DRC: WATU KADHAA WANAHOFIWA KUFA BAADA YA BOTI KUZAMA

DRC: WATU KADHAA WANAHOFIWA KUFA BAADA YA BOTI KUZAMA

Like
318
0
Wednesday, 24 December 2014
Global News

Maafisa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamesema watu kadhaa wanahofiwa kufariki baada ya boti kuzama kwenye Mto Kongo.

HUBERT MOLISO waziri katika Mkoa wa Kaskazini wa Orientale, amesema kuwa abiria walikuwa wamelala wakati ajali hiyo imetokea karibu na mji wa Lombolombo.

Watu wasiopungua 100 wamenusurika kifo huku watu Wanne wamefariki dunia.

Comments are closed.