA BAKARI MAKAME

Like
601
0
Friday, 22 January 2016
Local News

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dokta Ali Mohamed Shein  leo ameongoza mazishi ya marehemu Bi Asha Bakari Makame aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT).

Mazishi ya Marehemu yamefanyika huko Kianga, Wilaya ya Magharibi ‘B’, Mkoa wa Mjini Magharibi kwa heshima zote za Chama Cha Mapinduzi, ambapo viongozi mbali mbali wa vyama na serikali wamehudhuria  akiwemo Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad na Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Idd.

MIKAAAAA

Comments are closed.