ESCROW: HOTUBA YA RAIS KUTEGUA KITENDAWILI LEO???

ESCROW: HOTUBA YA RAIS KUTEGUA KITENDAWILI LEO???

Like
334
0
Monday, 22 December 2014
Local News

 

RAIS JAKAYA KIKWETE leo anazungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es salaam ambapo Hatma kuhusu Sakata la Akaunti ya Tegeta ESCROW inasuburiwa kwa hamu.

Sakata hilo limezusha mshikemshike Bungeni ambapo tayari Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji FREDRICK WEREMA amejiuzulu kutokana na kutajwa moja kwa moja.

Mawaziri Profesa SOSPETER MUHONGO Nishati na Madini,Profesa ANNA TIBAIJUKA Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Katibu Mkuu wa Nishati na Madini ELIAKIMU MASWI pia wanatakiwa kujiuzulu au Mamlaka za uteuzi kuwaondoa.

Awali ilidaiwa Rais KIKWETE angezungumza na Wazee hao Ijumaa iliyopita katika Hotel ya Blue Pearl Ububgo lakini aliahirisha.

Comments are closed.