EFM VS KAWE VETERANI 3-3

EFM VS KAWE VETERANI 3-3

Like
620
0
Monday, 16 November 2015
Local News

Dakika 90 za mchezo wa kirafiki kati ya E-fm Vs Kawe Veterani zilimalizika kwa sare ya magoli 3-3, huku E-fm wakiwa wa kwanza kuliona lango la Kawe Veterani katika kipindi cha kwanza cha mchezo.

Mchezo huo wa kusisimua ulishuhudiwa na wakazi wa Kawe katika uwanja wa Tanganyika Packers ambapo pia wakazi hao walipata nafasi ya kupima afya zao bure kabisa kwa kufanyiwa vipimo vya ugonjwa wa kisukari chini ya ST LAURENT DIABETES CENTRE

1

E-fm walipoandika goli la kwanza kupitia mshambuliaji wake mahairi Rashid

10

 

Mashabiki wakiendelea kufuatilia mchezo huo

9

Wahudumu wa mtandao wa Smart wakitoa huduma

8

Wafanyakazi wa E-fm wakifanyiwa vipimo

7

6

2

Kawe Veterani wakiliandama lango la E-fm na kufanikiwa kurudisha goli la kwanza

3

5

4

E-fm wakitengeneza nafasi ya kuongeza goli la pili katika kipindi cha kwanza

Comments are closed.