EBOLA: MAJARIBIO MAKUBWA YA CHANJO KUANZA LIBERIA

EBOLA: MAJARIBIO MAKUBWA YA CHANJO KUANZA LIBERIA

Like
201
0
Monday, 02 February 2015
Global News

HATIMAYE majaribio makubwa ya chanjo ya ugonjwa hatari wa Ebola, yamepangwa kuanza nchini Liberia.

Matarajio ni kuwa zaidi ya watu elfu thelathini watajitokeza katika zoezi hilo kubwa la majaribio ya chanjo hiyo iliyotengezwa na kampuni mbili za GSK na Merck.

Katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita, zaidi ya watu elfu tisa wamefariki katika mlipuko huo mkubwa wa Ebola ambapo Mataifa yaliyoathirika zaidi magharibi mwa Afrika ni pamoja na Guinea, Sierra Leone na Liberia.

CHANJO2

Comments are closed.