Msaga sumu, na Stamina wakiwa na wafanyakazi wa Efm, wa kwanza kulia, Swebe Santana(Mtangazaji wa Kipindi cha Uhondo), na wa kwanza kushoto na Stiven Magombeka(mkuu wa Kitengo cha Digital)
Efm imeendeleza ubabe kwa Bongofleva kwa kuwatandika bao 1-0, mchezo huo uliopigwa kwenye viwanja vya Tanganyika Peckers ambapo kulikuwa na final ya Shika ndinga 2018.