DOUGLAS COSTA AANZA VYEMA BAYERN MUNICH

DOUGLAS COSTA AANZA VYEMA BAYERN MUNICH

Like
278
0
Thursday, 06 August 2015
Slider

Mbraazil Douglas Costa alikuwa katika kiwango kizuri wakati klabu yake ya Bayern Munich ilipoitandika  Real Madrid 1-0 katika mchezo wa maandalizi ya msimu wa ligi siku ya jumatano.

 

Costa, ambaye alijiunga kutoka Shakhtar Donetsk katika msimu wa karibu kwa kitita cha Euro milioni 30 amekuwa kivutio katika michuano ya Audi kutokana na kasi yake

 

“bado tupo kwenye maandalizi lakini ameonyesha ishara njema na mwanzo mzuri hivyo itatupasa kufanya kazi msimu utakapoanza” alisema mkurugenzi wa michezo wa klabu hiyo ya Bayern Matthias Sammer

Comments are closed.